Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Nitakufa na shiida zangu lakinii sii kumlilia shida mwanaume wa mtandaoni... Wengi wana dharau halafu huwa wanadhani kila mwanamke aloko mtandaoni ni mhuni sijui, huwa nashindwaga kuelewa....
 
Vivulana viko vingi! Wanaume hawalii ku-provide.
Ukiweza kujibu the meaning of being a men. ...hutarudia kuleta na kujaza seva kwa maneno yasiyona mashiko.
ROLE YA MWANAUME NI NINI? ?Ndiyo maana mashoga NI wanaume wasiojua majukumu ya kiume.
Kama unaona huwezi subiri ukiwa mwanaume ndipo utafute mwanamke. ..acha uasherati subiri ukioa ambapo NI umri sahihi wa uanaume hutaona shida kumuhudumia mwanamke kwani automatically utaprovide na wala hutaona kwamba siyo kazi yako
Kuna tofauti kati ya kuhonga na kuhudumia.
 
wana swaga za kishamba na njaaa kali ukimsalimia tu anageuka yatima anakufanya foundition au NGOs wanajiabisha kwakwel...Swagga hizo wakawale wengine lakina sio hapa mjini Daslam wamefeli...wabadilike


View attachment 570099 View attachment 570101
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegundua walioliwa na wenye tabia hii ndo wanamind kuanikwa mipovu kibaooo....kusema ukweli co lazima utekwe..
Kama inauma chomoa tutke draw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli. Mademu ni waombaji. Lakini ni akili tu ya kawaida. Kweli dume zima uko mtandaoni unatfuta wanawake. Akili yako mtaji wako. Humjui kwa tabia wala nni. Unaomba penzi ni dalili wewe mnunuaji Sio mpendaji its just logical
 
Sasa kama ana shida kuombwa 15000 unatangaza ukiombwa mil si utafunga mtaa. Mbna pum**bu Zako zikibana unaomba show huangalii muda mliokutana wewe utakuwa wakiume sio mwanaume.
Pale ujumbe unapomfikia mhusika mubashara kabisaaaaaaa!!!

Delta Force
 
Back
Top Bottom