Wasichana wapiga mizinga, Mnajiaibisha mbele ya wanaume

Nyie mnavyotongozatongoza hamjiaibishi? Unakuta mtu anatongoza mtaa mzima kuanzia watoto, wadada, wamama hadi wabibi. Au kunya anye kuku akinya bata mchafu kaharisha? NA NYIE MTULIZE MIDUSHE YENU MTU ANAMKE LAKINI UTASEMA KATIWA NDIMU
 
hahahaaaa sura ya pinda au sio
 
Nyie mnavyotongozatongoza hamjiaibishi? Unakuta mtu anatongoza mtaa mzima kuanzia watoto, wadada, wamama hadi wabibi. Au kunya anye kuku akinya bata mchafu kaharisha? NA NYIE MTULIZE MIDUSHE YENU MTU ANAMKE LAKINI UTASEMA KATIWA NDIMU

kwa hivyo mnatukomesha kwa kutupiga mizinga? sio vizuri
 
kweli kabisa baadhi ya wanawake wanapenda ankara sana ushauri wangu tafuta wa aina yako hao waachie wenyenazo au kama unampenda sana jaribu kumuelesha juu ya hali yako halisi

Bora kila mtu abak na type yake na ufwate wa type yako.Sio kupend viZuri huku hujui uzuri ule nini kimesababisha mpk ukauona wewe
 
Determinats of price
DEMAND IKO JUU
SUPPLY IKO CHINI
LUXURY GOODS
QUALITY
ETC

HALAZIMISHWI WALA KUBEMBEKEZWA MTU NI LAWS OF NATURE TU,!

Ukiapply laws zako za kiuchumi na kumlinganisha mwanamke na bidhaa huoni kama unamdharilisha? Mwanamke kama bidhaa kwa tafsiri yangu ni kwamba mwanamke akijitambua kuwa hadhi yake ipo sawa sawa na bidhaa anajiuza, je wewe unajiuza?
 
Nyie mnavyotongozatongoza hamjiaibishi? Unakuta mtu anatongoza mtaa mzima kuanzia watoto, wadada, wamama hadi wabibi. Au kunya anye kuku akinya bata mchafu kaharisha? NA NYIE MTULIZE MIDUSHE YENU MTU ANAMKE LAKINI UTASEMA KATIWA NDIMU

Anakimbia garama anajua matumizi unapata kwa mumeo
 
Vijischana vya skuizi!!bora kuwa Marioo tuu,.....kudadadek!!!
 
an economic theory suggests that 'there is no such a thing as a free lunch'
 
mi kama mwanaume simtaki nitampa bill ambayo hajawahi kuiona sijali tuna masaa mangapi toka tumefahamiana, na siyo kama sina hela nina hela na nina uwezo wa kuishi vyovyote nitakavyokuanzia january mosi mpaka december 31 bila kumtegemea mtu, ila ukiona tuu nakupiga mizinga jua sina njia ya kukufukuza ndiyo hiyo
 
But why not just keep it one hundred instead of pussyfooting?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…