Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Si bora huyo 15000
Mimi niligundua mwanaume wa mtandaoni ukitaka umkatae kijanja mpe jiwe
huwa sikukatai ila ukisogea tu naanza na iphone [emoji23]
Wengi huishia matusi tu....mie roho yangu burudanii
Akufukuzae hakwambii toka! JIongeze dogo
Endelea kula vya watu siku yako yaja

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Uko vizuri sana
 
Inasikitisha sana...

Kuweni makini sana na hao mnaochat nao kwenye hizo nanii zenu...

Mwanamke wa kweli anakuwa na haiba, anakuvutia timing kwanza...

Kama wewe ni mwanaume, ukawa ukaanza ku-chat na unayehisi ni mwanamke kwa profile yake...

Ukiona baada ya maneno mawili akakuomba pesa, au anaomba msaada haraka haraka, shtuka, unachat na dume mwenzako...


Cc: mahondaw
 
Usijali Bali penye ukweli lazima tuseme

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, Mimi binafsi mwanamke akianza mambo ya luku,sijui simu imeingia maji sitampa hiyo pesa na huo utakuwa ndiyo mwisho wa kumtafuta...hayo ni mambo ya kitoto kabisa!
Alafu unakuta mtu huyo anakuja humu anaaza ooh! natafuta mume,mume utampataje kwa tabia mbaya kama hiyo,.... msipojiongeza mtaishia kukaa nyumbani mpaka muote mizizi hamtaolewa.
 
[emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji32] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bwaha Bwaha Bwaha Bwaha Bwaha!

My king Njaa mbaya sana hasa awamu hii



Mahondaw wa Smart911
 
Vivulana viko vingi! Wanaume hawalii ku-provide.
Ukiweza kujibu the meaning of being a men. ...hutarudia kuleta na kujaza seva kwa maneno yasiyona mashiko.
ROLE YA MWANAUME NI NINI? ?Ndiyo maana mashoga NI wanaume wasiojua majukumu ya kiume.
Kama unaona huwezi subiri ukiwa mwanaume ndipo utafute mwanamke. ..acha uasherati subiri ukioa ambapo NI umri sahihi wa uanaume hutaona shida kumuhudumia mwanamke kwani automatically utaprovide na wala hutaona kwamba siyo kazi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…