Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Bado una akili za kibaka Jiwe.Ilitakiwa wajengewe shule zao Kama ilivyokuwa memkwa kuwachanganya na watoto wasiojua mjegejo ni hatari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado una akili za kibaka Jiwe.Ilitakiwa wajengewe shule zao Kama ilivyokuwa memkwa kuwachanganya na watoto wasiojua mjegejo ni hatari.
Wengine ndo wanaongeza ujinga zaidiSafi wasome watoe ujinga kichwani
Hauwezi kuwachanganya wazazi na watoto wakae wasome pamoja,mtatuharibia watoto wetu ilitakiwa mjengewe madarasa yenuBado una akili za kibaka Jiwe.
Alivyokua anaitafuta mimba hakujua mbele kuna kikwazo cha kuendelea kusoma? Magufuli alikuwa sahihi kabisa.HONGERA AWAMU YA SITA, UNANYIMA HAKI ZA KIMSINGI WATOTO 3,333 HUU ULIKUWA NI UFASHISTI NA UKATILI WA HALI YA KIWANGO CHA JUU KABISA NA UKANDAMIZAJI ULIOPITILIZA.
Wazo zuri bora watengwe kabisaHauwezi kuwachanganya wazazi na watoto wakae wasome pamoja,mtatuharibia watoto wetu ilitakiwa mjengewe madarasa yenu
Kwahiyo unaona kua na taifa la wajinga ni bora kuliko kua na wanafunzi wazazi.Nchi lazima liende na yote kwa pamoja.kuelimisha jamii yake na kulea watoto wanaozaliwa kwenye taifa husika.Tusijifanye tuna misimamo sana wakati mambo mengine tu ya kawaida yametushinda.Hauwezi kuwachanganya wazazi na watoto wakae wasome pamoja,mtatuharibia watoto wetu ilitakiwa mjengewe madarasa yenu
Ujinga ni huu yakuona kuzaa ni kosa ila kukosa elimu sio kosa.Huu ni ujinga kurudisha watu ambao walishajifungua shule. Hapa hapana tunataka kiwafundisha mabinti kuwa kugegedwa wakiwa shule ni sawa tuu maana ata wakizaa fresh tuu.
Ila wapuuzi wakubwa ni wazazi. Maana hawa wazazi ndio wanakubaliana na huu ujinga na kuwasaidia hao watoto wao kulea vijukuu. Hapa marehemu alikuwa sahihi kabisa.
Ina maana waliokuwa wamekatishwa masomo walikuwa 3002.7 say 3003 lakini wamefanikiwa kuwarudisha 3333 which is 111% [emoji1787][emoji1787][emoji1787]111% how?
Wasichana 3,333 sawa na 111% wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21 waliokatisha masomo ya elimu ya sekondari kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutokana na mazingira magumu, kupata ujauzito na ndoa za utotoni wamerejeshwa shuleni mwaka 2021/2022.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima(TEWW), Dk Michael Ng’umbi ameyasema hayo wakati akielezea shughuli mbalimbali za taasisi hiyo na mwelekeo wa utekelezaji wa bajeti ya 2022/2023.
“Tutajitahidi mwaka huu mwingine tujitahidi tupate namba hiyo hiyo ili waanze tena Januari mwakani,” amesema.
Dk Ng’umbi amesema programu hiyo ni kwa ajili ya wale waliokatiza masomo kwa wanafunzi wa sekondari tu.
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali ambalo linajishughuliasha na Wanawake na Watoto (Wowap), Fatma Toufiq amesema hatua hiyo ni kubwa ya kuwawezesha wasichana hao kutimiza ndoto zao walizozikatisha kwasababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ujauzito kutokana na kutokuwa na elimu sahihi ya afya ya uzazi.
“Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kubali watoto hawa waweze kurejea shuleni. Hawa wamekuwa majasiri, hawakuogopa kunyanyapaliwa. Wanachotakiwa kufanya ni kufuata mambo yaliyowapeleka pale, wasirudie tena makosa kwasababu kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa ndio kosa,”amesema Fatuma ambaye pia ni mbunge wa viti maalum.
Novemba 2021, aliyekuwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako alitangaza uamuzi wa Serikali wakuruhusu wanafunzi wa shule za msingi na sekondari waliokatisha masomo kutokana na sababu mbalimbali kurejea shuleni.
Ndiyo mawazo yako yalipogota?Uombewe.Hauwezi kuwachanganya wazazi na watoto wakae wasome pamoja,mtatuharibia watoto wetu ilitakiwa mjengewe madarasa yenu
Itapunguza nini mamaa?Mbona kwenye maisha tunaishi na ninyi mliozaa na hatuwaulizi kitu?Acheni ubaguzi!Watasoma wenyewe au watasoma na hao ambao bado kujifungua ?
Lazima tu unipingeWengine ndo wanaongeza ujinga zaidi
Wtz wenyewe elimu haijawasaidia ata kidogoUjinga ni huu yakuona kuzaa ni kosa ila kukosa elimu sio kosa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna waliobakwa mkuuHuyo alishakuwa malaya na mzazi wake mwenyewe malaya
One step at a timePoa poa mkuu, na umeme na maji vipi?