Wasichana na Kizazi hiki wamekuwa hatari sana

Umenena vyema

Kingsmann
 
Hakikisha umevaa bullet proof na helmet ya kivita! Wanakuja na silaha za maangamizi ikiwemo nyuklia bombs😂😂😅
 
Kwani Wanadanga wenyewe? Wanaofanikisha Udangaji nao walaumiwe.

huku nikujifariji kwa kuidanganya nafsi au kughairisha tatizo ukiamini umesolve..

Anaye dhalilika hapa ni Mwanamke sio mwanaume mnunuzi...sasa tusiilazmishe jamii iamini hata mnunuzi anadhalilika wakati "nature" inakataa...

Mtaani mwanamke akiwa na uhusiano na wanaume watatu ataitwa malaya tu na atanyooshewa vidole sana, ila mwanaume akifanya hivyo mtaa unakuwa kimya...hii ni nature tusishindane nayo... na ni tafsiri ya uthamani wa kiumbe anayeitwa mwanamke..
 
Ajira hamna... alisikika mdangaji mmoja akiongea peke ake.

duniani kote kila mahala kuna tatizo la ajira...basi kila mwanamke kila mahala akajiuze..?.....hapana aisee huu ni uvivu wa kufikiri na mwisho wake ni kujilaani mwenyewe na unakufa bila maendeleo yeyote zaidi ya kuwa na CV mbovu...
 
90% ya hawa wanaoishi maisha haya mwisho wao unakuwa wa hovyo sana na huwa malengo yao hayatimii zaidi ya kuishi hivyo mpaka uzee kiasi cha kudhalilisha hata familia,watoto, mme nk.. na wengine huishia kuwa Malaya aka Makahaba mpaka uzee wao..( unakuta bibi kizee anashindana na umri ili aendelee kudanga).
 
Swala la kuoa ni changamoto sana kipindi hiki ...coz...Watoto wanachakatwa kwel kwel ..Tamaa na show off za kijinga ndo zinawapoteza ..siku hz route ya kwampalange gari zinajaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…