Topic hii ni nzuri, inaweza kutumika kuelimishana, ngoja nkapate dinner kwanza nrudi.
that is good to hear....
you are safe with me....
Am I supposed to sleep when you are asleep and The Boss is awake?? Don't treat me like this just because he saw you first..:A S embarassed:michelle, you are getting too comfortable.
nimesinzia kidogo
ukakimbilia kwa michelle
imebidi nije na shuka langu sebuleni
Naughty boy
straight to my room
Babu DC
watu hupenda tu kusema kuwa tabia fulani ni za kawaida hasa kwenye shida
wakati sio kweli.....
nimetoa mfano wa wajapan wakati wa tsunami.....
walikuwa so disciplined hadi dunia nzima imeshangaa...
hakuna kugombea vyakula vya misaada wala kuvunja maduka wala kulia na
kulalamika ovyo ovyo......hata wakipelewa misaada walikuwa wako kwenye mistari na so calm.....
wakati tuliona katrina marekani,na mafuriko Haiti yalivyoonesha tabia za watu wa huko
Kaka huwezi kurithi hivyo vitu labda kama control yake ni genetic...
Tabia nyingi tunaonekana kama tunazirithi lakini ukweli ni kuwa tunajifunza kutokana na exposure ya muda mrefu wakati wa makuzi. Ndiyo maana tukitoka pale tulipokulia tunakuwa na nafasi ya kubadilika!! Kama ingekuwa genetic...basi tungekuwa kama tumelaaniwa vile...You can not change your genetic make up...!!
Babu DC
Mkuu, kwamfano mtoto wa Nyani anazaliwa anamwogopa nyoka hata kabla hajajifunza kuwa nyoka ni adui nk.collective unconscious(Psychology) Psychol (in Jungian psychological theory) a part of the unconscious mind incorporating patterns of memories, instincts, and experiences common to all mankind. These patterns are inherited, may be arranged into archetypes, and are observable through their effects on dreams, behaviour, etc.
Ndio zako nini?
Hivi mmekuwaje? Ni mbuzi ndio huwa hachagui mbegu za nani za kuingia mwilini mwake, lkn siku hizi hata binadamu kama poppy, loh! Yaani huna hata haya unasema kuna faida?!!!
Ukimwi ndio faida.
hakuna anaepinga genuine relationship zikitokea
tunachopinga ni uonevu na rushwa
nadhani tatizo linaanzia nyumbani
wazazi tunawarithisha nini watoto wetu?
Values tunazowafundisha
ndizo zitakazowasimamia wakiwa wanafanya maamuzi yao
popote waendako
It is true kwamba hali inasikitisha. On the other hand utafanya nini zaidi ya ku coment tu. Dialema waliokuwa nayo mabinti wanaosoma siku hizi ni stagering.
Ni kweli wanataka kusoma ajili wapate kazi nzuri. Lakini njia wanayofikia malengo haifai. Lakini wafanye nini? Maprof watamfelisha msichana hata kama anamudu masomo. Na huyo anatengenezewa mazingira ili ajitoe muhanga.
Wengine ndiyo kabisa ni lost cases. Kusoma wanapenda na wanamudu. Uwezo wa kulipa ada hana. Circunstance inaelekeza kwenye short cut ya kuwa hawara wa Col. mwenye vinoti ili amkidhie huduma za shule hadi atakapomaliza.
I am sure that they DO NOT DO THESE DIRTY THINGS because the like it bt rather because they have fallen victims of the present circumstances. Tuchukuwe initiative tuwaelimishe lakini je tuko tayari kuwasidia bila ya kutegemea malipo kwa ngono?
Mtanisamehe sana lakini binafsi nasikitishwa na present education system ya TZ.
hata walimu wanaangalia msimamo
akimjaribu mwanafunzi anaangalia reaction yake
mi naamini huwa kuna alternatives katika maisha
na kweli kupanga ni kuchagua
Nimekusoma lakini kwa kiasi kikubwa sikubaliani nawe.Nakubaliana nawe kwamba kuna dilema - ila mimi nasema dilema hiyo ni sawa na vile tunavyohubiriwa kuwa ipo njia nyembamba kuelekea peponi, na ile pana inayoelekeza kwenye uharibifu. Kusoma na kufanikiwa kwa njia ya halali yataka kujibana kweli kweli, na kujitoa kwa hali ya juu hasa kwenye elimu ya vyuo.
Kuna wasichana wengine wao wanataka starehe tu na mambo wasiyoyatokea jasho.Kusoma kwao ni issue! Starehe nyiiingi , mtu atasomaje? Hapo ndio hujilengeshea kwa lecturer.Pia wapo wasichana walio dhaifu kwenye masomo, hawa badala ya kujijengea utaratibu wa kusoma kwenye makundi, basi hubakia wanavyojua wenyewe, hapo lecturer anaweza kumsumbua huyu binti. Pia ipo asilimia ndogo sana ya wasichana wanaokuwa victimised kwa mtindo uliousemea hapo juu.Hivi hebu tujiulize, ni asilimia ngapi ya wasichana wasiokuwa na uwezo kulipa ada "wanabahatika" kufanywa hawara na col.?Im sure ni dongo mno.Sasa tujiulize hiyo asilimia kubwa iliyobaki wanapambana vipi? Je wakaka wasioweza kulipa ada wao hufanyaje?
exactly Tausi.....
wavulana je????
sio mpya
mfano wa Tausi una logic...
Mkuu BAK, nimekupata na maneno haya wanasema "kuntu"Mkuu Boss wa kulaumiwa hapa si Wasichana/Wanawake tu bali ni society yote ambayo kwa kweli imeharibika sana na vyombo mbali mbali ambavyo vingeweza kabisa kupambana na hali hii ya kusikitisha vimeamua kufumba macho, kuchukua rushwa kufanya upendeleo dhidi ya wakosaji ili wasiadhibiwe na hali ndio inazidi kuwa mbaya sana. Kama vyombo husika vingekuwa macho basi hali isingekuwa mbaya kama ilivyofikia sasa hivi.
Mkuu BAK, nimekupata na maneno haya wanasema "kuntu"
Kwa upande mwingine, ungeshauri vyombo hivyo vikabiliane na issue hii kwa namna gani?
@Kongosho, so tatizo liko pande zote ie both wanawake na wanaume? If yes,je unakubaliana na BAK ama una maoni gani kuhusu kukabiliana na hali hii?
Tukirejea kwenye mfano wa The Bawse kuhusu yule mama ambaye aliona ni haki kwa mwanae kuuwawa na polisi, swali tu linakuja maybe ambalo sijui kama lilijibiwa kwenye movie hiyo ya kihindi, ni kuhusiana na hizo chapati ambazo huyo mama alikuwa akizila kabla ya mauti hayajamkuta mwanae.Hili tatizo ni la pande zote, anayevuliwa na ayemvua mwenzake wote ni wale wale
Unajua haya maisha ya kijamii huwezi toa sababu moja tu kuleta athari ni mkusanyiko wa kila kitu
Suluhisho naweza kuligawa katika ngazi 3
Kwanza kama jamii ya kitanzania, values zetu ni zipi
Kipi tunaona ni aibu kikifanyika kwa maneno na matendo
Nikisema kwa maneno na matendo namaanisha ishi unachohubiri sio kuhubiri A afu unafanya B
Ngazi ya familia, values gani tunarithisha kwa vizazi vyetu.
Sijui kwa nini huwa naipa familia nafasi kubwa sana ya kujenga values na morals kwa mtu
Lakini naamini mchando wa institution hii ni mkubwa.
Kuna ngazi ya Individual, kuwa responsibl;e na maisha yakop
Na kuweza kuwa mtu wa kiasi, kuweza fanya maamuzi ya kipi kina kipaumbele kwako
Kuna wengine wanapata degree ya kyupi si kwamba hawana uwez wa kufaulu ila wanataka sifa ya kuwa alipata 1st class aliki ana uwezo kwa kupata upper 2nd class
Afu, swali lako umeniuliza kama mtangazaji wa CNN:lol:
usichanganye maambo hapa
sijawazungumzia madada poa au machangudoa hapa...
kama mtu anaamua kujiuza ili ajikimu maisha yake sio hoja hapa
hoja hapa ni kujiuza ili asome au kutembea na mwalimu ili afaulu....
Nakubaliana na wewe kabisa, jamii inabadilishwa kwa vitendo, ingetokea mfano wa uwajibishwaji ama kama tungekuwa na utamaduni wa kuwajibishana, basi haya mambo yangestop, ni system mkuu wangu, imeoza kabisa, ni lazima tupingane na nafsi zetu ili kuliondoa hili tatizo.Boss kakangu mimi naona wewe ndo unajichanganya, changudoa anajiuza ili ajikimu kimaisha, wale wadada walioko vyuoni nao wanagawa kwa malecturer ili wafaulu mitihani, kuna haja gani ya kufaulu mitihani? Ni ili baadaye sasa atakapotoka chuoni aje aweze kujikimu kimaisha asiuze kama hao madada poa.
Halafu kwanini unawasema wadada tu, malecturer wanawafelisha kinadada mitihani eti kwasababu tu wamewakataa, mwalimu anamtamkia kabisa binti nitaku-supp hadi unikubalie, so uendelee kukubali supp halafu at the end udisco au wafanyeje, Ushauri wako The Boss!