Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

Zandrano una uhakiki gani huyo bibi yako SASHA ni mzalendo na siyo mzandiki kama hao unaowasema?
 
Ana ile dhana ya kutaka kuonekana mzuri kwa wanaomzunguka. Sidhani kama anaishughulisha akili yake at all. Anachoambiwa tu, yeye anaanguka signature. Kazi tunayo kubwa sana kama nchi. Tuna bahati mbaya sana.
 
Waliokuwa na wasiwasi naye tangu anaongia walikuwa sahihi kabisa. Amewavunja moyo wengi sana huyu mama. Kumbe ndio yuko hivi! Ndio maana nchi ilikuwa kwenye giza hata wakati wa mwenda zake. Hawa ndio watu waliokuwa wamemzunguka Jiwe!
 
Ninachoona pro-mwendazake wanajua udhaifu wa huyu mama, ndio maana wanam-feed 'maujinga' na anakubali ili 2025 aonekane dhaifu na wamtoe ktk kinyanganyiro cha uraisi, beleave me, time will tell.
Pro Magufuli hawahusiki kabisa. Sema akina January na kundi lake ndiyo walihakikisha kwanza gharama za maisha zinapanda kupitia umeme, tozo etc
 
Back
Top Bottom