G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Sikuhizi swala la kazi ni mtihani, wanawake wengi wanataka mtu mwenye kazi rasmi. Ukiwa huna mishe au mbangaizaji ni ngumu sana ku engage nao sababu wengi ni walengaji unless awe amefikia kwenye dead-end (30 yrs and older).Sasa nyote musifanye kazi ndio kusudio lako au??
Wanatafuta chimbo la kujichimbia ili walie kivulini bila kuhaso. Akute una kila kitu ili aanze kutambia mashosti zake kuwa baasha wake una hela na ndinga kali apartment kali.