Wasichana wa kazi wa ndani

Wasichana wa kazi wa ndani

Vipi wee Rick Blair.Sasa kama mimi ninayefanya kazi serikalini,Umeshasema ninalipwa sh 200,000 kwa mwezi.Sasa nikimlipa housegirl 150,000 kwa mwezi,Ina maana umeme,maji, nauli,Chakula,Nitalipia na Nini.Tuiombe Serikali ifanye minimum salary serikalini na kwingine kuwa 500,000 ili wazo lako lifanye kazi
 
Anajishaua tu mtoa mada , usikute kwao alilelewa na house girl anayelipwa elfu 15 kwa mwezi afua kaja JF yupo nyuma ya keyboard anatype upuuzi tu hapa.
Watu wengine bwana; kweli shule haiondoi Ujinga. First nimelelewa na housewife mom who did most of the work and tuvokua tukawa tunamsaidia while baba was the breadwinner so hatukujishaua kuleta mdada wa kazi ili umlipe iyo 15k that's why I said km we maskini pia acha kuajiri watu fanya kazi mwenyewe
 
Nimesema km huwez kumudu usiwe naye km mtoto tu. Usizae km huwezi kulea
 
Wanaharakati za wanawake na wasichana utasikia wanakwambia binti akijihusisha na mahusiano katika umri mdogo atajiharibia ndoto zake na kuweka rehani future yake.

Ila kuwa house girl somehow haiharibu ndoto zake. Cha ajabu idadi ya mabinti wanaoharibiwa maisha baada ya kuletwa mjini wakiwa wadogo majority chini ya miaka 16 idadi inaongezeka. Wengi wanakuja kuishi then huondoka kwa kukorofishana na akina mama wenye nyumba.
 
Jamani nafikiri muda wa kubadilisha sheria au ku enforce vizuri na vikali sawa; wasichana wa kazi iwe marufuku kulipwa at the very most minimum ya 200k kwa mwezi na wale wa kwenda na kurudi at least 150k and I thk minimum salary is around iyo kwa serikali; which means hata km ukiwaongeza Poa tu na kodi walipe. But hii tabia ya kuchukua watoto wa watu below 18 uko kijijini kuja kumlipa 50k per month bado matusi, unyanyasaji( mostly wanawake ndo wanaongoza; coz wanaume the worst case ni Akita or kingono au akubake but asipotaka most men hawatokusumbua km wanawake) so iwe illegal to hire anyone under 18 coz anatakiwa awe shule; pia msichana uyo apitishwe at least basic haki zake na ajue pa kulalamika in case akinyanyaswa Au hata kupigwa na awe na simu hata tochi na kuwe na Union ya hawa watu ili wafuatiliane km kuna mmoja hajatucheki wiki nzima na km yupo hai au mzima. Lakini hii tabia ya kulipa wadada wa watu 50k na akivunja glass cjui tunakata kw salary cjui nn ni uhuni. Hawa wadada wanavumilia mengi sana na wanafanya kazi sana kuliko hata hao wabunge na matumbo yao. Wanastahili heshima na utu; pia km una hela nyingi unaweza kumsaidia kidogo kidogo ajiendeleze kw maisha sio abaki kwako permanently tu.
Kuna mijitu itaanza oh analala kwangu, anakula kwangu cjui nn??? Nyooo jaribu kwenda kufanya Kaz kwa mtu uone raha yake of seeing your life stuck and others are flying tu; pia km Wewe mtu wa maisha ya Kati basi you can't afford domestic worker kaa chini do your own work coz wanyanyasaji wakubwa ni hawa middle incomers wao wenyewe watu wa laki laki watataka two house girls( manina) fanya kazi mwenyewe tu waache hao wanaoingiza 40m achukue two house girls and walipwe at least 500k; hawa hata wakifoka utaona kweli hela anatoa. Lakini bado kwa urafi na uchoyo wa waTZ wanaojiita wa jamaa mtu anaweza akawa anaingiza 50m na bado msichana wa kazi anapata 50k or 60k hawa watu cjui wanalalaje usiku?😳
Oh cjui hana adabu cjui nn basi mpe hela yake na nauli kwaheri sio kumpiga au kumtukana unaweza kuongea naye vizuri tu yakaisha km mjeuri kweli mwache aende. Pia ana haki ya kuwa na boyfriend hata kufanya ngono chumbani kwake akiwa ameheshimu muda na hajasababisha wizi wowote Au hata akikuaga anaenda kwa malavidavi ana haki iyo; hajaja hapo kuwa bikira maria Achezewe na watoto wenu wa kiume tu then abwagwe wakienda kudate akina Lulu Diva uko when yeye afue nguo zote hadi chupi na anaambulia 50k. This is evil inanikumbusha Filamu ya "A cry for Help" ya Nigeria kuhusu unyanyasaji wa Yule Yatima Ble Ble. Most of our families are guilty and pia sisi tusimame kukana awe mama yetu, dada zetu kw kunyanyasa wasichana wa kazi. Ivi mtu anasaidia kulea watoto wako, anapika, anafua unapata wapi ujasiri wa kumnyanyasa? Akiwawekea sumu wanao na kusepa au kuwatelekeza uko? Na tunawaonea wadada coz tunajua wakaka au houseboys sio popular uku km West Africa pia changamoto za wanaume na ubabe sio rahisi kumtesatesa all the time bila kupokea ngumi; pia we know risk ya wanaume in terms of sexual abuse; most men sio wabakaji wa watoto au wanawake but most rapists ni wanaume so that's why tunakimbilia safer option which is female domestic workers basi tuwatreat kwa heshima na tuwalipe minimum to have decent life km huwezi Acha. Yaani so far wazungu tu ndo wanalipwa wasichana vizuri
Mtu anakula bure, analala bure, halipii maji ,halipii umeme ,matibabu pia wakati mwingine huwa ni kwa bosi aliyemuajiri , sasa kwa nini alipwe pesa yote hiyo?

Haya makelele yote unayotupigia hapa Bora urudi shule ukafundishwe kuandika.
 
Ndo maana nikasema fanya kazi Mwenyewe mkuu; unaingiza 100k kwa mwez unaleta msichana wa kazi wa nn??😝😝😝 ni sawa sawa utake tv na umeme huna
Nyumbani kulikuwa na housegirls wamepokea sana hizo 20k kwa kipindi hicho na wengine kupelekwa kwenye ushonaji upishi na mpaka leo wengine wanaenda home kusalimia
 
Watu wengine bwana; kweli shule haiondoi Ujinga. First nimelelewa na housewife mom who did most of the work and tuvokua tukawa tunamsaidia while baba was the breadwinner so hatukujishaua kuleta mdada wa kazi ili umlipe iyo 15k that's why I said km we maskini pia acha kuajiri watu fanya kazi mwenyewe
Maybe your dad had money. Let's say uwe na mume anapokea mshahara mdogo , ndo utabaki nyumbani eti kisa kulea watoto? Maisha ya sikuhizi Kama mke anaujuzi, na yeye pia anaenda kutafuta kipato . Hatupo NYC tupo daslamu mama. Nakataa , maskini pia anaweza kuwa kaajiriwa na mshahara wa 350K na Ana dada wa kazi wa 50k vizuri tu.
 
Mara nyingi wanaoropokwa kuhusu mabintinwa kazi hawajawahi kuishi nao wanazungumza kinadharia tu ingia site mzee umemtoa kanda ya ziwa anakaa wiki anaondoka anatoroka au anasingizia kafiwa ..utaufyata kupiga debe walipwe laki 2 ..sio shida kwa mwenye pesa kuilipa pesa hiyo illa ss unga mwana maisha yetu tunayajua wenyewe na mabinti wetu wa kazi
 
hao mabinti wengi unakuta waliacha shule au hawapati kazi rasmi, wengine wametoroka nyumbani.... wanalazimika tu kufanya kazi hiyo

kuna binti mmoja nakumbuka alitoroka kwao umasaini, alikua analazimishwa kuolewa kwenye umri wa 14, akawa hana namna zaidi ya kufanya kazi za uhouse girl
 
Still narudia usizae pia km huna uwezo; hii mentality ya kukazania kuzaa au kuingia kw ndoa ni kukariri na tunarithisha umaskini tu. Na My Dad wasn't rich Bali middle income tu. Na why people hawachangii kuhusu unyanysaji wa hawa watu but kulilia hela tu?? Heri aliyesema tuishi nao km familia tu
Maybe your dad had money. Let's say uwe na mume anapokea mshahara mdogo , ndo utabaki nyumbani eti kisa kulea watoto? Maisha ya sikuhizi Kama mke anaujuzi, na yeye pia anaenda kutafuta kipato . Hatupo NYC tupo daslamu mama. Nakataa , maskini pia anaweza kuwa kaajiriwa na mshahara wa 350K na Ana dada wa kazi wa 50k vizuri tu.
 
Jamani nafikiri muda wa kubadilisha sheria au ku enforce vizuri na vikali sawa; wasichana wa kazi iwe marufuku kulipwa at the very most minimum ya 200k kwa mwezi na wale wa kwenda na kurudi at least 150k and I thk minimum salary is around iyo kwa serikali; which means hata km ukiwaongeza Poa tu na kodi walipe. But hii tabia ya kuchukua watoto wa watu below 18 uko kijijini kuja kumlipa 50k per month bado matusi, unyanyasaji( mostly wanawake ndo wanaongoza; coz wanaume the worst case ni Akita or kingono au akubake but asipotaka most men hawatokusumbua km wanawake) so iwe illegal to hire anyone under 18 coz anatakiwa awe shule; pia msichana uyo apitishwe at least basic haki zake na ajue pa kulalamika in case akinyanyaswa Au hata kupigwa na awe na simu hata tochi na kuwe na Union ya hawa watu ili wafuatiliane km kuna mmoja hajatucheki wiki nzima na km yupo hai au mzima. Lakini hii tabia ya kulipa wadada wa watu 50k na akivunja glass cjui tunakata kw salary cjui nn ni uhuni. Hawa wadada wanavumilia mengi sana na wanafanya kazi sana kuliko hata hao wabunge na matumbo yao. Wanastahili heshima na utu; pia km una hela nyingi unaweza kumsaidia kidogo kidogo ajiendeleze kw maisha sio abaki kwako permanently tu.
Kuna mijitu itaanza oh analala kwangu, anakula kwangu cjui nn??? Nyooo jaribu kwenda kufanya Kaz kwa mtu uone raha yake of seeing your life stuck and others are flying tu; pia km Wewe mtu wa maisha ya Kati basi you can't afford domestic worker kaa chini do your own work coz wanyanyasaji wakubwa ni hawa middle incomers wao wenyewe watu wa laki laki watataka two house girls( manina) fanya kazi mwenyewe tu waache hao wanaoingiza 40m achukue two house girls and walipwe at least 500k; hawa hata wakifoka utaona kweli hela anatoa. Lakini bado kwa urafi na uchoyo wa waTZ wanaojiita wa jamaa mtu anaweza akawa anaingiza 50m na bado msichana wa kazi anapata 50k or 60k hawa watu cjui wanalalaje usiku?😳
Oh cjui hana adabu cjui nn basi mpe hela yake na nauli kwaheri sio kumpiga au kumtukana unaweza kuongea naye vizuri tu yakaisha km mjeuri kweli mwache aende. Pia ana haki ya kuwa na boyfriend hata kufanya ngono chumbani kwake akiwa ameheshimu muda na hajasababisha wizi wowote Au hata akikuaga anaenda kwa malavidavi ana haki iyo; hajaja hapo kuwa bikira maria Achezewe na watoto wenu wa kiume tu then abwagwe wakienda kudate akina Lulu Diva uko when yeye afue nguo zote hadi chupi na anaambulia 50k. This is evil inanikumbusha Filamu ya "A cry for Help" ya Nigeria kuhusu unyanyasaji wa Yule Yatima Ble Ble. Most of our families are guilty and pia sisi tusimame kukana awe mama yetu, dada zetu kw kunyanyasa wasichana wa kazi. Ivi mtu anasaidia kulea watoto wako, anapika, anafua unapata wapi ujasiri wa kumnyanyasa? Akiwawekea sumu wanao na kusepa au kuwatelekeza uko? Na tunawaonea wadada coz tunajua wakaka au houseboys sio popular uku km West Africa pia changamoto za wanaume na ubabe sio rahisi kumtesatesa all the time bila kupokea ngumi; pia we know risk ya wanaume in terms of sexual abuse; most men sio wabakaji wa watoto au wanawake but most rapists ni wanaume so that's why tunakimbilia safer option which is female domestic workers basi tuwatreat kwa heshima na tuwalipe minimum to have decent life km huwezi Acha. Yaani so far wazungu tu ndo wanalipwa wasichana vizuri
Issue ya malipo kwa house girl ni pasua kichwa kwa Watanzania, sijui ni kutokana na kukariri au la ila nina hakika hata ukiamua kufanya survey basi asilimia 85+ ya watumishi unaowahoji watakwambia wanalipwa 50k kwa mwezi, na waliobaki ndio hela hiyo plus kidogo kana kwamba kuna bei elekezi yake

Kwenye suala la wafanyakazi wa ndani sijui tumerogwa na nani, hapa narejea mfano aliowahi kuutoa Marehemu Mufuruki kuwa hajui watanzania tumelogezewa nini kutumia mkaa

Unaweza kuta mtanzania tajiri kabisa ana majiko ya gesi, umeme etc ndani lakini bado atatumia mikaa pamoja na kufahamu fika jinsi upatikanaji wake unavyohatarisha mazingira
 
Anajishaua tu mtoa mada , usikute kwao alilelewa na house girl anayelipwa elfu 15 kwa mwezi afua kaja JF yupo nyuma ya keyboard anatype upuuzi tu hapa.
Anachoongea ni sahihi, two wrongs dont make a right tunapaswa tubadilike na kuondoa makosa waliyofanya watangulizi wetu

Lets be honest, 50k kwa mwezi?
 
Jamani nafikiri muda wa kubadilisha sheria au ku enforce vizuri na vikali sawa; wasichana wa kazi iwe marufuku kulipwa at the very most minimum ya 200k kwa mwezi na wale wa kwenda na kurudi at least 150k and I thk minimum salary is around iyo kwa serikali; which means hata km ukiwaongeza Poa tu na kodi walipe. But hii tabia ya kuchukua watoto wa watu below 18 uko kijijini kuja kumlipa 50k per month bado matusi, unyanyasaji( mostly wanawake ndo wanaongoza; coz wanaume the worst case ni Akita or kingono au akubake but asipotaka most men hawatokusumbua km wanawake) so iwe illegal to hire anyone under 18 coz anatakiwa awe shule; pia msichana uyo apitishwe at least basic haki zake na ajue pa kulalamika in case akinyanyaswa Au hata kupigwa na awe na simu hata tochi na kuwe na Union ya hawa watu ili wafuatiliane km kuna mmoja hajatucheki wiki nzima na km yupo hai au mzima. Lakini hii tabia ya kulipa wadada wa watu 50k na akivunja glass cjui tunakata kw salary cjui nn ni uhuni. Hawa wadada wanavumilia mengi sana na wanafanya kazi sana kuliko hata hao wabunge na matumbo yao. Wanastahili heshima na utu; pia km una hela nyingi unaweza kumsaidia kidogo kidogo ajiendeleze kw maisha sio abaki kwako permanently tu.
Kuna mijitu itaanza oh analala kwangu, anakula kwangu cjui nn??? Nyooo jaribu kwenda kufanya Kaz kwa mtu uone raha yake of seeing your life stuck and others are flying tu; pia km Wewe mtu wa maisha ya Kati basi you can't afford domestic worker kaa chini do your own work coz wanyanyasaji wakubwa ni hawa middle incomers wao wenyewe watu wa laki laki watataka two house girls( manina) fanya kazi mwenyewe tu waache hao wanaoingiza 40m achukue two house girls and walipwe at least 500k; hawa hata wakifoka utaona kweli hela anatoa. Lakini bado kwa urafi na uchoyo wa waTZ wanaojiita wa jamaa mtu anaweza akawa anaingiza 50m na bado msichana wa kazi anapata 50k or 60k hawa watu cjui wanalalaje usiku?😳
Oh cjui hana adabu cjui nn basi mpe hela yake na nauli kwaheri sio kumpiga au kumtukana unaweza kuongea naye vizuri tu yakaisha km mjeuri kweli mwache aende. Pia ana haki ya kuwa na boyfriend hata kufanya ngono chumbani kwake akiwa ameheshimu muda na hajasababisha wizi wowote Au hata akikuaga anaenda kwa malavidavi ana haki iyo; hajaja hapo kuwa bikira maria Achezewe na watoto wenu wa kiume tu then abwagwe wakienda kudate akina Lulu Diva uko when yeye afue nguo zote hadi chupi na anaambulia 50k. This is evil inanikumbusha Filamu ya "A cry for Help" ya Nigeria kuhusu unyanyasaji wa Yule Yatima Ble Ble. Most of our families are guilty and pia sisi tusimame kukana awe mama yetu, dada zetu kw kunyanyasa wasichana wa kazi. Ivi mtu anasaidia kulea watoto wako, anapika, anafua unapata wapi ujasiri wa kumnyanyasa? Akiwawekea sumu wanao na kusepa au kuwatelekeza uko? Na tunawaonea wadada coz tunajua wakaka au houseboys sio popular uku km West Africa pia changamoto za wanaume na ubabe sio rahisi kumtesatesa all the time bila kupokea ngumi; pia we know risk ya wanaume in terms of sexual abuse; most men sio wabakaji wa watoto au wanawake but most rapists ni wanaume so that's why tunakimbilia safer option which is female domestic workers basi tuwatreat kwa heshima na tuwalipe minimum to have decent life km huwezi Acha. Yaani so far wazungu tu ndo wanalipwa wasichana vizuri
Kaa utulie then andika vyema.

Yani ukae kwangu nakulipia kila kitu huna gharama ya ziada then nikulipe 200k. Huo mshahara wangu ni kiasi gani?
 
Anachoongea ni sahihi, two wrongs dont make a right tunapaswa tubadilike na kuondoa makosa waliyofanya watangulizi wetu

Lets be honest, 50k kwa mwezi?
Anaongea upuuzi tu.

Serikali imepanga kima cha chini 60k kwa wanaolala kwa mwajiri na 100k kwa wanaoondoka.

MAbalozi na wanadiplomasia 200k.

Yeye anajua kuliko serikali?
 
Akafanye kazi bar au akafanye kazi za ndani? ushawaona wale wa viwandani? Hakuna mtu anaenjoy mshahara wake kama house maid basi tu wapo chenga chenga sana, kikubwa asinyanyaswe na kupewa kazi nyingi kwa mshahara mduchu
 
Anaongea upuuzi tu.

Serikali imepanga kima cha chini 60k kwa wanaolala kwa mwajiri na 100k kwa wanaoondoka.

MAbalozi na wanadiplomasia 200k.

Yeye anajua kuliko serikali?
Serikali ni watu , na watu kama mimi na wewe, changamoto ni kuwa wanachoamua sasa kinaweza hata chukua miaka 10+ kisibadilishwe ilhali hali imebadilika sana

60k ni chache sana ila ndio uhalisia huo, maana hata wale wanaofanya kazi kwenye migahawa maeneo ya mijini malipo huwa kidogo sana
 
Back
Top Bottom