Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

Nimekwambia Sudani kusini ndiyo nchi yenye watu warefu kuliko nchi yoyote Afrika lakini ndilo taifa masikini duniani.

Burundi wanapopatikana wahutu na watutsi kuna majitu marefu kweli kweli lakini ni taifa masikini kupindukia.

Africa magharibi unaposema kuna watu warefu mbona ni mataifa masikini kupindukia?

Ukianza na Burkina Faso, Chad, Gambia, Ghana nakadhalika. Wana uchumi na ubunifu gani kuwazidi Wajapani, Wachina na Wakorea walio wafupi chini ya futi 5?
Kuna mambo ni aidha umeandika uongo au haujui sababu.
1-Nchi za Afrika magharibi ulizozitaja rudi ujiridhishe kuhusu uchumi wao.
2-Sudan kusini wamekuwa wanasumbuliwa(walikuwa)na Sudan ya waarabu/janjaweed ambao wameremba jina wanajiita Rapid Force Support (RPF).Na bado hawajatulia.Wanatwangana tu kuhusu utajiri.Ni nchi changa na itatupita nakuhakikishia.Ina utajiri wa mafuta kuliko imagination.
 
Mie nilidhani ni huku Dom tu, kumbe hata wa huku Dar ni wafupi?
Binafsi nahisi tatizo ni kwamba vitoto vya kike vya nchi hii vinawahi sana kuanza kupigwa miti unakuta kibinti cha form 2 kinabeba mdingi wa miaka 55 tena mnene mwenye kitambi na uzito wa kg 120 hapo lazima binti anadumaa hakui wala kurefuka zaidi!
Nadhani serikali yetu ni sikivu italitazama hili nalo.
Ina make sense
 
Nenda vyuoni IFM, CBE, TIA ukikuta binti ana futi 6 niite nikupe milioni. UDSM ukikuta futi sita ujue ni foreign student toka Rwanda, Uganda au Sudan.

Uko uswazi, Buguruni, Temeke, Tandale ndio funga kazi, futi 5 kamili mwisho.

Mbegu zinaharibika, tatizo nini?

Asili ya mtanzania sio ufupi, kama ni viporo nama zetu wamevila mimi nahisi ni ukosefu wa lishe, dawa za kuzuia mimba, uzazi wa mpango, zinadumaza hawa mabinti, serikali ifanye utafiti.

Kwa sisi wanaume mbona hali sio mbaya.

Tunapoelekea majeshi yetu yatakosa wanawake, huwezi kuwa na askari futi nne.
Jeshi lenye nidhamu na linaloheshimika Tanzania ni JWTZ na ili uingie huko urefu sio kigezo kabisa ila jeshi la ovyo linalodharauliwa na raia wengi linaloongoza kwa ujambazi na kesi za kubambikia ili uingie huko urefu ni kigezo kwahiyo chagua mwenyewe.

Alafu usichokijua ni kwamba uzuri wa mwanamke ni Chura hivyo vingine ni ziada tu
 
Jeshi lenye nidhamu na linaloheshimika Tanzania ni JWTZ na ili uingie huko urefu sio kigezo kabisa ila jeshi la ovyo linalodharauliwa na raia wengi linaloongoza kwa ujambazi na kesi za kubambikia ili uingie huko urefu ni kigezo kwahiyo chagua mwenyewe.

Alafu usichokijua ni kwamba uzuri wa mwanamke ni Chura hivyo vingine ni ziada tu
Chuuuraaa?Nini chura bila sura?
NB;Ukipenda sana chura la mwanamke unazua hoja.Unaitakia nini?
 
Back
Top Bottom