Washkaji wenye Afro mnafanyaje nywele zinakuwa nyingi kiasi hicho

Ahsante broo
 
Mwanaume unatamani kuwa na nywele kama dada zetu aloooo ukizipata hukawii kutamani kuguswa reeeender
 
Acha kuwa na mawazo ya kizamani ww

Hii ni dunia huru, sio dhambi kutamani anachokipenda.

Kufunga nywele ni hobby Tu ya mtu. Hamuwezi kufanana kifikra.

Kila mtu na style zake, Acha kumkebehi mwenzio.
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…