Wasichana wa Afrika Kusini ni hatari

Wasichana wa Afrika Kusini ni hatari

Vijana wanaokwenda Afrika Kusini bado wanapenda sana 'usela'

Amkeni...
Shida ya Wabongo wengi mnalazimisha kijana wa miaka 20 awe na upeo sawq na kijana mtu mzima mwenye miaka 40, hili haliwezekani.

Vijana wa Kitanzania familia bora route zao ni ulaya na Marekani na akienda South Africa ni holiday tu.

Vijana wengi waliopo huko wengi wao ni wale walitusaidia kupunguza kundi la wahalifu mitahani na waliokosa ajira au kukutana na hali ngumu Bongo ndio sababu ya kwenda kujisalimisha kwa Kaburu sehemu ambao kula kwanza ni kitu cha uhakika.
 
Kuna Mnigeria anafanya kazi kwenye nursing home through agency. Amejenga apartments 12 za vyumba viwili kila moja, ni jengo la ghorofa tatu.

Ananiambia kuwanja alinunua kwa £15,000. Baada ya hapo alitafuta ramani, anaanza kuweka pesa. Akipata £10,000 anakwenda nyumbani. Anashinda site na mafundi mpaka pesa inakata.

Ilimchukua miaka 8, katika miaka hii hakwenda disco wala party kila siku alipiga mzigo.

Sasa hivi anapangisha nyumba moja £120 kwa nwezi.

Story nzuri sana mpaka uulipofika "Sasa hivi anapangisha nyumba moja £120 kwa mwezi".

I was like huh?

Is that 120 or 1200?
 
Story nzuri sana mpaka uulipofika "Sasa hivi anapangisha nyumba moja £120 kwa mwezi".

I was like huh?

Is that 120 or 1200?
No in Africa £120 is affordable rent for newly graduates, those are his customers.
 
Vijana wanaokwenda Afrika Kusini bado wanapenda sana 'usela'

Hadithi zao nyingi zinahusu wanawake,utasikia,

'nina demu wa kirangirangi'kizulu au kikhosa......

Mwisho wa siku wanarudishwa wakiwa maiti au wakirudi wakiwa hai wanarudi na cheni za Silva,vipini na heleni. Bado wana tabia za miaka ya 90s.

Amkeni...
Mkuu mimi nimeshaamka wewe kama bado umelala poa hamna noma
 
Na ukija kuchunguza kwa makini wanaofanya starehe na ndio haohao wenye maendeleo.

Ingekuwa starehe ndio kipimo cha kukosa maendeleo basi wazungu na ulaya kwa ujumla wangekuwa mafukara, huko ndiko zinakolika bata mpaka kuku anaona gere.
Mkuu umeongea sana nitafute kwenye Eid Riftri nikupe soda mkuu...sijisifu ila ninavyomiliki nashukuru wengine ni waajiliwa lakini hawana
 
Kuna Mnigeria anafanya kazi kwenye nursing home through agency. Amejenga apartments 12 za vyumba viwili kila moja, ni jengo la ghorofa tatu.

Ananiambia kuwanja alinunua kwa £15,000. Baada ya hapo alitafuta ramani, anaanza kuweka pesa. Akipata £10,000 anakwenda nyumbani. Anashinda site na mafundi mpaka pesa inakata.

Ilimchukua miaka 8, katika miaka hii hakwenda disco wala party kila siku alipiga mzigo.

Sasa hivi anapangisha nyumba moja £120 kwa nwezi.
Huyu ndie aliyezibiwa huko Finland? Ama story tu zimefanana...!
 
Hapana si yeye
Yupo mmoja mpopo naye ni nurse, baada ya Wafini kumzibia kufanya kazi hapo Suomi, aliamua kwenda UK....

Hasira zake alifanya kazi ka punda na kuweza kujenga mijengo kadhaa!

Sasa ni mdada mashuhuri huko Insta akitoa mawazo kwa watafutaji...
 
Na hawezi kukwambia kama ni muuza unga.

Hakuna mtu anatoka kwa kazi za kuajiriwa usidanganyike.
 
Habari wakuu.

Hii imenikuta juzi tu hapa.

Mara kwa mara siku za weekend napenda kwenda club huku South Africa sasa bana kuna kidemu fulani hivi nishakipitiaga miezi iliyopita mara moja tu. Sasa nikiwa nakutana nae club hataki ananikazie ile mbaya na kuniita Malaya kila demu nataka kula mimi nikaona ananizingua nikamzimia data.

Kuna siku nikaenda club nyingine hivi nikatongoza muhudumu daah mtoto mkali sana mweupe halafu kidogo dogo [emoji23]..siku ya kwanza akanipatia namba nikasema fresh.

Ilikuwa katikati ya wiki siku ya J5 nikampigia muhudumu siku hiyo hakuwa anafanya kazi tukaenda kupata dinner na kunywa pombe kidogo baada ya hapo tukaenda club ambayo wanakesha hadi asubuhi 5:30am..

Siku hiyo nilikunywa mbaya sasa bana nikamuona yule demu asee pombe hizi nilimuona bonge la demu akaniambia (babe Today I need u) nikamjibu okay I'm here we gonna go together to my hood.

Sasa bana muda umefika wa kuondoka yule muhudumu namwambia tuondoke akaniambia ngoja kuna kitu naongea na rafki yangu nikamwambia utanikuta kwenye gari nje...Imepita dakika 5 tu yule demu wakunikazia huyo katokea maana gari anaijua. Akaniambia babe letz go.

Asee bana kumbe yule demu muhudumu aliona mchezo wote mule ndani ya club. Sasa tukapitia sheli kuweka mafuta na kununua vitu vya kula kimtindo...kumbe yule demu kachukuwa tax kawahi nyumbani akawa ameekaa reception na mlinzi wa usiku...

Mimi nikangia sehemu ya parking nikapak gari tukashuka na yule demu sasa bana naenda kuchukuwa funguo kwa mlinzi maana niliacha kwajili ya usalama nisije kupoteza. Nikamkuta yule demu muhudumu nikajifanya kama simuoni asee akaanza kuniita halafu na yule demu wa kunikazia yupo nae. Sasa huwezi kungia ndani bila password kwahiyo mlinzi aliniuliza nimfungulie? Siunajua pombe noma nikamwambia fungua ndemu akazama ndani.

Tukapanda lift pamoja hadi geto sasa balaa likanza mizozo mimi nikapanda kitandani nikaacha wenyewe wazozane nishavurugwa..sasa bana yule wa kunikazia akaniuliza are u gonna sleep with me or this chick? Asee majibu ya pombe noma don't ask me fu....k question like that.

Yule demu muhudumu akachukuwa vitu vyake akaondoka....

Tukabaki na yule demu ambaye alinikazia nikala mzigo fresh tu...

Sasa bana kesho yake mida ya mchana nikampigia mhudumu kumuomba msamaha ili nile mzigo tu...kweli siku za mbeleni nimekula fresh tu na jana nimetoka kumpa R600 [emoji23][emoji23][emoji23]

Yule wakunikazia aliniomba nimuongezee kodi na mimi nikamkazia [emoji23][emoji123]

Hii ni true story wakuu.

Ni ndefu sana ila nimefupisha tu.
Hahahahaaa hao chicks wa South ni moto sana. ila 600Zar umeuza kambi mkuu wakati ukienda commercial pale duban unapata 60Zar mtoto mkali
 
Hahahahaaa hao chicks wa South ni moto sana. ila 600Zar umeuza kambi mkuu wakati ukienda commercial pale duban unapata 60Zar mtoto mkali
Hiyo sio kwamba ndio kaniuzia nop alikuwa na kishida chake tu mkuu....Hawa kunguru Mimi naruka nao tu sjali wala nini👎
 
Back
Top Bottom