Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Vigezo vikiwa vingi utazeeka bila ndoa/mtotoAwe na vigezo, ahsante saaana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vigezo vikiwa vingi utazeeka bila ndoa/mtotoAwe na vigezo, ahsante saaana
Sio sawa kabisaHao ni wadangaji wanatafuta kamseleko hamna muolewaji
Kwa kweliMoja ya masharti ya kipumbavu sana ya dada, wanasahau wengine tulishahama kwenye kuajiriwa saiz tunaajiri.
Mtu mnaonana mara ya kwanza tu anaanza kuuliza unafanya kaz gani, huwa nawaambia mi jobless.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Unajuaje huna tatizo la uzazi na ilihali up to 41yo huna mtoto ??Mimi sina tatizo la uzazi.
Sawa ahsante saaanaVigezo vikiwa vingi utazeeka bila ndoa/mtoto
Nimeshajibu mume wangu alopita hakuwa na uzazi.Unajuaje huna tatizo la uzazi na ilihali up to 41yo huna mtoto ??
Ndio maana wengi wao bado wanaishi kwao na wazazi wait eti kisa hawajapata mwanaume anayekidhi vigezo vyao.Unakuta dada wa watu Ana miaka 26+ na bado anaishi kwao.
Ladies,learn not to be too much " selective"
sasa usichelewe, njoo kwa mzee mwenzio hapa nikupatie mtoto ukimbizane na muda, mambo ya kuchaguachagua utakuta mwana siyo wakoYote nayajuwa
🙄😳sasa usichelewe, njoo kwa mzee mwenzio hapa nikupatie mtoto ukimbizane na muda, mambo ya kuchaguachagua utakuta mwana siyo wako
Kwa kweliKuna wenye 26 plus 9
Sio kweliLabda wapate bima ya AFYA kurahisisha utibuji uTi SUGU zao
nawafanyakazi mnaooa mjitathimini pia
Weka kapicha basi, waoaji wazame pmSawa ahsante saaana
Sawa ahsante saaanaVigezo vikiwa vingi utazeeka bila ndoa/mtoto
Hahaaaaa heee kwakweli ndowale huonyesha makaburi hewa ya wanaumezaoNimeshajibu mume wangu alopita hakuwa na uzazi.
Picha ipo kwenye avatar yangu, ahsante saana.Weka kapicha basi, waoaji wazame pm
Hapo London diospora wakiume wapo au hawapoSio kweli
Sio sawa kabisa, yote ni majaaliwa ya M/Mungu.Hahaaaaa heee kwakweli ndowale huonyesha makaburi hewa ya wanaumezao