Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

ogopa sana mtu anaefundisha vitu ambavyo hata yeye ameshindwa kuviishi!

be careful chief, let pull our effort
''Mwanaume Kuwa Na Hela Ni Sawa Na Demu Kuwa Mzuri.../ Umasikini Jeuri Ni Msemo Tu Usiuweke Kwenye Akili.../'' - Mwana FA

Ngoja tuishi humo mkuu, let's pull the effort to the fullest.
 
noted chief , nimeona
 
๐๐š๐ค๐ž๐ ๐œ๐จ๐ฆ๐ฆ๐ž๐ง๐ญ
 
Ukiona una wasiwasi na hali yako ya maisha ya sasa jua unajitambua , wapo wengi ni vijana wadogo wameshakata tamaa wanaona ni kawaida tu.

Mbaya zaidi ni pale kujilinganisha kwako na hao walifanikiwa kutakapo kufanya ukate tamaa .
๐ƒ๐จ๐ง'๐ญ ๐œ๐จ๐ฆ๐ฉ๐š๐ซ๐ž ๐ฒ๐จ๐ฎ๐ซ๐ฌ๐ž๐ฅ๐Ÿ ๐ฐ๐ข๐ญ๐ก ๐จ๐ญ๐ก๐ž๐ซ๐ฌ, ๐ฐ๐ž ๐๐จ๐ง'๐ญ ๐ก๐š๐ฏ๐ž ๐ญ๐ก๐ž ๐ฌ๐š๐ฆ๐ž ๐ฉ๐š๐ฉ๐ž๐ซ ๐ข๐ง ๐ฅ๐ข๐Ÿ๐ž
 
I understand....Kuna watakaobeza...but as human ni kwl usiangalie ya watu ila Kuna saa unapambana mpaka jasho la mwisho no Kulala halafu inakuwa 0.... Kila mtu na siku yake ya kufanikiwa kubarikiwa au kuwa juu
๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข
 
Hiyo hatua kajiweka yeye hapo hivyo Nguvu ya kwenda mbele ipo ndani yake.
๐‡๐š๐ฉ๐š ๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ฎ๐ ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฆ๐ค๐ฎ๐ฎ, ๐œ๐ก๐š ๐ฆ๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐š๐ฉ๐š๐ฆ๐›๐š๐ง๐ž ๐ญ๐ฎ ๐ฎ๐ง๐ญ๐ข๐ฅ ๐ญ๐จ ๐ญ๐ก๐ž ๐ž๐ง๐ ๐š๐œ๐œ๐จ๐ซ๐๐ข๐ง๐  ๐ญ๐จ ๐Œ๐š๐ซ๐ฑ๐ข๐ฌ๐ฆ
 
Hii ni kwel mkuu , ila anaweza jifunza kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ