Lior
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 1,617
- 3,697
Valuwensi hii🤣🤣Nishaona
Urembo hautegemei kitu kimoja tu
Unaweza kuta ni mrefu sawa, ila ana chogo ndefu kama baruti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Valuwensi hii🤣🤣Nishaona
Urembo hautegemei kitu kimoja tu
Unaweza kuta ni mrefu sawa, ila ana chogo ndefu kama baruti
Wanajua kununa kuliko maelezobinafsi binti mfupi na mwembamba sina msada nae
Mwanamke kufika 6 ni mara chache sana. Nenda sehemu yoyote kanisani, ofisini, darasani, uwanjani halafu angalia vimo vya wanawake waliofika 6 wanahesabika, mara nyingi wanaishia 5.7 hiviSasa wale wa 6 si mangongoti kabisa km tu na sie tunaonekana warefu!
Above 6ft wewe ni super tallunakazia kabisa
huyo atakuwa hajitunzi vizuri sanaUsikutane na mwanamke mrefu halafu ana kitambi, anakuwa kama ngamia.
Kuna binti niliwahi kumuona singida uhakika ni anazidi hapo kwenye futi 6, ila inapunguza urembo kiasi flaniMwanamke kufika 6 ni mara chache sana. Nenda sehemu yoyote kanisani, ofisini, darasani, uwanjani halafu angalia vimo vya wanawake waliofika 6 wanahesabika, mara nyingi wanaishia 5.7 hivi
wanawake warefu na wanene si wachoyo hata muda wa kula watakukumbusha na huhakikisha anaandaa vitu vinayoelewekaWanajua kununa kuliko maelezo
Ungeniita nikusaidie kuushikaNaunga mkono hoja
Nilimwambia tanua niweke, akanyoosha mguu mpaka dirishani kutafuta balance
5.5 kwa Ke ni mrefu, kwa Me ni wastani kabisa.5.5 sio mrefu kihiivyo,
Kwenye mada kama hizi sijawah kukukosaUngeniita nikusaidie kuushika
😂😂😂😂😂😂Naunga mkono hoja
Nilimwambia tanua niweke, akanyoosha mguu mpaka dirishani kutafuta balance
Chaguo la wazazi wetuKila kitu kwa kiasi, hata hivyo jikubali vile ulivyo. Ufupi na urefu sio chaguo la mtu labda unene na wembamba
Kiaje?Chaguo la wazazi wetu
Kuna mmoja yuko pale Mbeya in one of the Dry cleaner mitaa ya Mafiati.Kila msichana ni mzuri kwa anayemvutia, wengine vi short chases ndio zetu, tena awe na kigoda acha kabisa
Hizi hesabu ungezitumia kwenye kutafuta pesa ungewasaidia Vijana wengi sana ila Ndio hivyo.Anyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo.
Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao.
Hitimisho.
Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa kuwahesabu.
60 walikuwa warefu wa wastani-Wazuri wakawaida.
72 Walikuwa wafupi kidogo - Uzuri mchanganyiko (weupe na wanene kidogo) waliongoza kwa uzuri.
50 Walikuwa wafupi wembamba not attractive.
36 Walikuwa wafupi wanene wanavutia kidogo ila sio sana.
40 Walikuwa warefu, na wote walikuwa wazuri.
Nani alishaona mwanamke mrefu m'baya wa sura na umbo? (Hakuna)
NB: Urefu ni kuanzia FT 5.5 na kuendelea.
Anyway I have daughters, wife and my mothers. Tathmini hii inawahusu wote.
Hiyo ni wakati nikiwa free tu.Hizi hesabu ungezitumia kwenye kutafuta pesa ungewasaidia Vijana wengi sana ila Ndio hivyo.