Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisaKatika vitu vinanishangaza ni wanawake wa kileo kutafuta wafanyakazi na wafanyabiashara baada ya kutafuta wanaume wa kuwaoa.
Inakuwaje mwanamke unaweka sharti la dini kwenye ndoa na sharti la mume au mke kuwa na kazi?
Dini sio ndoa Kama dini ni ndoa mngetongozwa uko msikitini na Makanisani kwanini hampati waume uko msikitini na Makanisani?
Au kwanini hampati waume uko makazini kwenu wakati mkija mitandaoni mnaanza kusumbua watu kwa vigezo kibao?
Natoa ushuhuda, mimi baba yangu na mama yangu wameoana mwaka 1985 na baba yangu hakuwa na kazi alikuwa kamaliza kidato cha nne lakini waliishi mpaka baba akaja kuwa mwandisi baadaye mwaka 1995 wakati huo tulishazaliwa sisi watoto wake.
Pia natoa mfano wangu mimi wakati namaliza chuo nilikuwa sina kazi mwaka, nilikuwa napanga chumba kimoja kinondoni lakini nilioa na baada ya kuoa nikaanza biashara na kupiga pesa mpaka leo nina familia na nyumba yangu ya kuishi na ndoa yangu ina amani sana.
Kama mke wangu angetaka mtu mwenye kazi na masharti kibao leo angekuwa hajaolewa.
Nawashauri wanawake waache kuweka masharti mengi kwa wanaume, kwenye ndoa hakuitaji masharti muhimu upendo hayo mambo ya dini, sijui kazi, kama unataka wa dini yako kamtafute msikitini au kanisani.
Na kama unataka mtu mwenye kazi mpate hapo hapo unapofanya kazi!
Mimi sitaki kijana pia, vile vile acheni kutukana na kuhukumu sio sawa kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umfundishe wewe kureplyZanzibar2014 ni member mpya Jamani mkaribisheni basi amejoin jana ila mshaanza kumchangamsha pia muelekezeni na ku reply.
Kwa kweli mdogo wangu uko sahihi kabisa, mimi nawashangaa kabisa na tabia zao za ajabu. Waona ni utu kutukana na kuhukumu mtu. Nahisi stressi za maisha na kutojielewa pia.Pole mkuu. Vijana wa hovyo humu JF hawapendi uhuru wa mwanamke. Hawapendi mwanamke ajieleze kile takacho bali kile watakacho,uzi wako umewachoma na kuwauma sana.
Tuvijana tuvivu tuvivu tunaona kama umetusimanga kwa vile unaishi london walitegemea utakua tiketi ya kuwavuta huko ulipo.
Tukikubali kupeana uhuru humu hizi judgements za ajabu ajabu zitapungua na kuisha. Anatokea mburura mmoja na kutoa mifano ya wazazi wake mara nyenyenyee eti yeye alilelewa na mke kabla hajapata kazi.
Maisha ya saiv ni kusaidiana na sio kutegemeana na kupunjana. Wakaka,wababa,wababu wanalalamika kuchunwa pesa kila leo ila hawapendi mwanamke mwenye pesa awe na uhuru wa pesa zake
Sawa ahsante saanaZanzibar2014 ni member mpya Jamani mkaribisheni basi amejoin jana ila mshaanza kumchangamsha pia muelekezeni na ku reply.
Nipo mzee hapa, njoo uwe mke wa tanoMimi sitaki kijana pia, vile vile acheni kutukana na kuhukumu sio sawa kabisa.
Kesho nitaengeza tena kuwa sitaki uke wenza.Nipo mzee hapa, njoo uwe mke wa tano
Mfano huyo mwanaume akipoteza kazi, ndoa itaendelea kuwepo?Pole mkuu. Vijana wa hovyo humu JF hawapendi uhuru wa mwanamke. Hawapendi mwanamke ajieleze kile takacho bali kile watakacho,uzi wako umewachoma na kuwauma sana.
Tuvijana tuvivu tuvivu tunaona kama umetusimanga kwa vile unaishi london walitegemea utakua tiketi ya kuwavuta huko ulipo.
Tukikubali kupeana uhuru humu hizi judgements za ajabu ajabu zitapungua na kuisha. Anatokea mburura mmoja na kutoa mifano ya wazazi wake mara nyenyenyee eti yeye alilelewa na mke kabla hajapata kazi.
Maisha ya saiv ni kusaidiana na sio kutegemeana na kupunjana. Wakaka,wababa,wababu wanalalamika kuchunwa pesa kila leo ila hawapendi mwanamke mwenye pesa awe na uhuru wa pesa zake
Punguza masharti watoto wapatikane mapemaKesho nitaengeza tena kuwa sitaki uke wenza.
Sio tatizo muhimu asiwe mvivu, kuwa mimi ni mchapa kazi pia. Samahani kama nimetumia lugha kali. Kwa hiyo atafute kazi nyengine.Mfano huyo mwanaume akipoteza kazi, ndoa itaendelea kuwepo?
Kwakeli wacha tu.Punguza masharti watoto wapatikane mapema
Mfano huyo mwanaume akipoteza kazi, ndoa itaendelea kuwepo?
Nimekuelewa mdogo wangu, unamtizama na mwanaume husika. Kuwa haya ni maisha, muhimu tu asiwe mvivu atatafuta kazi nyengine. Tatizo mdogo wangu akiwa mvivu.Hapo ni kulingana na uvumilivu wa mwanamke husika. Mkuu kuna wanawake waliwaacha waume zao baada ya kutoswa kwenye vyeti feki na walikua wametoka mbali mfano wa mleta mada na mkewe,wazazi wa mleta. Wengine walikua na ajira,biashara walizotafutiwa na waume zao.
Kuna saa anasema anataka mume awe blakii alafu muda huo-huo anasema anataka mtoto wake awe waitii kama jonathan wa tamthilia ya kikorea ya kina inamurata makaspaki.Tolu, rich, dark and handsome 😇😂
Kwa kweliKama hawataki ugumu wa maisha,wanaogopa kuteseke wanatakiwa kuongeza bidii katika kufanya kazi ili maisha yawe rahisi
Punguza munkari na kujishuku, hamna mtu ametukana mtu hapa, ni mawazo huru na maoni huru, maoni ya mtu yakiwa ni tofauti na uliyonayo kichwani usitafsiri kama tusi au kusakamwa.Mimi sitaki kijana pia, vile vile acheni kutukana na kuhukumu sio sawa kabisa.
Soma messegi zangu nilizosema nimetukanwa na kuhukumiwa kwanza. Na wengine ni waongo kwenye macho yangu. Sijapata kuona, mimi sisemi tu tizama kwanza.Punguza munkari na kujishuku, hamna mtu ametukana mtu hapa, ni mawazo huru na maoni huru, maoni ya mtu yakiwa ni tofauti na uliyonayo kichwani usitafsiri kama tusi au kusakamwa.
Mfungua uzi kaleta mada yake huru, hajashinikizwa na mtu au hajaja kujibu uzi wa mtu mwingine,
Uzi za wanaotaka wenza ni nyingi hivyo basi huna haja ya kuhofia kila usomacho.
Naona sehemu nyingi unaandika watu wanatukana na kukashifu binafsi sijaona matusi wala kashfa sijui unatafsiri namna gani, inaonekana hujiamini kwa namna fulani, mtu asiyejiamini siku zote hudhani ni yeye tu anaonewa na kutukanwa na kusemwa, badili mtazamo wako sasa.
Ni bora ukutane na kijana kuliko muhuni aliyezeekaMimi sitaki kijana pia, vile vile acheni kutukana na kuhukumu sio sawa kabisa.