Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

Sana aise mbegu chafu zimezidi
 
Hili nalo neno. Nendeni mkalitizame
 
Lete picha.
 
Hapo umemtwanga nyundo ya utosi. Mark Zuckerberg ni mfupi lakini ana ukwasi wa kutisha.

Leo Messi ni Andunje ana ukwasi wa kutisha. Sasa sijui urefu unasaidiaje mtu kujikwamua kiuchumi.

Sudan Kusini ina watu warefu dunia hii hakuna lakini ndilo taifa masikini kuwahi kutokea ulimwenguni.

Urefu ama ufupi hauna nafasi kwenye masuala ya akili na ubunifu bali mtu mwenyewe alivyoji shape tangu akiwa mdogo.
 
Duh, unataka serikali iingilie kati uumbaji wa mola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…