Wasichokijua wengi kuhusu Israel

Ashkenazi ambao wanaua watu sasa hivi si kabila lolote la Israel bali hao Wanaouliwa yaani Wapalestina, Lebanon, Syria ni katika wana Wa Israel, pamoja na makundi mengine kama Samaritan, Mizrahi jews na to some extent sepharadic jews.
Hiv unajua kwenye jeshi la Israel kuna waarabu na wanawapelekea moto waarabu wenzao
 
Mchambuzi kutoka TZ..
Tupewe ubingwa wa uchambuzi
 
Sawa, lakini huu utukuzaji wa Israel umepita kiwango. Wayahudi bila ya Marekani ni debe tupu, they think they have entitlement hapa duniani na nyie mnaona ni kweli. Inferiority
 
Sawa, lakini huu utukuzaji wa Israel umepita kiwango. Wayahudi bila ya Marekani ni debe tupu, they think they have entitlement hapa duniani na nyie mnaona ni kweli. Inferiority
Mkono mtupu haulambwi, fikria nje ya box kwann Wanawapa support
 
Misri alishastuka siku nyingi,anajua historia ya Israel ndomaana hataki ugomvi nae walakuingilia vita isiyo mhusu,
 
Mwisho wa siku hiyo Israel na Marekani ndiyo Mataifa ya uovu duniani! Au kwa lugha nyingine hayo Mataifa mawili ndiyo kitovu cha uovu wote duniani. Ukifuatilia chanzo cha vita au machafuko kwenye nchi fulani, basi lazima utakuta Marekani au Israel ihusike.
 
Sawasawa
 
Then unajiita Mtanzania!?
 
Tatizo izo jamii zote za mashariki ya kati ndio zinachuki na wa Israel mbona wao hawa wachokozi kwamfano Yemen kwa sasa wanatafuta nini Kwa Israel ifike hatua tuachaneni na ushabiki hii dunia hatuwezi kufanana we kuwa dini tofauti na mwingine isifanye iwe chuki
 
Asante sana Kwa andiko zuri, Mungu aibariki israel
 
Kwanza mimi sina dini ya aina yeyote ile.

Ninacho kwambia ni kwamba Hakuna Mungu mwenye taifa lake hapa duniani.

Hizo ni propaganda mlizo aminishwa na kupumbazwa tu.
 
Usikute mingoni mwa hayo 10 yaliyopotea mojawapo ni hao HIZBULLAH NA HOUTH wa YEMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…