Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

MODS WOOTE NI UMBWAAA

Imagine jitu na kichwa chake sie wemgime tunadham kina akili kumbe hana .
Muda huu imagine mtu kakalia kiti cha melo anafuta posts , no womder mnapiga selfie humo maofisn usiku huu mnaacha kufanya mambo ya msingi mnafanya ufala ufala tu

Futen na hii
 
China amewahi kupigana vita ipi tukajua nguvu ya jeshi lake
-China-India border war.China alishinda.
-Jangsari war/Korea war 1959 North Korea alishinda kwa msaada wa jeshi la China.
Tena China ni jeshi linaloweza ground battle kuliko udhaniavyo wewe.
Na Asia Pacific mataifa mengi yamepokea mafunzo China na hadi sasa wanapokea mafunzo.
 
hata huku ni tufupi kama kombe la kagame.
 
Nimekusoma mkuu ila huo ukanda ufupi ni asili yao tu,sasa sisi huku miaka inavyozidi kwenda dada zetu wanazidi kuwa wafupi tofauti na zamani,hoja yangu imelalia hapo
 
Mkuu umezungumzia vyuo,
vijeba wanalima mpunga,na kuchimba chunya huko kyela,mwadui we unaweza kupelekwa moto mpk ukafa kwa presha,hapo hujafikiwa.
Unaweza kupandwa uwe mlima au kichuguu uchungu ni uleule.
Watu walitwanga banyankole mpaka katukana ukoo mzima.
Huku alisema papuchi yake inaweza kukulaza mle kama selo.
Usitukane wakunga.
 
Nimekusoma mkuu ila huo ukanda ufupi ni asili yao tu,sasa sisi huku miaka inavyozidi kwenda dada zetu wanazidi kuwa wafupi tofauti na zamani,hoja yangu imelalia hapo
Oeni Wamasai,wakurya,wanyaturu,wamburu na wamang'ati kwa wingi muongeze mbegu ndefu.
Maana TZ hao ndio wanaongoza kwa mbegu ndefu.
 
Ukihoji hivyo sisi tutahoji, kwa nini wanaume wengi wa Central and West Africa wana maumbile makubwa ya kiume kuliko wale wa East and South Africa.
 


Lishe bora ndo inazungumziwa na sio kula tu .

Wewe umekulia katika maeneo ambayo haukukosa chakula Ila sio maeneo yenye lishe bora.
 
Tatizo bei ya mkaa
 
Unapata wapi muda wakuwaza haya kiongozi,

Mbona kama umewaza na kuyaandika haya ukiwa na njaa!?

Pambana mkuu, maisha ya Sasa hivi hayahitaji urefu au fupi.

Kila kitu kimerahisishwa na Hali ya uchumi, jitahidi uwe vizuri kwenye uchumi kasoro zako zote zinafichwa hapo.

Unawaza jeshi litakosa watu, hivi Kwa mawazo yako unahisi huko tuendako vyombo vya ulinzi vitahitaji zaid rasilimali watu??

Hao uliowaona huko IFM, CBE sijui TIA ndo utakaoenda kuwalilia kesho wakuvushie siku yako Kwa kukuokoa na njaa, wakati huo hutaangalia urefu Wala ufupi utakuwa unaangalia tumbo tu.

Unachelewa mkuu, amka na uwaze ya maana.
 
MiMi sins njaa hspa niko na bakuli la uji na mihogo saafi
 
Hili nalo ni jambo la kujadili kabisa. Kwakweli sisi ngozi nyeusi aliyeturoga alitukosea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…