Wasichana kuwaburuza kaka zao ktk 10 bora za matokeo ya NECTA ni uwezo wao, wanawezeshwa kijinsia au wavulana wamepunguza bidii

Wasichana kuwaburuza kaka zao ktk 10 bora za matokeo ya NECTA ni uwezo wao, wanawezeshwa kijinsia au wavulana wamepunguza bidii

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Orodha hiiya matokeo ya leo kuna wavulana watatu pekee

๐–๐š๐ง๐š๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ณ๐ข ๐Ÿ๐ŸŽ ๐›๐จ๐ซ๐š ๐ค๐ข๐ญ๐š๐ข๐Ÿ๐š ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ ๐ค๐ข๐๐š๐ญ๐จ ๐œ๐ก๐š ๐ฌ๐ข๐ญ๐š

1. Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) โ€“ St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga.

2. Lucy Magashi (PCB) Shule ya St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga.

3. Mhewa Charles Kamando (PCB) โ€“ Tabora Boys

4. Minaeli Simon Mgonja (PCB) St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga.

5. Norah Eliaza Kidijoiti (PCB) โ€“ Shule ya St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga.

6. Jennifer Martin Chuwa (PCB) St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga

7. Paulina Aldephonce Mabamba (PCM) St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga.

8. Rachel Joachim Moshi (PCM) St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga

9. Kurwa Mbizo Elias (PCB) Tabora Boys

10. Oscar Eliakimu Marabe (PCB) Tabora boys
 
Wanawake wapo juu sasaivi kwa kila kitu.....
 
Orodha hiiya matokeo ya leo kuna wavulana watatu pekee

๐–๐š๐ง๐š๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ณ๐ข ๐Ÿ๐ŸŽ ๐›๐จ๐ซ๐š ๐ค๐ข๐ญ๐š๐ข๐Ÿ๐š ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ ๐ค๐ข๐๐š๐ญ๐จ ๐œ๐ก๐š ๐ฌ๐ข๐ญ๐š

1.Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) โ€“ St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga.

2.Lucy Magashi (PCB) Shule ya St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga.

3.Mhewa Charles Kamando (PCB) โ€“ Tabora Boys

4.Minaeli Simon Mgonja (PCB) St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga.

5.Norah Eliaza Kidijoiti (PCB) โ€“ Shule ya St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga.

6.Jennifer Martin Chuwa (PCB) St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga

7. Paulina Aldephonce Mabamba (PCM) St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga.

8.Rachel Joachim Moshi (PCM) St. Maryโ€™s Mazinde Juu Tanga

9.Kurwa Mbizo Elias (PCB) Tabora Boys

10.Oscar Eliakimu Marabe (PCB) Tabora boys
Siku hizi watoto wote wanafaulu sio ajabu tena
 
Mwanamke akipata shule bora anakuwa kisu hatari kuliko wanaume wanaoendeshwa na juhudi binafsi zaidi.

Ni rahisi kukuta wanawake wachache wanapasua sana ila overall performance ya nchi nzima imeshikiliwa na wanaume.
 
baada ya miaka 15 mbele hawa madocta watatutibu vizuri kweli
Nakuona vile ulivyolitegesha hili bomu kama midude ya Russia. Anyways, Tanzania ina vipaji, sema tu wanaishia ughaibuni wengi wao kama mchwa kwenye kichuguu.
 
Nguvu ya kumlinda mtoto wa kiume imepungua ilitakiwa wakati tumeamua kumnyanyua binti basi wakiume hakutakiwa kuachwa nyuma au palepale kama ilivyo bali ilitakiwa wasaidiwe wote.
 
Nguvu ya kumlinda mtoto wa kiume imepungua ilitakiwa wakati tumeamua kumnyanyua binti basi wakiume hakutakiwa kuachwa nyuma au palepale kama ilivyo bali ilitakiwa wasaidiwe wote.
Wenyewe wanaamini kumshusha wa kiume na kumpandisha wa kike ndio haki sawa..
 
Back
Top Bottom