Duh unateseka sana
Kwenye hizi mahakama zetu ambazo majaji wanapokea maelekezo ya Rais?Kwanini wasifungulie shitaka leo hapa Bongoland?
Wewe ni zuzu. Umeifuatilia vizuri hiyo kesi?Accept the mistake and move on
Kwani Lissu ni mwanasheria wa serikali? Uhusika wa Lissu upoje hapa?Habari mbaya kwa Tundu na Chadema...huu uzi umewakera sana.
Kwenye hizi mahakama zetu ambazo majaji wanapokea maelekezo ya Rais?
..Mahakama ya Rufaa ya Tanzania ilishaamua kwamba huyo supplier wa silaha alipwe.
..Sasa jiulize kwanini huyu supplier amekwenda kushitaki nje ya nchi wakati alishinda kesi hapa Tanzania?
..Je, serikali yetu imegoma kuheshimu maamuzi ya mahakama ya Rufaa ya Tanzania?
Wewe ni zuzu. Umeifuatilia vizuri hiyo kesi?
Japo nahisi hii si comment uliyokusudia kuitoa lakini ndo hivyo huna namna unaumia moyoni tu.Kumbe huwa hatuonewi!
Kwahiyo unataka alipwe?dogo acha hizo
Kwa uhusika uleule uliyomfanya akasemaga tutashitakiwa.Kwani Lissu ni mwanasheria wa serikali? Uhusika wa Lissu upoje hapa?
Ulikuwa upigajitu.Siku hizi hatupigwi mweleka mahakamani, vijana wanafanya kazi nzuri sana, ingekua enzi zile tushalala mapema na pesa ishatumwa.
Kwa uhusika uleule uliyomfanya akasemaga tutashitakiwa.
Dk gwajima uko poaHabari mbaya kwa Tundu na Chadema...huu uzi umewakera sana.
Hujitambui bado. Soma bandiko Tena. Au hii kesi serikali ilishitaki au ilishitakiwa? Mataga mna kazi ngumu Sana hasa msimu huu usiohitaji mapambio yenu! Tafuteni mbinu nyingine ya kumshangilia vinginevyo mnakwenda kupotea kabisa kwenye siasa za msimu huu!Kwa uhusika uleule uliyomfanya akasemaga tutashitakiwa.
Wapi nimesema au kumaanisha hvo? Huko lumumba wanavumilia mengi sana kwakweli.Kwahiyo unalialia valambia alipwe
Lisu na wenzie pale bungeni ndo walioanzisha siasa za ajabu za kutojali maslahi ya Taifa hasa pale alipoitishia serikali kwamba ingeshitakiwa na MIGA kisa Serikali kuvunja mikataba ya kinyonyaji,Cdm walihusika kumsupport yule mkimbizi hewaKweli sisi Watanzania ni watu wa kipekee hapa duniani.Hata masuala ya kesi za kisheria tunaingiza uvyama vya siasa?Sifahamu umekigusisha CHADEMA na Lissu kwa misingi gani kwenye Uzi huu!Ila ni aibu kufanya siasa za kichovu katika issues za kitaifa.
Siamini kama Wakili Msomi kama Mh.Lissu anafurahia Tanzania inavyoshtakiwa shtakiwa kwa uzembe wa watawala arrogant tuliokuwa nao tangia enzi za Tanganyika,wanaingia mikataba ya hovyo kwa niaba ya nchi na hawawezi kutimiza hizo terms kwa tamaa zao ndipo zinazaliwa kesi za ajabu ajabu.Ulikuwepo wakati Bombardier ilipozuiliwa Canada?Watawala arrogant wakataka kuficha issue waimalize kimya kimya.Unafamfahamu aliyewaambia Watanzania kuwa ndege yetu imekamatwa? Nadhani sasa Unafahamu jibu la kwa nini Mh.Lissu hafurahii Tanzania kushtakiwa Ama kuchukia Tanzania ikishinda kesi,mashindano nk.Jiongeze.
Halafu hiyo MIGA ni taasisi tu ya World Bank ambayo jukumu lake ni kutoa guarantee kwa wawekezaji katika nchi zinazoendelea, lisu alituingiza chaka na stori zake za kushitakiwa miga.Lisu na wenzie pale bungeni ndo walioanzisha siasa za ajabu za kutojali maslahi ya Taifa hasa pale alipoitishia serikali kwamba ingeshitakiwa na MIGA kisa Serikali kuvunja mikataba ya kinyonyaji,Cdm walihusika kumsupport yule mkimbizi hewa
Nisome tena nini wakati nilichokiandika hujakielewa. Maadamu chama bado kinaendelea kinaongoza hakuna kilichoharibika sijui wewe.Hujitambui bado. Soma bandiko Tena. Au hii kesi serikali ilishitaki au ilishitakiwa? Mataga mna kazi ngumu Sana hasa msimu huu usiohitaji mapambio yenu! Tafuteni mbinu nyingine ya kumshangilia vinginevyo mnakwenda kupotea kabisa kwenye siasa za msimu huu!
Sawa sawa...tulishtakiwa.
..na ndio maana serikali ikaachana na madai ya usd 191 billion dhidi ya accacia.
..na makinikia bado yanasafirishwa kwenda nje.
Lisu na wenzie pale bungeni ndo walioanzisha siasa za ajabu za kutojali maslahi ya Taifa hasa pale alipoitishia serikali kwamba ingeshitakiwa na MIGA kisa Serikali kuvunja mikataba ya kinyonyaji,Cdm walihusika kumsupport yule mkimbizi hewa