Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
- #41
hahaa yepi mkuu?Hapana sijaongelea kuhusu kujipata, nimeona huenda una changamoto ila maelezo mengine sio kweli.
Ni uongo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa yepi mkuu?Hapana sijaongelea kuhusu kujipata, nimeona huenda una changamoto ila maelezo mengine sio kweli.
Ni uongo...
Amsaidie Kwa kumuombea!!?? ...yeye afanye kazi tu na awe na adabu ya fwedha ..wengi tunaikosea heshima Hela ...Pole Mkuu, Lakini inaonesha mwenyewe ndio unaupenda huo umasikini,
1) kwanini usitafute spare time ukamfuata huyo mchungaji na kumlilia hilo jambo lako?! Ili atizame anakusaidiaje?
2) kwanini usiwafuate hao jamaa zako waliojipata ukawalilia hilo jambo lako?!
sahihi chiefAmsaidie Kwa kumuombea!!?? ...yeye afanye kazi tu na awe na adabu ya fwedha ..wengi tunaikosea heshima Hela ...
Mchungaji yeye anaombewa na nani!?? .... Ajiombee tu amkumbuke Mungu wake kila wakati inamtosha.... Akikosa mchungaji hatoombewa Daima!?? Siku hizi nao chenga tu .... Naona hata Roma napo huku kwetu kamtindo kanaanza kuota mizizi kaku"jali" wanaotoa sana sadaka na majitoleo mbalimbali michango kibao sadaka mpaka nne Misa Moja , mara mtaa wa askofu , mara ujenzi wa Jimbo kuu mara Nini yaani kidogo sadaka .... Misa zinakuwa kama harambee .....Hilo kanisa lazima ni KKKT, wanatukuza sana wenye pesa.
Nadhani nyie ambao bado hamjafanikiwa mlitakiwa muombewe pia ili neema ya bwana iwashukie.
Hivi haka kamsemo huwa kana maana gani...?Life's begin at 40
wewe una 40??
Doh mimi nakula milo miwili tu mwaka mzima huu Breakfast na mchana tuHauna pakulala -homeless
Unakosa Milo mitatu 3 kwa siku
Hauna Afya imara umelazwa au upo ICU
Hauna mavazi unatembea uchi
Kama una hivyo vitu na unalalamika kuwa wewe ni Masikini Basi huo umasikini unaouimba utakuvaa na utapoteza Kila kitu ikiwemo furaha
Watoto wetu pangu pakavu tia mchuzi wafundishwe na nani...... Afundishe na atafue Cha ziada Cha kuingiza kipato ... Kuacha kazi sio kazi ,kazi ni kutafuta kazi.Hongera mkuu kwa kuiona hii tofauti na ikakusumbua. Hii ni hatua muhimu sana katika ukuaji wako! Tengeneza ukaribu na hawa vijana wenzako na uwe tayari kuanzia chini na kufanya kazi kwa juhudi,maarifa na uaminifu mkubwa. Kama wewe ni mwalimu acha mara moja kwa sababu hiyo kada kwa nchi yetu imetelekezwa!
37 mkuuLife's begin at 40
wewe una 40??
Kuzaliwa masikini siyo kosa lako, kufa masikini litakuwa ni kosa lako mwenyewe..hali ya kiuchumi inasikitisha, usiombe kabisa.
umasikitini ni utumwa
Unakataje tamaa na una ishi Bado !?? Hakuna kukata tamaaa .....hata tukitajirikia uzeeni... Wengine tupo kipindi Cha pili Cha maisha hapa kama wewe tu ...na kipindi Cha Kwanza tulishapoteza tunajitafuta kusawazisha na kushinda hii mechi .....beki zimepanda Ikibidi Hadi kipa atapanda 40's na Bado ungaunga mwana ni pasua kichwa asee...hakuna kurudisha mpira Kwa kipa ni mbele Kwa mbele mpaka kieleweke.....waambie chief, japo bado sijakata tamaa.
na namtumainia MUNGU
hahaaaBila shaka hii itakuwa uchagani😂🤣
sahihiMchungaji yeye anaombewa na nani!?? .... Ajiombee tu amkumbuke Mungu wake kila wakati inamtosha.... Akikosa mchungaji hatoombewa Daima!?? Siku hizi nao chenga tu .... Naona hata Roma napo huku kwetu kamtindo kanaanza kuota mizizi kaku"jali" wanaotoa sana sadaka na majitoleo mbalimbali michango kibao sadaka mpaka nne Misa Moja , mara mtaa wa askofu , mara ujenzi wa Jimbo kuu mara Nini yaani kidogo sadaka .... Misa zinakuwa kama harambee .....
Yaah chiefPambana tuu mkuu haupo peke yako
ulichukua hatua gani, nipate somo.Uyu ana sumbuliwa na tamaa tu .uwezi kufanikiwa kwa kuwaza tu Kijana..nilkuaga kama wewe kipindi fulani kabla sija ona mawazo yanani potezea mda tu
Bado una_advantage ya 3 mbele kaza... don't compare yourself with other's sjui umenielewa??37 mkuu