Na ndiyo maana Tanzania ni full ubabaishaji kwenye kila sekta.
Mkuu naona kama umeliangalia tatizo kwa upande mmoja tuu. Kwamba tatizo hapa ni tamaa za wasichana kujilengesha kwa walimu. Kwa maana hiyo, wakishajilengesha ruksa walimu kufanya nao mapenzi? Kwani walimu nao hawana ethical obligations za kutofanya mapenzi na wanafunzi wao to the extent ya hata kuwapa mitihani? Nakumbuka hili suala tumeshalijadili kwenye thread moja ya Lizzy.
Inawezekana wala tatizo sio kwa hao wasichana. Ukweli ni kwamba tofauti na zamani, siku hizi hatuna walimu tena. Walimu wengi wa siku hizi hawajui hata majukumu yao. Hawajui ethics za ualimu. Wengine wameishia kuwa walimu baada ya alternatives nyingine kushindikana kutokana na poor qualifications. Tungekuwa na walimu wenye vichwa na wanaoelewa majukumu yao ya ualimu kama zamani mbona ungekuta nao wako kwenye mgomo kama madaktari?
Sorry kama kuna mwalimu wa kizazi kipya hapa.
Its true. Manake hata kama ni kazi za ujomba na kupeana at least mtu a-perform basi, kha!
Yaani kuna mtu unakutana nae kwenye kazi unajiuliza alipataje hii position. Japo the boss ameongelea wanawake tu, na wanaume sijui wanazungukaje but they do these tricks too!
Actually nilikuwa nataka nizungumze kwa jamii nzima as whole
but nimejikuta najibu post za watu zaidi....
labda nikuulize EMT kuna viwango vya makosa?vya dhambi?
kujiuza na kununua mithani unaweza sema ipi ni dhambi zaidi?
Nimekuelewa King'asti. Point yangu sio kuwatetea wanao toa rushwa ya ngono bali ni kupanua mtazamo ili tuelewe kwamba kosa halianzii kwao. System ilivyo sasa hivi haiwezi kuponyeshwa na maadili pekee. Hatuwezi kusema it is not morally good na watu wakacha. Na hatuwezi kuwaambia wasichana waache na tukategemea kosa litaisha.
Tatizo limekua institutionalized, linahitaji institutionalized solution.
Bora umekuja! Si unajua ninavo shindwaga kujitetea? Ila ulicho sema hapo ndio nilitaka kusema hata mimi, nikakosa maneno. lolVipi kwa wanaume? Nao sio wezi wa elimu? Naona kama ume-narrow sana huu uzi kwa kwa wasichana kujiuza ili kupata elimu. Lakini ufisadi wa elimu ni mpana sana na hau-relate na ngono tuu. Kuanzia viongozi kuwa na degree feki, wizi wa mitihani, kupeana scholarships na nafasi za kusoma kwa kujuana/kutoa rushwa, vyeti vya kufoji, kudesa, mpaka watoto wadogo kunyimwa haki yao ya msingi ya elimu. Masai School *Tanzania,Africa. | Flickr - Photo Sharing!
..It is multi factorial equation!!
Dada yangu,
Inakera sana kukutana na kijana wa kiume ambaye ni mweupe kiasi kwamba anaishia kujilegeza legeza....
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
Wajukuu zangu wasijeniona natoa machozi bure!!
Babu DC!!
NB...Naoma wajukuu wa kike wasinielewe vibaya!!
Vipi kwa wanaume? Nao sio wezi wa elimu? Naona kama ume-narrow sana huu uzi kwa kwa wasichana kujiuza ili kupata elimu. Lakini ufisadi wa elimu ni mpana sana na hau-relate na ngono tuu. Kuanzia viongozi kuwa na degree feki, wizi wa mitihani, kupeana scholarships na nafasi za kusoma kwa kujuana/kutoa rushwa, vyeti vya kufoji, kudesa, mpaka watoto wadogo kunyimwa haki yao ya msingi ya elimu. Masai School *Tanzania,Africa. | Flickr - Photo Sharing!
Babu,
Nasikitika kukiri kuwa qualities za jinsi ya kiume zinazidi kujongomea kila uchao! Hata sioni pa kuanzia, but I miss the traditional men wa enzi za ujana wetu!
TM, Maadili pekee hayatoshi. Ingekua maadili yanatosha basi tungeendelea kua in the same world kila siku sababu wazazi wangetransmit maadili yao kwa watoto. Shida ni kwamba kuna factors nyingi zaidi ya maadili katika tatizo hili.Ukiona mwanamke anatumia njia mbovu ujue tatizo liko kwenye malezi yake.Si ajabu wazazi wake ni watu wanaopenda shortcuts.
Akishakua mtu mzima, utamwekea utaratibu gani ashindwe? Kwani TAKUKURU si wanakataza rushwa ya ngono? Na je wanaopokea/kuomba rushwa ya ngono ni watu wa namna gani?
Kwani we mshahara wako una faida gani?Unakulipia kodi, unakulisha na unakuvisha. Wa jambazi nao una uwezo wakufanya mambo hayo hayo . .
It is true kwamba hali inasikitisha. On the other hand utafanya nini zaidi ya ku coment tu. Dialema waliokuwa nayo mabinti wanaosoma siku hizi ni stagering.
Ni kweli wanataka kusoma ajili wapate kazi nzuri. Lakini njia wanayofikia malengo haifai. Lakini wafanye nini? Maprof watamfelisha msichana hata kama anamudu masomo. Na huyo anatengenezewa mazingira ili ajitoe muhanga.
Wengine ndiyo kabisa ni lost cases. Kusoma wanapenda na wanamudu. Uwezo wa kulipa ada hana. Circunstance inaelekeza kwenye short cut ya kuwa hawara wa Col. mwenye vinoti ili amkidhie huduma za shule hadi atakapomaliza.
I am sure that they DO NOT DO THESE DIRTY THINGS because the like it bt rather because they have fallen victims of the present circumstances. Tuchukuwe initiative tuwaelimishe lakini je tuko tayari kuwasidia bila ya kutegemea malipo kwa ngono?
Mtanisamehe sana lakini binafsi nasikitishwa na present education system ya TZ.
Hapa umenigusa sana ndugu yangu,
Unajua baadhi ya walimu wa college siku hizi ni kama wale wa UPE ya miaka ya 70!!
Ni hatari sana. Ndiyo maana ni kasema hili suala siyo simple linear equation (y=bx+c)....Kwamba ukimalizana na b, bas ume-solve...No way...It is multi factorial equation!!
Babu DC!!
Big fact,
Yaani kwa watanzania waliowengi...imekuwa kama kanuni kwamba huwezi kumsaidia mtu wa jinsia tofauti usipate malipo ya ngoni!!
Inasikitisha sana!!
Babu DC!!
It is true kwamba hali inasikitisha. On the other hand utafanya nini zaidi ya ku coment tu. Dialema waliokuwa nayo mabinti wanaosoma siku hizi ni stagering.
Ni kweli wanataka kusoma ajili wapate kazi nzuri. Lakini njia wanayofikia malengo haifai. Lakini wafanye nini? Maprof watamfelisha msichana hata kama anamudu masomo. Na huyo anatengenezewa mazingira ili ajitoe muhanga.
Wengine ndiyo kabisa ni lost cases. Kusoma wanapenda na wanamudu. Uwezo wa kulipa ada hana. Circunstance inaelekeza kwenye short cut ya kuwa hawara wa Col. mwenye vinoti ili amkidhie huduma za shule hadi atakapomaliza.
I am sure that they DO NOT DO THESE DIRTY THINGS because the like it bt rather because they have fallen victims of the present circumstances. Tuchukuwe initiative tuwaelimishe lakini je tuko tayari kuwasidia bila ya kutegemea malipo kwa ngono?
Mtanisamehe sana lakini binafsi nasikitishwa na present education system ya TZ.
Babu DC
Hivi unajua kunawasichana wana liwa while wazazi wao wanalipa
pesa kwenye private college pesa nyiingi tu
na wazazi wanafikiri kwa kuwapeleka private schools wamewalinda na walimu mafataki...
Big fact,
Yaani kwa watanzania waliowengi...imekuwa kama kanuni kwamba huwezi kumsaidia mtu wa jinsia tofauti usipate malipo ya ngoni!!
Inasikitisha sana!!
Babu DC!!