Wasichana wa Afrika Kusini ni hatari

Vijana wanaokwenda Afrika Kusini bado wanapenda sana 'usela'

Amkeni...
Shida ya Wabongo wengi mnalazimisha kijana wa miaka 20 awe na upeo sawq na kijana mtu mzima mwenye miaka 40, hili haliwezekani.

Vijana wa Kitanzania familia bora route zao ni ulaya na Marekani na akienda South Africa ni holiday tu.

Vijana wengi waliopo huko wengi wao ni wale walitusaidia kupunguza kundi la wahalifu mitahani na waliokosa ajira au kukutana na hali ngumu Bongo ndio sababu ya kwenda kujisalimisha kwa Kaburu sehemu ambao kula kwanza ni kitu cha uhakika.
 
Story nzuri sana mpaka uulipofika "Sasa hivi anapangisha nyumba moja £120 kwa mwezi".

I was like huh?

Is that 120 or 1200?
 
Story nzuri sana mpaka uulipofika "Sasa hivi anapangisha nyumba moja £120 kwa mwezi".

I was like huh?

Is that 120 or 1200?
No in Africa £120 is affordable rent for newly graduates, those are his customers.
 
Mkuu mimi nimeshaamka wewe kama bado umelala poa hamna noma
 
Na ukija kuchunguza kwa makini wanaofanya starehe na ndio haohao wenye maendeleo.

Ingekuwa starehe ndio kipimo cha kukosa maendeleo basi wazungu na ulaya kwa ujumla wangekuwa mafukara, huko ndiko zinakolika bata mpaka kuku anaona gere.
Mkuu umeongea sana nitafute kwenye Eid Riftri nikupe soda mkuu...sijisifu ila ninavyomiliki nashukuru wengine ni waajiliwa lakini hawana
 
Huyu ndie aliyezibiwa huko Finland? Ama story tu zimefanana...!
 
Hapana si yeye
Yupo mmoja mpopo naye ni nurse, baada ya Wafini kumzibia kufanya kazi hapo Suomi, aliamua kwenda UK....

Hasira zake alifanya kazi ka punda na kuweza kujenga mijengo kadhaa!

Sasa ni mdada mashuhuri huko Insta akitoa mawazo kwa watafutaji...
 
Na hawezi kukwambia kama ni muuza unga.

Hakuna mtu anatoka kwa kazi za kuajiriwa usidanganyike.
 
Hahahahaaa hao chicks wa South ni moto sana. ila 600Zar umeuza kambi mkuu wakati ukienda commercial pale duban unapata 60Zar mtoto mkali
 
Hahahahaaa hao chicks wa South ni moto sana. ila 600Zar umeuza kambi mkuu wakati ukienda commercial pale duban unapata 60Zar mtoto mkali
Hiyo sio kwamba ndio kaniuzia nop alikuwa na kishida chake tu mkuu....Hawa kunguru Mimi naruka nao tu sjali wala nini👎
 
Ahsante kwa taarifa, weka picha tuone...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…