Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

Love with no string attached, sijui kwanini mnapenda kuweka ugumu kwenye kila jambo
Nadhani ulitakiwa kusema Unconditional love badala ya Love with no strings attached. Kwasababu no strings attached hutumika eneo ambapo humaanisha mtu kuwa under control ya mtu mwingine au kundi la watu wengine au kitu kingine.

Ila unconditional ina maanisha bila masharti yoyote.
 
Usijitowe akili nilifanya hivyo na nilipojuwa niliomba msamaha hukuliona hilo
 
Chengine elekeza mtu kwa ustarabu sio ujuba tu.
 
Feminism inawaharibu sana pia mna ubinafsi sana.

Hv kama mnataka haki sawa, kwanini msipange matumizi ya mishahara yenu na waume zenu. Mishahara yenu inawanufaisha ninyi peke yenu lakini mnalilia haki sawa
 
Kama hawataki ugumu wa maisha, wanaogopa kuteseke wanatakiwa kuongeza bidii katika kufanya kazi ili maisha yawe rahisi.
Wanachojua kuongeza ni makalio(urembo ) ili wawapate wanaume wenye pesa(kitonga) hamna kingine na ndio upendo wao ulipo
Kuna mtu alisema
Upendo wa mwanamke uko bases on continued performance Hauji bure na hata akiupata hautadumu unless you feed the performance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…