Wasichana wapiga mizinga, Mnajiaibisha mbele ya wanaume

Wasichana wapiga mizinga, Mnajiaibisha mbele ya wanaume

Yah! Vijana wanapingana na laws of nature mambo ya demand and supply! Wanataka chiu wa bei ghali wapewe bureeeeee! Ushaona wapi hio perfect market ikaacha kujibalansisha na kuji contradict? Waache wajipe moyo!

Orait..ukirudi uje na tende mwezi unakaribia
 
Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke).

Sasa kidogo anaanza kukuambia naomba uninunulie simu yenye whatsapp, mara naomba hela ya mchango wa kitchen party, mara naomba kod ya nyumba, mdogo wangu kafukuzwa shule hana ada, twende Zanzibar holiday.

Zote hizi ni hela daah! hapo hamna hata wiki mbili. Kwa style hii aisee mtatukosa. Sikatai kukusadia lakin isiwe too much jamani kumbuka na mimi nina dhiki na ndugu kama wewe!

Heheheh Huyo sio dem ni M-pesa kama #lara1 na #mukagame
 
Hata kwenye kanga yapo...kikubwa laki ya saluni kwa mbunye hizi hizi mbofu mbofu, unataka niweke picha ya mbunye mfano niliyowahi kukutana nayo Giraffe hotel, ukiiona kwa nje kama malaika ndani ptuuuuuu....
Sasa hiyo mbunye ya demu wako ndo ufananishe na mbunye zote
we utakuwa mzee wa chuma chakavu....
 
Kawa mdogo chezea kudaiwa....ila mama Abdul mwisho..ivi enzi zake ulikuwa na umri gani au ndo kama Sikujua hivi....
Hahahaaaaa! Sikujua boya tu! Anagawa hadi kwa buku? Mamaaa sikujua ndo kila kitu! Uliona alivomleta masaga sumu! Weweeeeee!
 
Hahahaaaaa! Sikujua boya tu! Anagawa hadi kwa buku? Mamaaa sikujua ndo kila kitu! Uliona alivomleta masaga sumu! Weweeeeee!
Haaa umejiongeeeza apo ina maana ulikuwa unamzidi maujanja? Alinfurahisha anavojua kupoza inshu zake tu...ila ni kazuri aisee...
 
Back
Top Bottom