Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
Tafadhali mimi nimejiunga jana, kwa nini mnanilinganisha na ID nyengine sio sawaSi useme tu kuwa huyo Zanzibar2014 ni wewe mwenyewe kupitia ID nyingine [emoji848][emoji3526]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali mimi nimejiunga jana, kwa nini mnanilinganisha na ID nyengine sio sawaSi useme tu kuwa huyo Zanzibar2014 ni wewe mwenyewe kupitia ID nyingine [emoji848][emoji3526]
Kwa kweli sijapata kuona😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Samahani maana ya mkuu ni nini ??Sawa Mkuu,tumekuelewa
Samahani maana ya mkuu ni nini ??
Kweli nashangaa mnoooWanawake wanafokewa hapa
NikuoeKweli nashangaa mnooo
Umesoma profile yangu, ahsante saanaNikuoe
Kweli kabisaKama hawataki ugumu wa maisha,wanaogopa kuteseke wanatakiwa kuongeza bidii katika kufanya kazi ili maisha yawe rahisi
🤦🏽♀️🤦🏽♀️Umeongea neno. Wanawake wanajionaga wazuri sana na wakiona una date na mtu kapuku wataku simanga hadi ujute. Wakute kwenye thirties sasa
Kwa kweliMwingine kasema anamtaka tolu, nadhani anataka kumtumia kupaka rangi nyumba.
🙏🙏Love with no string attached....sijui kwanini mnapenda kuweka ugumu kwenye kila jambo
Sawa tumesikiaKatika vitu vinanishangaza ni wanawake wa kileo kutafuta wafanyakazi na wafanyabiashara baada ya kutafuta wanaume wa kuwaoa.
Inakuwaje mwanamke unaweka sharti la dini kwenye ndoa na sharti la mume au mke kuwa na kazi?
Dini sio ndoa Kama dini ni ndoa mngetongozwa uko msikitini na Makanisani kwanini hampati waume uko msikitini na Makanisani?
Au kwanini hampati waume uko makazini kwenu wakati mkija mitandaoni mnaanza kusumbua watu kwa vigezo kibao?
Natoa ushuhuda, mimi baba yangu na mama yangu wameoana mwaka 1985 na baba yangu hakuwa na kazi alikuwa kamaliza kidato cha nne lakini waliishi mpaka baba akaja kuwa mwandisi baadaye mwaka 1995 wakati huo tulishazaliwa sisi watoto wake.
Pia natoa mfano wangu mimi wakati namaliza chuo nilikuwa sina kazi mwaka, nilikuwa napanga chumba kimoja kinondoni lakini nilioa na baada ya kuoa nikaanza biashara na kupiga pesa mpaka leo nina familia na nyumba yangu ya kuishi na ndoa yangu ina amani sana.
Kama mke wangu angetaka mtu mwenye kazi na masharti kibao leo angekuwa hajaolewa.
Nawashauri wanawake waache kuweka masharti mengi kwa wanaume, kwenye ndoa hakuitaji masharti muhimu upendo hayo mambo ya dini, sijui kazi, kama unataka wa dini yako kamtafute msikitini au kanisani.
Na kama unataka mtu mwenye kazi mpate hapo hapo unapofanya kazi!
mikono juu, sema i recieve my husband 😂😂😂 , toa sadaka ya kujimaliza upokee mumeo leo - Aliskika aposto flaniHapo kazini wanamjua matatizo yake... So wanakimbia msala ndo maana anaenda wasipomjua[emoji23][emoji23] na huko kanisani ndo kabisa wanaume wanaogopa kuchukua mzigo kule maana wengi ni wameficha makucha wameweka sura za watakatifu ndo maana makanisani wanaume wameuchuna.....
We hujiulizi why siku ikiwa ya kuwaombea wadada wanaotaka wachumba kamwe hutaona wanaume kwenye hiyo misa wakitafuta WA kuwapata.
Kwa kweli kwanini usitowe sadaka wewe huko.mikono juu, sema i recieve my husband 😂😂😂 , toa sadaka ya kujimaliza upokee mumeo leo - Aliskika aposto flani
mtachonga sana viaziTolu, rich, dark and handsome 😇😂
Kwa kweli sio sawamtachonga sana viazi
Sijapata ona kabisaAwe na msambwanda tu akili tutatumia zangu.
Sio sawa kabisamtachonga sana viazi