Wasichana wakiwekwa shule za girls tupu wakiwa wadogo kabla kuvunja ungo wanakuwa na akili nyingi mno
Wasichana akili zao hukomaa mapema kuliko wavulana
Ukitaka mtoto wa kike afanye vizuri muwaishe shule mapema sana kuvunja ungo kumkute sekondari ya wasichana sio mixed za boys na girls utashangaa akili zake
Lakini akivunjia ungo kwenye mixed school shida
Wazazi wengi mtu usione wanajinyima kupeleka watoto wa kike girls only schools tena za porini kama Mazinde juu nk
Wanaelewa kuwa wa kike muwahi mapema kama unataka matokeo mazuri
Watoto wa kiume akili wengi wao.kadoro wachache inachelewa kukua na kuamka wengine inaamkia chuo kikuu huku nyuma kavurunda au kapata pass za chini sekondari wanakumbuka shuka kukiwa kumekucha