Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Hakuwa mwalimu wa kiingereza na hiyo Phd yake sio ya lugha hivyo hamna tatizo hapo.
Mimi kama sina cha kutetea huwa napita kimya kimya. ukilazimisha unaaibika kama hivi yaani. kwa hiyo hata kama mwalimu wa kemia ndio aseme peoples. Ptyuuuuu
 

Yaani mi niwe Rais afu unifundishe na kingereza, kudadeki kafe na usaidizi wako
 
Hata ukiteteaje jamaa anatuaibisha watanzania
 
Nimeona mahali you tube kwamba katika Shit hole countries yeye ndio msomi kuliko wote.
 
Mkuu jamaa ni muongo sana huyo hajawahi kuishi Ulaya labda kama alikuwa anamaanisha Ulaya ya chato.
 
Ni Tanzania tu maajabu kama haya hupatikana. Sasa piga mahesabu darasani alikuwa anafundishaje!
Mambo yake karibu yote ni ya kuunga unga tu hata hiyo PhD nakumbuka pale mlimani alifanyiwa na akina Dr flani na wote amewapa mavyeo makubwa, ni mtu wa ajabu na wengi bado hawajamjua vizuri, ana mambo makubwa.
 
Hao unaowasema hawajawahi kuwa rais wa nchi wala usiwaongelee labda kama utamsema jk
 
Yeye alishasema ukisema yes au no inatosha, ila nyie vitoto vya English medium mnasumbua sana.
 
Aliwahi kusema kuwa hiyo lugha yeye haijui vizuri? na kama angesema hivyo unadhani ungeweza kuona uzi wowote hapa. Halafu hii ni kawaida wala usipanic, ukishakuwa kiongozi wa nchi hata akichapia sentensi 1 lazima uwe mjadala nchi nzima sio kwa tz tu hata marekani
 
Kwa hiyo tuchague anaejua kiinglishi sana ili aweze tu kuongea na wazungu au mi sijaelewa mantiki hapo

Mi mwenyewe graduate lkn kiinglishi changu mpka nisilibe na mkono bao

Siku kiinglishi kikikamilisha daraja la Busisi ntamtafuta Ras Simba chap
 
Hakuna kumuumbua, kwanza sasa anajipanga kutekeleza ilani ambayo tayari wananci wameipitisha.Huyo makamu mwenyekiti wa chadema aanze kufikiria atamsaidiaje boss wake ktk kujenga chama ambacho kitabomoka sana baada ya 20/10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…