Wasichana Warefu ni wazuri sana

Wasichana Warefu ni wazuri sana

Anyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo.

Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao.

Hitimisho.
Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa kuwahesabu.

60 walikuwa warefu wa wastani-Wazuri wakawaida.

72 Walikuwa wafupi kidogo - Uzuri mchanganyiko (weupe na wanene kidogo) waliongoza kwa uzuri.

50 Walikuwa wafupi wembamba not attractive.

36 Walikuwa wafupi wanene wanavutia kidogo ila sio sana.

40 Walikuwa warefu, na wote walikuwa wazuri.

Nani alishaona mwanamke mrefu m'baya wa sura na umbo? (Hakuna)

NB: Urefu ni kuanzia FT 5.5 na kuendelea.

Anyway I have daughters, wife and my mothers. Tathmini hii inawahusu wote.
Hizi hesabu ungezitumia kwenye kutafuta pesa ungewasaidia Vijana wengi sana ila Ndio hivyo.
 
Back
Top Bottom