Kwa mara ya kwanza.....The Boss is proud her Mrs....I can not believe this....!
I am so so proud of you too, zaidi baada ya kusema ile thread ya nyumba ndogo ilikuwa ya kuchangamsha tu Nyerere Day,coz everything else about you is great....that thread ilikuwa inaninyima raha na kujiamini kabisaa.....lol 😛oa
Where have you been Michelle..
Umeanza kukwepa maswali The Boss, leo charge haitaisha...lol
Sema tu kuhusu Infii na elimu ya kinababa....lol
sasa jiachie kwa kujiamini ..lol
Naomba tu labda nikujibu kidogo dada,
Kuna watu ambao ni wadau wa infi kwa kuishiriki na kuiabudu...ila kuna wale ambao tunajua kuwa infi ni jambo baya sana lakini linatendeka kwa wingi katika jamii. Na mbaya zaidi, washiriki wengine ni marafiki na ndugu zetu...Na kwa hiyo wakati mwingine tunahitaji kuwasaidia wasiangamie!
Je, wote wana dhambi ya infi??
Ile mada ya The Boss niliichukulia kwa upande wa pili kama vile tunavyosema kuwa 1) zinaa ni mbaya, so iepuke kwa nguvu zote, 2) ukiendekeza zinaa unaweza kupata HIV/AIDS ...avoid if you can ila pia tunasemea 3) kama umeshindwa basi tumia kondom!!
Tukuwashauri watu kutumia namba 3 tunabeba dhambi zao??
Babu DC!!!

nilikuwa najiuliza...umelala au? lol
Kongosho uliona posti yangu yenye swali kwako?nimesinzia kidogo
ukakimbilia kwa michelle
imebidi nije na shuka langu sebuleni
Naughty boy
straight to my room
Huyo ni Jung kwenye "collective unconscious", that those traits are inheritable.
Noma ni kama tukitumia the same measure kuwa describe miafrika.lol!
Kwamba tunarithi ujinga?
At home working, no rest! I hope am not that late ooh, at least i managed to share my experience!
Kwa minajili hii Tanzania haitabadilika kamwe,sitaki kuelekea kuamini kuwa "Miafrika ndivyo tulivyo"lolhata kama si ujinga moja kwa moja
kuna kitu tunarithi
kama walikuwa wajinga generation inayofuata itakuwa makanjanja
hapa kuna effect ya tunayorithi pamoja na mwingiliano wa tamaduni.
Mfano: nimekulia Tz na system zetu za urasimu na kupiga deal hadi namaliza degree ya kwanza
naenda kusoma nje na kufanya kule kazi, say miaka mitano. Nakuwa a bit polished na system za kazi za huko na moyo wa kujituma na kujaribi simamia haki
narudi Tz naajiriwa na serikali
miaka 3 ya mwanzo nakemea madeal pale ofisini
he he he, baada ya miaka 5, professional kanjanja sababu na elimu si ipo lakini mshahara mdogo hautoshi familia
so its true
Faida ipo. . . ikiwa atajifunza kitu kweli maana hamna atakapoandikwa aliipata vipi useme waajiri wakiona CV yake watamnyima kazi.
Tatizo ni kama atajiskia amani au la, kama ataweza kuendelea huko mbele kwa juhudi binafsi au kila mara atataka urahisi.
Kwa minajili hii Tanzania haitabadilika kamwe,sitaki kuelekea kuamini kuwa "Miafrika ndivyo tulivyo"lol
Back to the point, kama unakubaliana na Jung, basi lazima unakubaliana kuwa binadamu tunarithi ujinga, ufisadi, ufusaka, wizi nk.
Kazi kweli kweli.

Sasa ukisharithi vinaweza kuondolewa/kuondoka? And if so how? Nani anaweza kutibu taifa zima?
Thats another question, kazi kweli kweli.
Kaka huwezi kurithi hivyo vitu labda kama control yake ni genetic...
Tabia nyingi tunaonekana kama tunazirithi lakini ukweli ni kuwa tunajifunza kutokana na exposure ya muda mrefu wakati wa makuzi. Ndiyo maana tukitoka pale tulipokulia tunakuwa na nafasi ya kubadilika!! Kama ingekuwa genetic...basi tungekuwa kama tumelaaniwa vile...You can not change your genetic make up...!!
Babu DC