Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Kuna tatizo kubwa hapo!Hakuwa mwalimu wa kiingereza na hiyo Phd yake sio ya lugha hivyo hamna tatizo hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tatizo kubwa hapo!Hakuwa mwalimu wa kiingereza na hiyo Phd yake sio ya lugha hivyo hamna tatizo hapo.
Ni mafundi wa kukosoa wakati wao ndio wa kukosolewa.Mmekosa hoja....Nyie hata kiswahili hamjui sembuse kingereza....!!Upinzani wengi ni vijana mpechempeche marioo wa mjini wapenda vya bure,kingereza wamekijulia Kwenye movie na nyimbo za kina Cellin Dione...Wanaume wa kweli hawezi ongea hoja za kijinga kama hizi...!!
Kwaiyo ukijua kiingereza ndio usomi mkuu?Mkuuuu Unaumia eeeh. Hata ukiteteaje watanzania tumeaibika. Jamaa hajui English licha ya PhD yake. Tutaficha sura zetu wapiiii? Tumekwisha kwa aibu.
Magonjwa Mtambuka
Kwaiyo msomi lazima ajue kuongea kiingereza?Mkuu lugha ya kufundishia Tanzania kutoka form one to phD ni kiingereza,sasa kama lugha inayotumika huijui niambie unatumia mbinu gani kuelewa unachofundishwa au unachosoma kwenye vitabu na mitihani unafanyaje? Please assist
Mabeberu wangapi wanapiga broken za kiswahili au lugha nyingine lakini watu wanachukulia poa tu.Sasa kwanini ulazimishe kuongea lugha usiyoiweza wakati una nafasi ya kutumia lugha unayoimudu vyema.Nae ni hovyo tu
Una uhakika kama aliandika hiyo thesis ?We nae kilaza sana. PhD alisoma kwa Kiswahili? Thesis aliandika kwa Kiswahili? [emoji706][emoji706][emoji706]
Hapo unaweza kuona level of understanding ya huyo prove iko wapiHachekwi kwa sababu ni Rais. Na mfano wako haufanani na uhalisia. Watu wanashangaa mtu ambaye kasoma mpaka kiwango cha Phd kiingereza ikiwa lugha ya kujifunzia na kufanyia mitihani, na akawa mwalimu akifundisha kwa kutumia kiingereza, lakini hakijui kiingereza kwa kiwango kile. Mimi binafsi namhurumia tu kwani si tatizo lake binafsi bali ni tatizo la mfumo wa elimu yetu. Kiingereza ni lugha tu kama kisukuma au kiswahili. Mbona anafahamu hizi lugha zingine? Vile vile, ukipitia kauli zake, utaona Rais wetu ana tatizo la msingi ambalo si la kujitakia. Ni wa kuhurumiwa tu wala si kuchekwa. Pole Mr. President.
Kwa uelewa wako msomi ni nani ?Kwaiyo msomi lazima ajue kuongea kiingereza?
Msomi ni nani?Mabeberu wangapi wanapiga broken za kiswahili au lugha nyingine lakini watu wanachukulia poa tu.
Kumbuka usomi haupimwi kwa kujua lugha ya Kiingereza.
At sio watz wengi wenye phd.Sio yeye Tu. Watz wengi kingereza ni changamoto hasa tenses
Wewe kwa upeo wako mdogo ndiyo unaona ni hoja ya kijinga. Hapa tunazungumzia mtu aliyeandika thesis ya kitaalam ya kuhitimu Phd baada ya kufanya utafiti na baadae akawa mwalimu akifundisha kwa kutumia lugha ya kiingereza. Aliwezaje kumudu yote hayo wakati hawezi kuongea kiingereza ''cha kuridhisha''? Na wala siongei kile kizuri.
Nimekutana na wasomi wengi ambao english inawapiga chenga lakini wakizungumza unaona kabisa wana mwelekeo wa usomi na unaridhika. Yeye ni mweupe pee. Hata maswali rahisi anashindwa kuelewa sembuse kujibu! Something very very wrong with his education!
Kwaiyo ukijua kiingereza ndio usomi mkuu?
Kufahanu lugha zaidi ya lugha yako ya asiki inaonyesha kuwa uko smart, intelligent, sophisticated and exposed.Kwaiyo ukijua kiingereza ndio usomi mkuu?
'Macho', ni rahisi kulijibu hili swali la "huko darasani".Ni Tanzania tu maajabu kama haya hupatikana. Sasa piga mahesabu darasani alikuwa anafundishaje!
Hapana mkuu...Ila kwa kuwa ukisoma form one Hadi PHD unakuwa na level fulani ya English ,sionkama hii bwana!Kwaiyo ukijua kiingereza ndio usomi mkuu?
Hamna cha kujifunza hapo,mfano hapo Putin ,Russia lugha ni kirussia tu hamna english ni kama china tu ,huku kwetu english ni lugha ya darasani na lugha ya pili ya taifa huyu mzee amemalizaje shule zote hajui english
Bila shaka hapa utajifunza kitu!
... imo humu humu JF.Tuwekee hapa original speech ili tulinganishe.