Wasichana kuwaburuza kaka zao ktk 10 bora za matokeo ya NECTA ni uwezo wao, wanawezeshwa kijinsia au wavulana wamepunguza bidii

Wasichana kuwaburuza kaka zao ktk 10 bora za matokeo ya NECTA ni uwezo wao, wanawezeshwa kijinsia au wavulana wamepunguza bidii

Kesho riziwani akiwa rais best school itatoka msoga kweli magufuli alitufikisha pabaya Sana.
 
Ishu ni kwamba saiv kuna wimbi kubwa la wanafunzi bora kukimbilia PCB wengi wakiamin ndo kombi yenye fursa which is viceversa
Mimi sipendi kabisa PCB hata siruhusu, wadogo zangu wooote PCM tuuu.
 
Nafikiri hao Mazinde wangetusanua tu pepa zinavujishwaje hapo!?
 
nilizoea miaka ya nyuma wanaoongoza ni Hgk,hgl ila sasaivi Pcb,Pcm wanatusua balaa mpaka naogopa baada ya miaka 15 mbele hawa madocta watatutibu vizuri kweli
Usanii
Elimu imeingia siasa
 
Wanauwezo mkubwa wa kukariri, tofauti na wanaume. Girls read btn the lines but boys compose it.
 
Hata wakati ule Geita na Chato zilitoa wanafunzi bora na shule bora

Kila zama na kitabu chake, japo wanaharibu maisha ya wengi, tunakuwa na wasomi wa kufaulu tu
Siasa uchara imeingia kwenye elimu
 
Wazee elimu siku hz inarahisishwa sana zaman mtu aliyekua anapata one alkua yuko competent kila idara.. ckuhz mtoto anapata one uwezo still mdogo..
Serikali itoe siasa kwenye elimu tunazalisha wataalam wa ovyo miaka ijayo
Huoni siku hizi wanasiasa wanapewa PhD??
Zimekua nyingi
 
Kesho riziwani akiwa rais best school itatoka msoga kweli magufuli alitufikisha pabaya Sana.
Yule mzee alilea upumbavu wa watu fulan sasa wanaendeleza ule ujinga na utaota mizizi tuu

Madhara yake mtayaona muda si mrefu
 
Mwanamke akipata shule bora anakuwa kisu hatari kuliko wanaume wanaoendeshwa na juhudi binafsi zaidi.

Ni rahisi kukuta wanawake wachache wanapasua sana ila overall performance ya nchi nzima imeshikiliwa na wanaume.
Missing you
 
Orodha hiiya matokeo ya leo kuna wavulana watatu pekee

𝐖𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐢 𝟏𝟎 𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚 𝟐𝟎𝟐𝟐 𝐤𝐢𝐝𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐭𝐚

1. Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) – St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

2. Lucy Magashi (PCB) Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

3. Mhewa Charles Kamando (PCB) – Tabora Boys

4. Minaeli Simon Mgonja (PCB) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

5. Norah Eliaza Kidijoiti (PCB) – Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

6. Jennifer Martin Chuwa (PCB) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga

7. Paulina Aldephonce Mabamba (PCM) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

8. Rachel Joachim Moshi (PCM) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga

9. Kurwa Mbizo Elias (PCB) Tabora Boys

10. Oscar Eliakimu Marabe (PCB) Tabora boys
Huko tunakokwenda kuna hatari kubwa sana duniani. Wanawake wanapigiwa debe sana kupitia kiasi,
. Sasa serikali nyingi hasa za Kiafrika zimeweka mkazo mkubwa sana kwa ajili ya kuendeleza wasichana. Sikatai kwa ukweli kwamba wanawake wamedhulumiwa sana tokana na fumo dume. Ila hatari ninayoiona ni juu ya watoto wa kiume kuwa dhaifu mbele ya wanawake. Hii imetokana na kisaikolojia wanaume, kisaikolojia wako dhaifu au kutishika upesi na pengine kufanya pungufu ya wajibu wake kama mwanaume. Wanawake kwa kawaida ni washindani wakubwa wa madaraka na pia ni washawishi wakubwa. Ukiangalia hata katika ndoa mwanamke ana nguvu kubwa sana ya ushawishi akitaka yeye atawale kwa sehemu kubwa ya maamuzi. Familia ambazo zinakaa vizuri asilimia kubwa mwanamke ndio msimamizi mkubwa wa pesa pale nyumbani. Kwa kuwa amepewa hayo madaraka. Mwanaume akifanya hivyo haaminiki. Mfano kuna familia moja anayetoa pesa yote ya matumizi nyumbani na kusomesha watoto ni mwanaume, lakini pamoja na hayo mwanamke anataka ahusike na pesa ya mume wake ambayo inafikirika inatumika visivyo, huku mwanamke anakazi yake na hachangii lo lote kwa familia. Wala hamhusishi mume wake na matumizi ya pesa yake. Lakini bado anataka pesa ya mume wake kwa kila kitu.

Sasa kuna mpango wa kujenga shule za sekondari kila mkoa kwa ajili ya wanawake tu, wakati shule mchnaganyiko na huko wamo. Mwisho itakuwa ni nini?
Tuwaendeleze wanawake lakini tusisahau kuwaendeleza watoto wa kiume. Hii itachangia kuongezeka kwa kuvunjika ndoa na pia watu kutooa kabisa. Tukumbuke kwamba mwanaume ndiye kiongozi wa nyumba hata kama mwanamke atakuwa na PHD.
Nchi zinazoendelea wanakazia tuweke idadi ya wanwake sawa na wanaume kwenye uongozi. Nchi gani imefanya hivyo tangu kuumbwa kwa ulimwengu, angalia Marekani, Uingereza, Ujerumani nk, ipi ina idadi sawa ya viongozi katika yao? Je, wanawake wasiwe viongozi sio maana yake, bali tusilazimishe mwanamke awe kiongozi kwa sababu tunataka kuweka usawa wa kijinsia kwenye uongozi.
Maana yangu tuwaendeleza wanaume lakini tusifanye kwa kutojali uhalisia wa maisha.
 
Watoto gani unaowazungumzia? Isijekuwa unawaongelea hao ^magrajueti^ wa shule za kata.
Bro uozo haupo tuu shule za kata ata baadh ya shule za private graduates wake ni waovyo sana tena afdhali graduate wa kata kuliko hao wa private ambao ni spoon feeders
 
Back
Top Bottom