Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

Nyerere alijitahidi sana kuipa heshima Tanzani mbele ya Mataifa. Kuna wakati alilalamika heshima ya nchi ilipoanguka!
Sasa ni hatari zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi wa sasa pamoja na kujinasibisha na mwalimu, bado hawajali hata chembe kuhusu heshima ya nchi kimataifa.

Unaweza ukawa na sera nzuri, ukaangushwa na utekelezaji kwa ukosefu wa hekima na busara.
 
Na Mwaka huu wa Uchaguzi Upinzani tujitahidi kuongeza nguvu ili huyu Mamba tumtoe kwenye maji akija mchangangani ni wa wakubhulula
 
Na Mwaka huu wa Uchaguzi Upinzani tujitahidi kuongeza nguvu ili huyu Mamba tumtoe kwenye maji akija mchangangani ni wa wakubhulula
CCM wenyewe watajiuliza sana tu kuwa wamsimamishe nani uchaguzi mkuu kama yeye mwenyewe hatachukuwa hatua kusawazisha haya mambo. Kama ccm watamleta Maghufuli ilhali mambo yako vile vile, basi kuna uwezekano wa Taifa kuingia matatani.
 
Mimi nilikuwa mmoja wa waliopendekeza ila najuta na kusaga meno Mungu anisamehe
Hata mimi nilimpigia kura. Lakini kwa hali hii sina namna zaidi ya kujutia, kwasababu naona busara imekosekana kwa kiasi kikubwa sana. Pia kingine ni mahusiano kati yake na Makonda, mahusiano gani haya ambayo hayajali hata maslahi ya Taifa?
 
Huyu alifaa sana nafasi ya Uwaziri Mkuu lakini basi tena mimi nimehamia CHADEMA napiga kazi usiku na mchana na ningependa sana Wapinzani tukishinda kihalali tuunde Serikali ya mseto
 
Hakika ndiyo maana hata wale mataga kwa sasa wameishiwa pumzi maana wanalijua linalo fuatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwaamini sana wamarekani. Ni hivi hivi walivyojenga hoja mpaka wakamfanyia unyama Ghaddaffi halafu baadae Obama akaomba radhi kinafiki.
 
Wa Wanajadili ya JPM wakati ya kwao yamewashinda. Si wapambambane na trumpet wao.
 
Hii serikali itakuja kuiponza vibaya sana hii nchi huko tuendako.

It's a very inept and irresponsible government this country has have.
 
Wasukuma wawili toka kolomije na chato hawafuati katiba ya Nchi ndiyo maana Daud Bashite ana nguvu kulilko makamu wa Rais na waziri mkuu
 
Hii serikali itakuja kuiponza vibaya sana hii nchi huko tuendako.

It's a very inept and irresponsible government this country has have.
Drone za moshi wa Ruangwa zipo Mombasa kenya kwenye kambi ya jeshi la marekani ingawa sasa Le mutuz kamletea Daud Bashite utitiri wa waganga wa kienyeji wakiamini watawaroka wamarekani wapate kumsahau Daud Bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…