Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

jmushi1,
Hii yote ilikuwa kazi ya Kabendera Erick tangu atunzwe sehemu salama hazipo tena
 
Mbona ccm hamchukui vibali kufanya siasa. Hii itawacost mlishajiaminisha upinzani mmeumaliza lakini Mungu si athumani watetezi wapo
 
Uchafu wa mwenzio auhalalishi uchafu wako...US wanaongoza kukandamiza haki za watu wengine lakini sio raia wao kama sisi hapa Tz
Tena ina mwaka na upukupuku, tena wanajiona wasafi, huku Democrats wanadai Russia wamehusika katika uchaguzi wao, bado kuna swala la vitisho kwa Ukraine na viongozi wa FBI na wengineo, kweli nyani haoni kundule...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wana taarifa nyingi sana. Na hili la Makonda ni kama tu kumbeep jiwe. Ila huwa hawakurupuki hawa wakishaanza mambo yao ni kuwa makini sana. Huwa wana calculations za hali ya juu. Wakisema kitu ujuwe kazi imeanza.
Ukichezea maslai yao ni lazima watakuondoa tu ukiwa na nguvu wanakuundia vikundi vya waasi.Naona Nkuruzinza kaona isiwe tabu ya nn kwenda the hague atogombea
 
Kimsingi kuna siri nzito kati yao.
Ukiangalia kwa undani Makonda hana faida yoyote katika mkoa wake wala taifa.
Hajawi kufanikisha jambo, huanzisha na kuliacha njiani.
Baina yao kuna siri nzito wanayoijua wao.
Huyu rais anashingo ngumu mno na atalipeleka taifa pagumu mno.
Wazee waccm wamemnyamazia tu sababu wanajua wakimgusa kunshauri hawatakuwa salama.
Kama watu wangeruhusiwa kuchukus fomu za uchaguzi, nina uhakika Magufuli atachinjiwa baharini kwa upendeleo huu wa wazi.
Magufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum.

Hakuna maelezo yoyote yale yenye kuingia akilini kwa nini mpaka sasa Makonda hajatumbuliwa ilhali kuna wengine wengi tu ambao wametumbuliwa kiajabuajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zilizopita zingekuwa hazina maana, watu wasingesoma historia.
ameileta in the light of recent events akitaka kutuaminisha out of context kwamba ina direct connection ya kilichotokean juzi.., si sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…