Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

Pia inadaiwa na mwandishi kuwa Maghufuli anawatumia wakuu wa wilaya na mikoa kupambana na kuwafanyia fujo wapinzani. Haswa sehemu zenye kuwa na viongozi wa upinzani nk. Wanasema wanalipizia kisasi kwa kuwaadhibu watu wa maeneo hayo kwa kuchagua upinzani!

“I find that regional and district commissioners take a more active and violent role in areas where the opposition runs local governments. They make it difficult for opposition governments to effectively deliver public services, thereby simultaneously punishing those who voted for the opposition and discrediting opposition parties.”-The Washington Post.
Hilo gazeti lina kazi sana moja kuifuatilia Tanzania 2 kumfuatilia rais wao ambaye hana tofauti na Magufuli. Fikiria katiba nzuri ya Marekani anaikanyaga japo bunge lake lina nguvu je angekua Tanzania na katiba nusu ya chama tawala angekuwaje. Taabu watanzania wapo wanawasikiliza hawa waandishu wa nje bila kufuatilia siasa zao. Kwa siasa za Marekani tangu Trump aingie madarakani hazina tofauti na za ccm. Kule zidumu fikra za Trump hapa zidumu fikra za magu
 
Acha uongo mkuu! Trump anaweza kutumia polisi dhidi ya Democrats? Yule mbinguni Adam Schiff angeweza kupigwa risasi kama Tundu Lissu?

Mifano ipo ya kumwaga, ukitaka naweza kuendelea. Sasa wewe nipe mfano mmoja tu.
 
Niambieni tofauti ya ccm na Republican ya Trump kwenye kutukuza jameni

Hahah! Tofauti mbona kubwa sana mkuu? Ni kweli Trump amekiteka chama na hivyo wasiwasi wa wabunge wengi ni kukosa sapoti ya wananchi.

Hiyo tukuza ya watanzania siyo kwa kuwaogopa wananchi na sanduku la kura. Chaguzi za Tanzania chini ya ccm unazifahamu fika.😎
 
Kwa anayebeza taarifa hii ya WP na kudhani ni ya ufipa, subiri kidogo matokeo zaidi. Ndiyo wameanza hivyo, tusipojirekebisha you can forget CCM and Magufuli. FACTS don't lie.
Ni gazeti linalosomwa na wabunge pamoja na viongozi wa serikali nk kule marekani.
 
Wanajamvi, hiki kipengele hapo chini, kimo kwenye hii makala ya Washington post inayosema “Democracy Dies in Darkness” ya mwaka 2018

“Makonda and Magufuli are too closely linked for the president to escape responsibility.“-The Washington Post.

Katika makala hiyo ambayo link nimeiweka, mwandishi huyo Rachael Mclellan, amechambuwa vilivyo. Pia wanasema issues ya ushoga CCM wanaitumia kama njama za kisiasa.

Matendo yote mabaya mfano kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, kushambuliwa kwa Lissu nk vyote vimeorodheshwa humo. Hata CCM kununua Wapinzani, ubambikiaji wa kesi kwa upinzani na wafanyabiashara vimetajwa.

Nimeona makala hii ni intersting zaidi baada ya ban aliyopigwa Makonda kuingia US

Kwa vyovyote vile, kumtarget Makonda ni kama vile ujumbe kwa Maghufuli(kwa wale waliokuwa wakijiuliza). Kwa maoni yangu, uchaguzi ujao utakuwa wenye changamoto kubwa sana kwa Taifa letu. Na wafadhili sasa wameshaanza kuona kuwa ccm siyo chama kizuri. Someni wenyewe...

Source: https://www.washingtonpost.com/news...g-schoolgirls-and-killing-opposition-leaders/
Acha wafu wazike wafu wao. Ccm hoiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo mkuu! Trump anaweza kutumia polisi dhidi ya Democrats? Yule mbinguni Adam Schiff angeweza kupigwa risasi kama Tundu Lissu?

Mifano ipo ya kumwaga, ukitaka naweza kuendelea. Sasa wewe nipe mfano mmoja tu.
Una uhakika Lissu kapigwa risasi na Magufuli? Mifano gani unayo? Una mfahamu Seth Rich? Unajua utata wa kifo chake? Ulipojibu hoja yangu tu nimejua ninabishana na mtu anayeandika kitu asichokifahamu sababu tu za upenzi wa chama chake zaidi ya kuijibu hoja
 
Unamfahamu mtu aitwaye Jeffrey Epstein na nini chanzo cha kifo chake kama wewe ni bingwa conspiracy theories? Sababu huna proof yoyote ya kupigwa rusasi kwa Tundu Lissu zaidi ya conspiracy theory
 
Mbunge wa Democrat anaweza kumiminiwa risasi 39 kwenye maeneo ya makazi ya wabunge halafu kusiwepo na uchunguzi kwasababu serikali iliyopo madarakani ni ya Trump?

Simama kwenye hoja, kama huna hoja, acha viroja.

“Ficha upumbavu wako, onyesha hekima yako”
 
Unamfahamu mtu aitwaye Jeffrey Epstein na nini chanzo cha kifo chake kama wewe ni bingwa conspiracy theories? Sababu huna proof yoyote ya kupigwa rusasi kwa Tundu Lissu zaidi ya conspiracy theory
Simfahamu, nimeshamsikia, ni sex offender aliye commit suicide lakini wanasheria wake wanapinga. Yule ni financier. Mfano wake unahusika vipi hapa?
 
CCM wenyewe watajiuliza sana tu kuwa wamsimamishe nani uchaguzi mkuu kama yeye mwenyewe hatachukuwa hatua kusawazisha haya mambo. Kama ccm watamleta Maghufuli ilhali mambo yako vile vile, basi kuna uwezekano wa Taifa kuingia matatani.
Msiwaambie hivyo wakabadili gia angani na kumleta mwingine.Waacheni waote mchana kuwa anakubalika na atapita kwa kishindo,tunatamani kuwa surprise.
Hawa watu hawajitambui na wamezoea kuiba ndiyo maana wanajimwambafy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msiwaambie hivyo wakabadili gia angani na kumleta mwingine.Waacheni waote mchana kuwa anakubalika na atapita kwa kishindo,tunatamani kuwa surprise.
Hawa watu hawajitambui na wamezoea kuiba ndiyo maana wanajimwambafy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavyopenda misaada. Nina uhakika humo ndani ya chama chao kuna fukuto kubwa tu. Ni suala la muda.
 
Simfahamu, nimeshamsikia, ni sex offender aliye commit suicide lakini wanasheria wake wanapinga. Yule ni financier. Mfano wake unahusika vipi hapa?
Na Seth Rich? Ndiyo maana katika jamvi kama hili hutakiwi kutumia lugha kuonyesha unafahamu zaidi kuliko wenzako. Ni mawazo tu umeweka hoja tunaijadili na tukipinga tunapinga kwa hoja bila kusema wewe mtoa hoja hujui. Sasa nenda google karesearch kifo cha Seth Rich ndiyo ujue conspiracy theory hua siyo nzuri. Maana huko utaambiwa aliuawa na kina Obama na Hillary. Usijishusje saana thamani ya nchi yako kwa kudhani usa ama Uk huu ujinga haupo. Kuna Dr Kerry wa uk alikufa katika maxingira ya kutatanisha baada ya kufanya interview na mwandishi wa bbc baada ya vita ya pili ya Iraq na kukatokea watu kama wewe walisema aliuawa na serikali ya Tony Blair... huna mifano mingi ya nje zaidi ya m8chapo yenu ya gogo vivu ama kupata mziitazo nyeti kutoka kwa kigogo ambaye zaidi ya 60% anaandika uongo.
 
Nyani sisi ni CCM hatusemani hivyo hahah
What a shame,ukiwa CCM unakuwa juu ya sheria?Wanaongelewa watu wanaovunja Katiba waliyoapa kuitii,kuilinda na kuienzi.Wananyima watu fursa ya kuishi,wananyanyasa Watanzania wenzao na kuwabambikia kesi zisizo na dhamana na kusingizia wenzao si wazalendo.
Unataka kusema tuwashangilie kwa maovu myatendayo eti kwa kuwa ni wanaCCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msiwaambie hivyo wakabadili gia angani na kumleta mwingine.Waacheni waote mchana kuwa anakubalika na atapita kwa kishindo,tunatamani kuwa surprise.
Hawa watu hawajitambui na wamezoea kuiba ndiyo maana wanajimwambafy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ninyi mnaishi nchi gani? Tatizo la kujidanganya kwenye social media na kudhani ccm itashindwa mtabaki kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke. Mnadhani mabadiliko yanatokea kwa kujificha kwenye keyboard watu hatuzidi hata milioni kwa kukopi na kupaste magazeti ya marekani wakati cvm inapeleka utapeli live mpaka vinijini? Kweli nyerere lazima aliweka uchawi kwenye mwenge wa uhuru maana ukisoma baadhi ya comment humu huwezi jua msomi ni nani na la saba ni nani. MUNGU TUSAIDIE KUTULETEA KIZAZI CHA WAELEWA LABDA TUTAPATA MABADILIKO
 
Wanajamvi, hiki kipengele hapo chini, kimo kwenye hii makala ya Washington post inayosema “Democracy Dies in Darkness” ya mwaka 2018

“Makonda and Magufuli are too closely linked for the president to escape responsibility.“-The Washington Post.

Katika makala hiyo ambayo link nimeiweka, mwandishi huyo Rachael Mclellan, amechambuwa vilivyo. Pia wanasema issues ya ushoga CCM wanaitumia kama njama za kisiasa.

Matendo yote mabaya mfano kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, kushambuliwa kwa Lissu nk vyote vimeorodheshwa humo. Hata CCM kununua Wapinzani, ubambikiaji wa kesi kwa upinzani na wafanyabiashara vimetajwa.

Nimeona makala hii ni intersting zaidi baada ya ban aliyopigwa Makonda kuingia US

Kwa vyovyote vile, kumtarget Makonda ni kama vile ujumbe kwa Maghufuli(kwa wale waliokuwa wakijiuliza). Kwa maoni yangu, uchaguzi ujao utakuwa wenye changamoto kubwa sana kwa Taifa letu. Na wafadhili sasa wameshaanza kuona kuwa ccm siyo chama kizuri. Someni wenyewe...

Source: https://www.washingtonpost.com/news...g-schoolgirls-and-killing-opposition-leaders/
Acheni kumchafua Rais wa Jamhuri tukufu. Makonda apambane na hali yake
 
Na Seth Rich? Ndiyo maana katika jamvi kama hili hutakiwi kutumia lugha kuonyesha unafahamu zaidi kuliko wenzako. Ni mawazo tu umeweka hoja tunaijadili na tukipinga tunapinga kwa hoja bila kusema wewe mtoa hoja hujui. Sasa nenda google karesearch kifo cha Seth Rich ndiyo ujue conspiracy theory hua siyo nzuri. Maana huko utaambiwa aliuawa na kina Obama na Hillary. Usijishusje saana thamani ya nchi yako kwa kudhani usa ama Uk huu ujinga haupo. Kuna Dr Kerry wa uk alikufa katika maxingira ya kutatanisha baada ya kufanya interview na mwandishi wa bbc baada ya vita ya pili ya Iraq na kukatokea watu kama wewe walisema aliuawa na serikali ya Tony Blair... huna mifano mingi ya nje zaidi ya m8chapo yenu ya gogo vivu ama kupata mziitazo nyeti kutoka kwa kigogo ambaye zaidi ya 60% anaandika uongo.
Hakuna uhusiano wowote kwenye hiyo mifano yako ya conspiracies za vifo vyenye utata!

I render your examples as irrelevant.

Kuna uchunguzi wowote uliofanywa na serikali?

Mengine uliyoandika ni blah 😒
 
Back
Top Bottom