Wasichana wa siku hizi..na kutafuta elimu..........

Wasichana wa siku hizi..na kutafuta elimu..........

that is good to hear....
you are safe with me....

Until Kongosho arrives

michelle, you are getting too comfortable.
Am I supposed to sleep when you are asleep and The Boss is awake?? Don't treat me like this just because he saw you first..:A S embarassed:

nimesinzia kidogo
ukakimbilia kwa michelle
imebidi nije na shuka langu sebuleni

Naughty boy
straight to my room

He he he....old is gold.....have fun,am out! 😛hoto:
 
Babu DC
watu hupenda tu kusema kuwa tabia fulani ni za kawaida hasa kwenye shida
wakati sio kweli.....
nimetoa mfano wa wajapan wakati wa tsunami.....
walikuwa so disciplined hadi dunia nzima imeshangaa...
hakuna kugombea vyakula vya misaada wala kuvunja maduka wala kulia na
kulalamika ovyo ovyo......hata wakipelewa misaada walikuwa wako kwenye mistari na so calm.....

wakati tuliona katrina marekani,na mafuriko Haiti yalivyoonesha tabia za watu wa huko

The thugs you saw looting in New Orleans during the aftermath of Katrina were also products of their environment. For those who have been to the Big Easy know what I'm talking about.

There was a time when NOLA sat atop the list of America's most dangerous cities for a very long time.
 
Kaka huwezi kurithi hivyo vitu labda kama control yake ni genetic...

Tabia nyingi tunaonekana kama tunazirithi lakini ukweli ni kuwa tunajifunza kutokana na exposure ya muda mrefu wakati wa makuzi. Ndiyo maana tukitoka pale tulipokulia tunakuwa na nafasi ya kubadilika!! Kama ingekuwa genetic...basi tungekuwa kama tumelaaniwa vile...You can not change your genetic make up...!!

Babu DC

collective unconscious(Psychology) Psychol (in Jungian psychological theory) a part of the unconscious mind incorporating patterns of memories, instincts, and experiences common to all mankind. These patterns are inherited, may be arranged into archetypes, and are observable through their effects on dreams, behaviour, etc.
Mkuu, kwamfano mtoto wa Nyani anazaliwa anamwogopa nyoka hata kabla hajajifunza kuwa nyoka ni adui nk.

Mkuu kuna tamaduni ambazo zinachangia umasikini hata kama ukielimika vipi nk.
 
Ndio zako nini?

Hivi mmekuwaje? Ni mbuzi ndio huwa hachagui mbegu za nani za kuingia mwilini mwake, lkn siku hizi hata binadamu kama poppy, loh! Yaani huna hata haya unasema kuna faida?!!!

Ukimwi ndio faida.

Ukimwi ndiyo faida?
 
Mkuu Boss wa kulaumiwa hapa si Wasichana/Wanawake tu bali ni society yote ambayo kwa kweli imeharibika sana na vyombo mbali mbali ambavyo vingeweza kabisa kupambana na hali hii ya kusikitisha vimeamua kufumba macho, kuchukua rushwa kufanya upendeleo dhidi ya wakosaji ili wasiadhibiwe na hali ndio inazidi kuwa mbaya sana. Kama vyombo husika vingekuwa macho basi hali isingekuwa mbaya kama ilivyofikia sasa hivi.
 
Hahaha! Sasa hapo kwenye genuine relationship ndo huwa maneno inaanzia. On a serious note kuna siku tulimzonga sana mdada ambae aliolewa na mwalimu wake wa chuo. How do we know kama alibebwa? Manake mwalimu ana rafiki zake na wanatoka wote out na 'shemeji', lol!
Unanikumbusha my feeling abt multi-racial couples,lol! I will feel like a vampire!
hakuna anaepinga genuine relationship zikitokea
tunachopinga ni uonevu na rushwa
 
It is true kwamba hali inasikitisha. On the other hand utafanya nini zaidi ya ku coment tu. Dialema waliokuwa nayo mabinti wanaosoma siku hizi ni stagering.

Ni kweli wanataka kusoma ajili wapate kazi nzuri. Lakini njia wanayofikia malengo haifai. Lakini wafanye nini? Maprof watamfelisha msichana hata kama anamudu masomo. Na huyo anatengenezewa mazingira ili ajitoe muhanga.

Wengine ndiyo kabisa ni lost cases. Kusoma wanapenda na wanamudu. Uwezo wa kulipa ada hana. Circunstance inaelekeza kwenye short cut ya kuwa hawara wa Col. mwenye vinoti ili amkidhie huduma za shule hadi atakapomaliza.

I am sure that they DO NOT DO THESE DIRTY THINGS because the like it bt rather because they have fallen victims of the present circumstances. Tuchukuwe initiative tuwaelimishe lakini je tuko tayari kuwasidia bila ya kutegemea malipo kwa ngono?

Mtanisamehe sana lakini binafsi nasikitishwa na present education system ya TZ.

Nimekusoma lakini kwa kiasi kikubwa sikubaliani nawe.Nakubaliana nawe kwamba kuna dilema - ila mimi nasema dilema hiyo ni sawa na vile tunavyohubiriwa kuwa ipo njia nyembamba kuelekea peponi, na ile pana inayoelekeza kwenye uharibifu. Kusoma na kufanikiwa kwa njia ya halali yataka kujibana kweli kweli, na kujitoa kwa hali ya juu hasa kwenye elimu ya vyuo.

Kuna wasichana wengine wao wanataka starehe tu na mambo wasiyoyatokea jasho.Kusoma kwao ni issue! Starehe nyiiingi , mtu atasomaje? Hapo ndio hujilengeshea kwa lecturer.Pia wapo wasichana walio dhaifu kwenye masomo, hawa badala ya kujijengea utaratibu wa kusoma kwenye makundi, basi hubakia wanavyojua wenyewe, hapo lecturer anaweza kumsumbua huyu binti. Pia ipo asilimia ndogo sana ya wasichana wanaokuwa victimised kwa mtindo uliousemea hapo juu.Hivi hebu tujiulize, ni asilimia ngapi ya wasichana wasiokuwa na uwezo kulipa ada "wanabahatika" kufanywa hawara na col.?Im sure ni dongo mno.Sasa tujiulize hiyo asilimia kubwa iliyobaki wanapambana vipi? Je wakaka wasioweza kulipa ada wao hufanyaje?
 
hata walimu wanaangalia msimamo
akimjaribu mwanafunzi anaangalia reaction yake

mi naamini huwa kuna alternatives katika maisha

na kweli kupanga ni kuchagua

kwa hili umenifanya nigonge like "asante sana"

Shida ni kwamba wengi wanataka vitu vigumu kwa urahisi, na basi kwa kua ni masikini wanaamini ni halali wakitumia nje mbaya kupata kitu.

hivi unajisikiaje unapoangalia cheti ulichopata kwa kuvua c***i
 
Nimekusoma lakini kwa kiasi kikubwa sikubaliani nawe.Nakubaliana nawe kwamba kuna dilema - ila mimi nasema dilema hiyo ni sawa na vile tunavyohubiriwa kuwa ipo njia nyembamba kuelekea peponi, na ile pana inayoelekeza kwenye uharibifu. Kusoma na kufanikiwa kwa njia ya halali yataka kujibana kweli kweli, na kujitoa kwa hali ya juu hasa kwenye elimu ya vyuo.

Kuna wasichana wengine wao wanataka starehe tu na mambo wasiyoyatokea jasho.Kusoma kwao ni issue! Starehe nyiiingi , mtu atasomaje? Hapo ndio hujilengeshea kwa lecturer.Pia wapo wasichana walio dhaifu kwenye masomo, hawa badala ya kujijengea utaratibu wa kusoma kwenye makundi, basi hubakia wanavyojua wenyewe, hapo lecturer anaweza kumsumbua huyu binti. Pia ipo asilimia ndogo sana ya wasichana wanaokuwa victimised kwa mtindo uliousemea hapo juu.Hivi hebu tujiulize, ni asilimia ngapi ya wasichana wasiokuwa na uwezo kulipa ada "wanabahatika" kufanywa hawara na col.?Im sure ni dongo mno.Sasa tujiulize hiyo asilimia kubwa iliyobaki wanapambana vipi? Je wakaka wasioweza kulipa ada wao hufanyaje?

exactly Tausi.....
wavulana je????
 
Sijajua unataka tuwadiskasi wavulana katika issue gani
Najua hata wavulana wanashortcut zao katika maisha

Kuna wanaoingia kwenye mahusiano na majimama ili walipe ada, wengine wanakuwa matapeli lakini wapo wanaokomaa na kutoka kwa jasho lao.
Kuna wanaoiba mitihani ili wafaulu, kwa chuo huchanga pesa na kumlipa binti ambaye huyu binti hujilengesha kwa mwalimu ili alipe ada.
sio mpya
mfano wa Tausi una logic...
 
Mkuu Boss wa kulaumiwa hapa si Wasichana/Wanawake tu bali ni society yote ambayo kwa kweli imeharibika sana na vyombo mbali mbali ambavyo vingeweza kabisa kupambana na hali hii ya kusikitisha vimeamua kufumba macho, kuchukua rushwa kufanya upendeleo dhidi ya wakosaji ili wasiadhibiwe na hali ndio inazidi kuwa mbaya sana. Kama vyombo husika vingekuwa macho basi hali isingekuwa mbaya kama ilivyofikia sasa hivi.
Mkuu BAK, nimekupata na maneno haya wanasema "kuntu"

Kwa upande mwingine, ungeshauri vyombo hivyo vikabiliane na issue hii kwa namna gani?

@Kongosho, so tatizo liko pande zote ie both wanawake na wanaume? If yes,je unakubaliana na BAK ama una maoni gani kuhusu kukabiliana na hali hii?
 
Hili tatizo ni la pande zote, anayevuliwa na ayemvua mwenzake wote ni wale wale
Unajua haya maisha ya kijamii huwezi toa sababu moja tu kuleta athari ni mkusanyiko wa kila kitu

Suluhisho naweza kuligawa katika ngazi 3

Kwanza kama jamii ya kitanzania, values zetu ni zipi
Kipi tunaona ni aibu kikifanyika kwa maneno na matendo
Nikisema kwa maneno na matendo namaanisha ishi unachohubiri sio kuhubiri A afu unafanya B

Ngazi ya familia, values gani tunarithisha kwa vizazi vyetu.
Sijui kwa nini huwa naipa familia nafasi kubwa sana ya kujenga values na morals kwa mtu
Lakini naamini mchando wa institution hii ni mkubwa.

Kuna ngazi ya Individual, kuwa responsibl;e na maisha yakop
Na kuweza kuwa mtu wa kiasi, kuweza fanya maamuzi ya kipi kina kipaumbele kwako
Kuna wengine wanapata degree ya kyupi si kwamba hawana uwez wa kufaulu ila wanataka sifa ya kuwa alipata 1st class aliki ana uwezo kwa kupata upper 2nd class

Afu, swali lako umeniuliza kama mtangazaji wa CNN:lol:

Tukirejea kwenye mfano wa The Bawse kuhusu yule mama ambaye aliona ni haki kwa mwanae kuuwawa na polisi, swali tu linakuja maybe ambalo sijui kama lilijibiwa kwenye movie hiyo ya kihindi, ni kuhusiana na hizo chapati ambazo huyo mama alikuwa akizila kabla ya mauti hayajamkuta mwanae.

Ina maana pia, kutokana na shida na njaa ya mama yule, basi hakuweza kuzigomea chapati za wizi despite the fact kuwa she had a knowledge of what went on kuhusiana na wizi wa kijana wake.

Kwenye jamii yetu, ni the same kwenye ngazi zote, fisadi ndo anayepewa respect na hata nyadhifa nk.

Kuna familia nying sana zinaendeshwa kwa wizi, yani ndugu ni wezi na ndiyo wanategemewa na famila, sometimes jamii.

Watu wanajuwa kabisa hizi pesa huyu kakwiba, lakini utamu wake unawasahaulisha hayo yote, na level za wananchi wengi bongo ni za chini sana, couple with other divisive issue that have impacted the general society psychologically, things like rice, pilao and some booze can buy you some heads!

Level ya awareness kwenye jamii ambayo itatufanya tuone haya yote n mabaya, hatutoweza kufikia huko kama hatupigi hatua za kiuchumi kwenye taifa letu.

Sasa kwamfano kisaikolojia watanzania wako confused, wanajuwa kabisa kuwa serikali ni masikini mwenye silaha lakini, na polisi nk., wanajuwa kabisa kuwa serikali ni masikini ndo maana tunapata msaada kutoka mataifa ya magharibi na kwingineko, na kwahiyo somewhere kwenye ubongo wao wana harbor sympathysing feelings towards the govt, na wakiona kuwa wanaambiwa amani ipo, pamoja na hizo rushwa za hapa na pale, basi wanaona kama serikali inajtahidi sana.

Hawajui kwamba wanachofahamu kuhusu serikali ni just a tip of an iceberg, pia hawajui kama tuna uwezo pia wa kuwa matajiri.

Vita hivyo hivyo vya kisakolojia, hata wale wanaoamini kuwa we need massive changes kwenye jamii yetu kama tunataka mabadilko, bado wamegawanyika, either kwa misingi ya kidini, ama uhafidhina wa vyama vyao vya kisiasa.

Ni kitu gani kina tu unify kama taifa zaidi ya jina la nchi na mipaka yake?ni kiswahili? If so kimetusaidia vipi kuondokana na hizi adha zinazotukabili?

Ni hadi pale tunapoweza kuwa na issue zinazotuunganisha kiukweli kama taifa, basi hatutajuwa pa kuanzia.
 
Boss kakangu mimi naona wewe ndo unajichanganya, changudoa anajiuza ili ajikimu kimaisha, wale wadada walioko vyuoni nao wanagawa kwa malecturer ili wafaulu mitihani, kuna haja gani ya kufaulu mitihani? Ni ili baadaye sasa atakapotoka chuoni aje aweze kujikimu kimaisha asiuze kama hao madada poa.

Halafu kwanini unawasema wadada tu, malecturer wanawafelisha kinadada mitihani eti kwasababu tu wamewakataa, mwalimu anamtamkia kabisa binti nitaku-supp hadi unikubalie, so uendelee kukubali supp halafu at the end udisco au wafanyeje, Ushauri wako The Boss!

usichanganye maambo hapa
sijawazungumzia madada poa au machangudoa hapa...

kama mtu anaamua kujiuza ili ajikimu maisha yake sio hoja hapa
hoja hapa ni kujiuza ili asome au kutembea na mwalimu ili afaulu....
 
Boss kakangu mimi naona wewe ndo unajichanganya, changudoa anajiuza ili ajikimu kimaisha, wale wadada walioko vyuoni nao wanagawa kwa malecturer ili wafaulu mitihani, kuna haja gani ya kufaulu mitihani? Ni ili baadaye sasa atakapotoka chuoni aje aweze kujikimu kimaisha asiuze kama hao madada poa.

Halafu kwanini unawasema wadada tu, malecturer wanawafelisha kinadada mitihani eti kwasababu tu wamewakataa, mwalimu anamtamkia kabisa binti nitaku-supp hadi unikubalie, so uendelee kukubali supp halafu at the end udisco au wafanyeje, Ushauri wako The Boss!
Nakubaliana na wewe kabisa, jamii inabadilishwa kwa vitendo, ingetokea mfano wa uwajibishwaji ama kama tungekuwa na utamaduni wa kuwajibishana, basi haya mambo yangestop, ni system mkuu wangu, imeoza kabisa, ni lazima tupingane na nafsi zetu ili kuliondoa hili tatizo.

Angewajibishwa professa mmoja kama kuna ushahidi wa quid quo pro, basi wengine wange hesitate kufanya hivyo, mafisad wangewajibishwa kama livyo kwa wezi wa kuku, maybe tungepiga hatua, yote hii ni vita ya kisaikolojia, tukizipunish hizo tabia eventually zitapungua, inavyoonekana ni kama utamaduni tu na tabia hizo ziko rewarded ama kufumbiwa macho for different reasons.

China wananyonga mafisadi kwasababu wanaamini kuwa ufisadi ni sawa na mauwaji, na mimi nakubaliana nao.

Same thing with mfano wa chapati, tunatakiwa tuzikatae kwa nguvu zetu zote kama hatutaki mauwaji yaendelee kutokea na unyanyasaji wa kijinsia, na tamaduni zenye kuchoche umasikini na ujinga.

Mafisadi tuwakatae wote na fedha zao ambazo zilitakiwa zikawalipe madaktari ambao kutokufanya kwao kazi tayari kuna wanaopoteza maisha nk, zingetumika kufufua uchumi, maybe kuwapatia wananchi huduma kama maji safi, bara bara nk.

Maybe hata hayo matatizo ya uchangudoa nk yangepungua, wananchi wasingenunuliwa kwa pilao na pombe etc. Uliona birthday ya ccm kirumba?
 
@jmushi1
Kwa kweli kama taifa vinavyotuunganisha ni vichache kuliko vinavyotugawa.
Ata point tulikuwa tumefikia kuona kama ni wamoja lakini kwa sasa hivi kuna drift kubwa inaendelea kutokea
hasa ya kikabila, kidini, kimitizamo ya chama.

Hapa kuna ulazima kama taifa kuja na kitu kimoja kitakachotuunganisha chenye mantiki
Naona Nyerere alijaribu kutumia lugha ya kiswahili, utani kati ya makabila, vijiji vya ujamaa
Lakini vitu hivi vyote kwa sasa naona mantiki yake inapungua
Mfano utani kati ya makabila, kwa sasa si kiviile maana kuna generation inayokuja ambayo haijui lolote kuhusu makabila yao na wala huo utani hauwezi kuwa na mantiki katika vichwa vyao.
 
Back
Top Bottom