Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Determinats of priceKwani wkt wa kuduu nyie hamsikii utamu mpk mdai kulipwa!
Wa hivyo huwa mnawatoa au mnakutana nao wapi nyie watu?
Au ni nyie wenyewe ndo huwa mna exude vibes za kupigwa mizinga?
Maana sie wengine ukituangalia tu unaona kabisa huyu hapigiki mizinga kirahisi rahisi!
Kwanza sijui ataanzia wapi tu kunipiga huo mzinga nadhani usoni tayari ntakuwa na expressive look flani hivi....
Nyie mnavyotongozatongoza hamjiaibishi? Unakuta mtu anatongoza mtaa mzima kuanzia watoto, wadada, wamama hadi wabibi. Au kunya anye kuku akinya bata mchafu kaharisha? NA NYIE MTULIZE MIDUSHE YENU MTU ANAMKE LAKINI UTASEMA KATIWA NDIMU
kweli kabisa baadhi ya wanawake wanapenda ankara sana ushauri wangu tafuta wa aina yako hao waachie wenyenazo au kama unampenda sana jaribu kumuelesha juu ya hali yako halisi
Determinats of price
DEMAND IKO JUU
SUPPLY IKO CHINI
LUXURY GOODS
QUALITY
ETC
HALAZIMISHWI WALA KUBEMBEKEZWA MTU NI LAWS OF NATURE TU,!
Nyie mnavyotongozatongoza hamjiaibishi? Unakuta mtu anatongoza mtaa mzima kuanzia watoto, wadada, wamama hadi wabibi. Au kunya anye kuku akinya bata mchafu kaharisha? NA NYIE MTULIZE MIDUSHE YENU MTU ANAMKE LAKINI UTASEMA KATIWA NDIMU
hahahaaaa sura ya pinda au sio
Mimi mwanamke ambaye hata mahitaji yake ya kawaida tu anashindwa kuyafikia hata awe vipi siwezi kumfanya mwenza
kwa hivyo mnatukomesha kwa kutupiga mizinga? Sio vizuri
Vijischana vya skuizi!!bora kuwa Marioo tuu,.....kudadadek!!!Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke).
Sasa kidogo anaanza kukuambia naomba uninunulie simu yenye whatsapp, mara naomba hela ya mchango wa kitchen party, mara naomba kod ya nyumba, mdogo wangu kafukuzwa shule hana ada, twende Zanzibar holiday.
Zote hizi ni hela daah! hapo hamna hata wiki mbili. Kwa style hii aisee mtatukosa. Sikatai kukusadia lakin isiwe too much jamani kumbuka na mimi nina dhiki na ndugu kama wewe!
Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke).
Sasa kidogo anaanza kukuambia naomba uninunulie simu yenye whatsapp, mara naomba hela ya mchango wa kitchen party, mara naomba kod ya nyumba, mdogo wangu kafukuzwa shule hana ada, twende Zanzibar holiday.
Zote hizi ni hela daah! hapo hamna hata wiki mbili. Kwa style hii aisee mtatukosa. Sikatai kukusadia lakin isiwe too much jamani kumbuka na mimi nina dhiki na ndugu kama wewe!
Vijischana vya skuizi!!bora kuwa Marioo tuu,.....kudadadek!!!
bata ukimchunguza sana huta mla,
Cha bure ghali! Nitakuletea economic theories ku back up my argument!
mi kama mwanaume simtaki nitampa bill ambayo hajawahi kuiona sijali tuna masaa mangapi toka tumefahamiana, na siyo kama sina hela nina hela na nina uwezo wa kuishi vyovyote nitakavyokuanzia january mosi mpaka december 31 bila kumtegemea mtu, ila ukiona tuu nakupiga mizinga jua sina njia ya kukufukuza ndiyo hiyo