Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
Hii hanihusu mimi🤣 Kuna tenda ya kupaka rangi mawingu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hanihusu mimi🤣 Kuna tenda ya kupaka rangi mawingu
Kweli mimi ni mpya hapa sijui chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mume wangu hakuwa na uwezo wa kunipa watoto. Yote ni maajaliwa ya MunguNini faida ya kuchelewa kuzaa?
Hii inanihusu mimiNimeupokea with smile,niko poa Sana nilifurahi kukuona. Mie hapa napita kwa mwendo kasi kidogo....Be well Malcom
Yote nayajuwahauna haraka?, muda unakimbia
Nimekusikia ahsante saaanaWanawake wa ckuiz Wana vigezo vya ajabu Sana kwa wanaume wanaotaka wawaoe.
Utasikia limwanamke likisema Mimi nataka mwanaume tall,black, handsome & rich.Eti kwa vigezo hivi ukikosa tu kimoja Basi imekula kwako.
Ndio maana wengi wao bado wanaishi kwao na wazazi wait eti kisa hawajapata mwanaume anayekidhi vigezo vyao.Unakuta dada wa watu Ana miaka 26+ na bado anaishi kwao.
Ladies,learn not to be too much " selective"
Hilo nenoUpo sahihi mkuu. Mwanaume akiwa jobless atateseka sana ndani ya nyumba. Ila teso kubwa ni ile kuanza zamu ya kuosha vyombo,kudeki,kupika,etc ni bora tu mwanaume abaki kubeba na na sio kubebwa
Tukiwa jobless mnatubeba sababu tunachakalika ndani ya nyumba. Mkuu utafurahi mkeo awe na ajira halafu wewe uwe baba wa nyumbani na kufanya zile kazi zote za ndani?
Sio sawa kabisaTumeshawasoma ....ni mwendo wa kufunua tu na kufunika kwa hawa wenye akili za kushikizwaa...yaan mtu anakuuliza unafanya kazi.gani wkt yy nI housegirl mtaa wa pili...na ukimwambia kazi yako anaanza idharau as if yey anafanyia UN
Sikusema hivyo soma vigezo vyangu vyote.We unataka mumeo awe na kazi tu, hata kama hakupendi we hujali ila awe na kazi tu au sio?
Sikusema hivyo soma vigezo vyangu vyote.
Upendo ni nyongeza, ahsante saaana
Sio sahihi kazi ni kazi tuHao ndo mademu wa kileo, ukimwambia tu we ni machinga ujue utakwama na zoezi la mahusiano linaishia hapo hata kama lengo ni kupewa mbunye hutapewa 😂😂😂!
Ila we sema ni manager masoko wa sigara au serengeti breweries. Utaona jinsi anavyozidisha bashasha juu yako.
Kama utakosa mume; nakushauri utafute mtu mzae nae hata watoto wawili.Mume wangu hakuwa na uwezo wa kunipa watoto. Yote ni maajaliwa ya Mungu
Hilo neno lakini sio sawanimeliongelea kwa upana kwamba ukiwa na kazi bongo wanawake ni wengi watakaokuzonga wakitamani uwaoe ila ukiwa huna hali ni tofauti.
Nimekuelewa vizuriYuko mwngine jana nlichapa saundi....ila nkaona anaelekea sema sasa tulikuwa tunachat tu na yuko active kureply....akaanza na maswali yake ya kichoko"unafanya kazi gani",?nlijifanya sijaona.hyo msg nkaskip na kujibu nyingine tu cz sipend kabxa kuulizwa hayo maswali.:.ila nliona anakazia tu kwmba kwa nini sitaki kumwambia kazi nnayofanya......nliamua kumdanganya tu kuwa nasukuma tu toroli hapo stand na kujipatia chochote kitu....cha ajabu alianza nambia kwa nini nafanya kazi za hivyo?mara ananambia sifananii kufanya kazi kusukuma toroli na baada ya hapo akawa hajibu tena msg...nikajua tu wanaweka wengi wa ss hivi wanapenda mwanaume ambaye tayar anajiweza...nlimshangaa sanaa cz hata maisha yake ni.ya kuunga na anaish kwa dada yake ila anadharau kazi wanazofanya wanaaume na kuwaingizia kipato.....ki ujumla tu wanawake wa ss iv ni rahic kujua hili dish ni zuku au continental cz wana expose ujinga wao mapena sanaa hata kabla haujaingia nao kweny mahusiano
NimekusikiaMaisha magumu
Kama utakosa mume; nakushauri utafute mtu mzae nae hata watoto
Kama utakosa mume; nakushauri utafute mtu mzae nae hata watoto wawili.
Awe na vigezo, ahsante saaanaKama utakosa mume; nakushauri utafute mtu mzae nae hata watoto wawili.
Muhuni aliyezeeka anakuwa "experienced muhuni"[emoji3][emoji3][emoji3]Ni bora ukutane na kijana kuliko muhuni aliyezeeka
Kwa upande wa dini yangu ya Kiislamu hakuna ndoa ya watu wa dini tofauti.
So,Dini ni muhimu bila hivyo itakua ndoa ya Wazinifu.