Upo sahihiTaifa ndo linachafuka mkuu. Tizama kwa mapana zaidi.
Hivi wamexico bado wamezuiwa kuingia US.Hilo gazeti lina kazi sana moja kuifuatilia Tanzania 2 kumfuatilia rais wao ambaye hana tofauti na Magufuli. Fikiria katiba nzuri ya Marekani anaikanyaga japo bunge lake lina nguvu je angekua Tanzania na katiba nusu ya chama tawala angekuwaje. Taabu watanzania wapo wanawasikiliza hawa waandishu wa nje bila kufuatilia siasa zao. Kwa siasa za Marekani tangu Trump aingie madarakani hazina tofauti na za ccm. Kule zidumu fikra za Trump hapa zidumu fikra za magu
Kwani wanamjadiri sababu ya kuzulumu haki ya kuishi ya ninyi watanzania wenzake au raia wa marekani ?au tumefikia hatua ya kuwa kama wanyama kwamba hatuguswi tena na mabaya yanayowapata wenzetuWa
Wanajadili ya JPM wakati ya kwao yamewashinda. Si wapambambane na trumpet wao.
Mkuu bhana, kwa hiyo yote yalioandikwa humo ndani,umeona hilo tuThe Washington Post, ndilo gazeti kiongozi la mabeberu duniani!, liliwahi kumngoa hadi rais wa Marekani kwa kwa kuibua ile kashfa ya Watergate iliyomuondoa rais Richard Nixon wa Marekani.
Kuna vingi vimesemwa humu ni vya kweli lakini pia kuna baadhi wameongeza chumvi kama ile ya ku arrest pregnancy girl, hawawi arrested bali wanafukuzwa shule!, wanaokuwa arrested ni the culprits, mafataki wanaowajaza watoto wetu mimba!. Ile issue ya Tandahimba ni wale wasichana waliopata ujauzito sio kuwa arrested bali walitakiwa kuhojiwa ili wawataje waliowapa ujauzito sheria ichukuwe mkondo wake, lakini kwa kuhofia mafataki kupigwa mvua 30, hivyo waliotiwa mimba kuteseka kwa kuzaa watoto bila malezi ya wenye mimba zao, wazazi wa mabinti walioamua ku collaborate na mafataki, ama wawaoe mabinti zao au watoe matunzo, wakienda jela ni mateso kwa binti yao na majanga kwa familia zao.
Tungekuwa na serious media, tungepata a development kuna yoyote alikuwa arrested?.
P
Hivi nyoka weusi wanapatikana wapi ningefurahi kumuona mtoto wa nyoka mweusiMagufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum.
Hakuna maelezo yoyote yale yenye kuingia akilini kwa nini mpaka sasa Makonda hajatumbuliwa ilhali kuna wengine wengi tu ambao wametumbuliwa kiajabuajabu.
Ndio maana kila mtu ana macho yake.Mkuu bhana, kwa hiyo yote yalioandikwa humo ndani,umeona hilo tu
Hatari sana
Kwani Trump alikuwa anazuia wahamiaji haramu au wamemexicoWamexico hawajazuiwa, wahamiaji haramu ndo wamezuiwa.
Wahamiaji haramu. Tatizo ni kwamba wengi ni wa Mexico, Honduras, Guatemala etc. Na ndiyo maana inaonekana kana kwamba ni wao wamepigwa pini. Mpaka wa Mexico na US hauna tofauti na mpaka wa Kenya na Tanzania kule Holili kama unafahamu. Ndiyo maana kuna maeneo Trump analilia ukuta.😎Kwani Trump alikuwa anazuia wahamiaji haramu au wamemexico
Amri yake imetekelezwa au ilitenguliwa?Wahamiaji haramu. Tatizo ni kwamba wengi ni wa Mexico, Honduras, Guatemala etc. Na ndiyo maana inaonekana kana kwamba ni wao wamepigwa pini. Mpaka wa Mexico na US hauna tofauti na mpaka wa Kenya na Tanzania kule Holili kama unafahamu. Ndiyo maana kuna maeneo Trump analilia ukuta.😎
Mkuu kuna amri alizozitoa ambazo zilionekana kana kwamba siyo za halali kwasababu ni kama zililenga mataifa ya kiislam. Na hivyo kukawepo na zuio la mahakama ili kuona kama katiba imevunjwa. Na kuna maamuzi ambayo mahakama ilikwishayafanya.Amri yake imetekelezwa au ilitenguliwa?
AsanteMkuu kuna amri alizozitoa ambazo zilionekana kana kwamba siyo za halali kwasababu ni kama zililenga mataifa ya kiislam. Na hivyo kukawepo na zuio la mahakama ili kuona kama katiba imevunjwa. Na kuna maamuzi ambayo mahakama ilikwishayafanya.
😂Mbula!!
Hapa hapa dar penyewe miili kibao imeokotwa kawe huko nano ameripot zaid ya kurushiana sisi kwa sisi kwenye whatspp ? Chombo gani kimereport ?
Sent using Jamii Forums mobile app