Wasichana wapiga mizinga, Mnajiaibisha mbele ya wanaume

Wasichana wapiga mizinga, Mnajiaibisha mbele ya wanaume

Ukiapply laws zako za kiuchumi na kumlinganisha mwanamke na bidhaa huoni kama unamdharilisha? Mwanamke kama bidhaa kwa tafsiri yangu ni kwamba mwanamke akijitambua kuwa hadhi yake ipo sawa sawa na bidhaa anajiuza, je wewe unajiuza?

Hahaaaaaa! Dont be so SENTIMENTAL! Kila mtu ni BIDHAAA,! Ndo maana ofisini mtu unauza labour power yako, hivo ili ununue vinavyoitajika! That is the truth! Mwanamke mwenyewe huyo huyo anaishi kwa kununua!
 
Kwani lazma?....katoboe mgomba

:shock::shock::shock::shock:

images
 
Hahaaaaaa! Dont be so SENTIMENTAL! Kila mtu ni BIDHAAA,! Ndo maana ofisini mtu unauza labour power yako, hivo ili ununue vinavyoitajika! That is the truth! Mwanamke mwenyewe huyo huyo anaishi kwa kununua!

usiugeuze utaratibu ulioukuta unaoweka harmony ndani ya jamii yetu kwa monetize vitu visivyo, kuna mambo hata iweje havipaswi kuuzwa kununuliwa wala kupimwa kwa fedha, siwez acha kuwa sentiment kwa hili nooo sentimentality ni sifa mojawapo nzuri ya ubinadamu.
 
Sizitaki mbichi hizi....hizo hizo mbunye ndo mnazianzishia thread
mtajibeba, za bure umbeni zenu
Kwani tunakataa, si hata magari tumenunua kwa hela na tunayahudumia kila kukicha. Kwa hiyo tuwanunue na ninyi mmekuwa bidhaa?

Goods for money...hahahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Same old discussion. Anything new?
Yah! Vijana wanapingana na laws of nature mambo ya demand and supply! Wanataka chiu wa bei ghali wapewe bureeeeee! Ushaona wapi hio perfect market ikaacha kujibalansisha na kuji contradict? Waache wajipe moyo!
 
Back
Top Bottom