Washington, USA: Mahakama yaitupilia mbali rufaa ya familia ya Valambhia dhidi ya Tanzania

Washington, USA: Mahakama yaitupilia mbali rufaa ya familia ya Valambhia dhidi ya Tanzania

..siyo kweli.

..Lissu ni kati ya Watz wa kwanza kabisa kupaza sauti kwamba mikataba ya madini ni mibaya.

..Na hakuna wakati Lissu ametetea makampuni ya madini na unyonyaji wao hapa nchini.

..Alichokisema Lissu, na ambacho kinapotoshwa, ni kwamba ripoti za uchunguzi zilikuwa za kizushi na zenye kulidhalilisha taifa.

..Alitutahadharisha kwamba tuking'ang'ania madai ya usd 191 billion tutashitakiwa na tutashindwa kesi hiyo.

..Alichokisema Lissu ndicho kilichotokea kwasababu zifuatazo :-

1. Hatujalipwa usd 191 billion.
2. Accacia waliishitaki serikali, na waliondoa kesi yao baada ya Barrick kufika bei na kuwanunua.
3. Makinikia yanasafirishwa kuchenjuliwa nje ya nchi.
5. Tumesaini mikataba inayoruhusu Barrick kutushitaki ktk mahakama za nje ya nchi.
Umempa za uso,hawa jamaa wanakawaida ya kuchelewa kuelewa(slow learning) wabishi na wàpotoshaji.Wamekariri MIGA aliyowatahadharisha Mh.Lissu ilhali wali surrender.Kawaida ya MATAGA wakikaririshwa basi wote hunena kauli ile ile kila Siku.
CCM imejimilikisha akili za wanachama wake zipo bohari.Wamebakia kuwaza kama walivyoelekezwa.
 
Back
Top Bottom