Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Nikishaona mtu anachanganya kingereza na kiswahili, uandishi flan wa kupalilia penzi na dogo wa kidato Cha pili hua inanikata vibe ya kusoma
Ila kwa mada Yako ni ngumu sana kukomboa jamii yenye umaskini wa kutisha ni ngumu sana
Ila kwa mada Yako ni ngumu sana kukomboa jamii yenye umaskini wa kutisha ni ngumu sana