Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
watu wanne tofauti haoTolu, rich, dark and handsome 😇😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wanne tofauti haoTolu, rich, dark and handsome 😇😂
Kwa kweli lakini nitajibu tu 🤦🏽♀️🤦🏽♀️Kwa nini uliachana na mumeo??
Je mlifunga ndoa za mikataba mfano miaka mitano mitano
Je unampango wa kuja bongoland??
Naomba nijibu maswali yangu then tuendelee
Samahan lkn nakufanyia screening hapa
Inaonesha wewe ni wife material
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nashukuru kujibu maswali yanguKwa kweli lakini nitajibu tu [emoji2362][emoji2362]
Mimi sikufunga ndoa ya mkataba.
Naweza sema sababu ya kuachana alikuwa anataka niishi kama niko Saudi Arabia na niko London.
Sheria za kule kuwa ni mzaliwa wa kule, nilijaribu nikashindwa.
Kwa mfano wanawake wanavyotakiwa kuwa kule, usiendeshe gari na kathalika.
Lakini pia mama wangu alipenda mnooo niwe na Mtanzania mwezangu kwa hiyo hii ilikuwa ni ngumu pia.
Nakuja Bongo kutembea tu sio kushi.
Ni screening ya kutosha mnooo, kwa kweli.
Na wewe ni Mtanzania mbona naona picha ya mzungu hapo juu, umesoma profile yangu vizuri. Ahsante saaana
Kwanza unavigozo vyangu vyote. Ahsante saaanaNashukuru kujibu maswali yangu
Mimi ni mtanzania kabsaaa
Hiyo picha ni ya rais Vladimir Putin
Napenda misimamo yake ndiyo maana nimeweka
Je unampango wa kuja Tz siku za karibun??
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ucjali mamaKwanza unavigozo vyangu vyote. Ahsante saaana
Kwa kweli
Je unaweza kuja Tz siku za karibun??Kwa kweli
😂😂😂😂 Ndiyo uone sasa!!!Sijapata ona kabisa
Hata hivyo mbona wengi wao huwa hawateseki.Wanawake, mabinti wa sasa hawataki ugumu wa maisha, wanaogopa kuteseka.
Na kwa taarifa yako hata kwenye Quran hakuna sehemu wanawake wamekatazwa kuolewa na watu wa kitabu . Ndio maana kuna nchi kama Tunisia wanaruhusu wanawake wa kiislamu kuolewa na wakristo au wayahudi.Mkuu umekosea.
Dini ya kiislamu inaruhusu mwanaume wa kiislam kuoa mwanamke wa dini zingine zilizoletewa Kitabu... yaani (wakristo na wayahudi..)
Waislamu wengi madrasa mnafundishwa kukariri kiarabu.. huku hampewi maana sahihi ya hicho kiarab mnachokikariri
Mfano Kassim majaliwa ambaye ni muislamu kamuoa mkristo marry majaliwa. Hapo kwa dini ya kiislam ni ndoa halali kabisaa
inaruhusiwa kwa mwanaume wa Kiislamu kuoa mwanamke asiye Muislamu maadam awe Mkristo au Myahudi. Lakini hairuhusiwi kwake kumuoa mwanamke asiyekuwa Muislamu ambaye si mfuasi wa dini ya Ukristo au Uyahudi. Dalili ya jambo hili ni aya ya Qur’an ambapo Mwenyezi Mungu anasema:
“Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha wale waliopewa Kitabu ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao. Na mmehalalishiwa (kuwaoa) wanawake wema wa Kiislamu na wanawake wema katika wale waliopewa Kitabu kabla yenu. (NI halali kwenu kuwao) mtakapowapa mahari yao, mkafunga ndoa, biloa kufanya uzinzi wala kuwaweka kinyumba.” (5:5)
Katika kusherehesha aya hii, Imam Tabari anasema:
“Wanawake wema miongoni mwa waumini na wanawake wema miongoni mwa wale waliopewa”, maana yake ni wanawake walio huru miongoni mwa wale waliopewa Kitabu nao ni Wayahudi na Wakristo wanaoamini yaliyomo katika Taurati na Injili. Mnaruhusiwa kuwaoa mnapokuwa mmewapa mahari yao (Tafseer al-Qurtubi, 6/104)
🙄🙄🙄😁😁😁😁Zanzibar2014 ni member mpya Jamani mkaribisheni basi amejoin jana ila mshaanza kumchangamsha pia muelekezeni na ku reply.
Kwa mila na tamaduni zetu sisi utaratibu huo haupo...
Kwahio unahisi mume akijifanya houseboy ndio atavumilika?Umeona ee ndo maana haitawezekana kamwe mume jobless kuvumiliwa kwa muda mrefu maana hatakubali kugeuka housiboi
Kwahio unahisi mume akijifanya houseboy ndio atavumilika?...
Acha kuota hio ndoto sababu haiwezi kuja kuwa kweli.Yeah mkuu mkukikubali kuchukua nafasi ya mwanamke ndani ya nyumba mambo yataweza badilika huko mbeleni. Ila sio ile pesa huna na bado unaanza kuleta ubabe haivumiliki ati
Acha kuota hio ndoto sababu haiwezi kuja kuwa kweli. Unless umejiandaa kuzalishwa na kuachiwa watoto ulee mwenyewe sababu ya kiburi cha hicho kibarua hapo NMB