Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
Niliolewa sina tatizo kabisaKitu gani kilichokufanya uchelewe kupata mume, ulikuwa hutongozwi au kuna tatizo gani? Miaka 41 ni mingi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliolewa sina tatizo kabisaKitu gani kilichokufanya uchelewe kupata mume, ulikuwa hutongozwi au kuna tatizo gani? Miaka 41 ni mingi sana.
Sio kweli kabisa, yote ni maishaKwa mazingira hayo, kilichooa hapo ni ajira na si mapenzi; chukulia mfano uko kwenye ndoa, mara ghafla ukapata ajali na ukawa kipofu; hapo si mtakimbiana?
Nimekufahamu nitalifikiria, lakini wakati awe na kazi sio hafanyi kitu ndio kusudio langu.Unaweza ukapaboresha kwa kusema, nataka mwanaume mwenye maono ya kuona mbali
🙏🙏basi ni vyema
Kwa vigezo gani ??Nikuoe
Sasa si uhame hiyo office yenye wa Mama wengi na utafute office nyingine yenye Wanaume wengi Kama shida yako ni Wanaume!!Inategemea na ofisi.. ofisi nyingine wamama ndio wamejaa, au wengine wababa watu wazima sanaaa..
Hapo hatutoboiii [emoji2957]
Mimi sitafuti wanawake sasa nitawakimbia nini ??kwa huko London kazi inawezekana ikawa rahisi kuipata ila bongo ni shughuli ni rahisi kuhisi mtu ni mvivu ila fursa ya kazi hamna. Tulioko bongo ndio tunaelewa namna kazi ilivyo kazi kuipata. Ila ukiwa nayo mambo yanakuwa mukide mbaya wanawake utawakimbia wewe.
Hii hanihusu mimiSasa si uhame hiyo office yenye wa Mama wengi na utafute office nyingine yenye Wanaume wengi Kama shida yako ni Wanaume!!
Kwani wamekusema?Kusema la ukweli ulizemi mujibiwe. Sio sawa kabisa kunijaji au kunitukana pia.
Lakini kuhusu kazi tabu nimekufahamu vizuriMimi sitafuti wanawake sasa nitawakimbia nini ??
Huwa wana stressi za maisha kwa hiyo hawajuwi kuwa wastarabu kwa kweliKwani wamekusema?
Changamoto yako hautaki kuupokea ukweli.Unachagua sana.Halafu umeegemea kwenye dini mnoo.Huwa wana stressi za maisha kwa hiyo hawajuwi kuwa wastarabu kwa kweli
Sawa nimekusikia, ahsante saaana.Changamoto yako hautaki kuupokea ukweli.Unachagua sana.Halafu umeegemea kwenye dini mnoo.
Wanasema mwanamke hana dini.Zingatia hilo mkuu.Sawa nimekusikia, ahsante saaana.
Nimekusikia piaWanasema mwanamke hana dini.Zingatia hilo mkuu.
Kwa upande wa dini yangu ya Kiislamu hakuna ndoa ya watu wa dini tofauti.Katika vitu vinanishangaza ni wanawake wa kileo kutafuta wafanyakazi na wafanyabiashara baada ya kutafuta wanaume wa kuwaoa.
Inakuwaje mwanamke unaweka sharti la dini kwenye ndoa na sharti la mume au mke kuwa na kazi?
Dini sio ndoa Kama dini ni ndoa mngetongozwa uko msikitini na Makanisani kwanini hampati waume uko msikitini na Makanisani?
Au kwanini hampati waume uko makazini kwenu wakati mkija mitandaoni mnaanza kusumbua watu kwa vigezo kibao?
Natoa ushuhuda, mimi baba yangu na mama yangu wameoana mwaka 1985 na baba yangu hakuwa na kazi alikuwa kamaliza kidato cha nne lakini waliishi mpaka baba akaja kuwa mwandisi baadaye mwaka 1995 wakati huo tulishazaliwa sisi watoto wake.
Pia natoa mfano wangu mimi wakati namaliza chuo nilikuwa sina kazi mwaka, nilikuwa napanga chumba kimoja kinondoni lakini nilioa na baada ya kuoa nikaanza biashara na kupiga pesa mpaka leo nina familia na nyumba yangu ya kuishi na ndoa yangu ina amani sana.
Kama mke wangu angetaka mtu mwenye kazi na masharti kibao leo angekuwa hajaolewa.
Nawashauri wanawake waache kuweka masharti mengi kwa wanaume, kwenye ndoa hakuitaji masharti muhimu upendo hayo mambo ya dini, sijui kazi, kama unataka wa dini yako kamtafute msikitini au kanisani.
Na kama unataka mtu mwenye kazi mpate hapo hapo unapofanya kazi!
Mnaifanya dunia inakuwa ngumu bila sababu za msingi.Kwa upande wa dini yangu ya Kiislamu hakuna ndoa ya watu wa dini tofauti.
So,Dini ni muhimu bila hivyo itakua ndoa ya Wazinifu.
Ni kweli kabisaKwa upande wa dini yangu ya Kiislamu hakuna ndoa ya watu wa dini tofauti.
So,Dini ni muhimu bila hivyo itakua ndoa ya Wazinifu.
🙏🙏Mnaifanya dunia inakuwa ngumu bila sababu za msingi.
Na kama atasilimu, ukoje Sheihk ??Kwa upande wa dini yangu ya Kiislamu hakuna ndoa ya watu wa dini tofauti.
So,Dini ni muhimu bila hivyo itakua ndoa ya Wazinifu.