Wasichokijua wengi kuhusu Israel

Waarabu wenye afadhali ni wa oman na nafikiri ni kwasababu waliishi na waafrika miaka mingi. Nimekaa al ain nimekaa shajar nimekaa Kuwaiti na Abudhabi, kwa Oman nimekuwa sana nsalalaah kwasababu ya mizigo ila kote nilipopita ni ushenz mtupu. Nakumbuka kuna kipind napita na mshikaji mitaan tukamkuta bint mkenya anapiga kelele dirishan akibahatisha asaidiwe. Ni Mungu tu alimsaidia. Binti yeyote anaekwenda uarabun kutafuta kaz wananyang'anya kwanza kabisa passport yake ili ashindwe kukimbia.
 
Malaria 2 Baljurashi Adiosamigo TUJITEGEMEE 100 others
 
Katika Uislamu, kufa katika jihad (juhudi au jitihada kwa ajili ya Allah) kunachukuliwa kuwa na malipo makubwa katika Akhera (maisha ya baada ya kifo). Katika Quran, Allah anazungumzia kwa uzito na ahadi kubwa kwa wale wanaopigana katika njia Yake.Miongoni mwa aya zinazozungumzia kuhusu faida ya kufa katika jihad ni:Surat At-Tawba 9:111:
"Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wanaua na wanauawa. Hii ni ahadi ya kweli katika Taurati, Injili na Qur’ani. Na nani atimizaye agano kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa."Surat Ali Imran 3:169:
"Wala usidhani walio uawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa wamekufa, bali wao wako hai, wanaruzukiwa kwa Mola wao."Hizi aya zinaonyesha kuwa wale wanaokufa wakiwa katika jihad kwa ajili ya Allah wanapata malipo makubwa, ikiwa ni pamoja na Pepo na riziki kutoka kwa Allah. Pia wanachukuliwa kuwa wamefuzu na kupokea ahadi kubwa kutoka kwa Allah kwa sababu ya kujitolea kwao.
 
Unyanyasaji=/=ubaguzi wa rangi.

Kama mfanyakazi Wa Ufilipino, Kenya, India, Bangladesh ananyanyaswa na mfanyabiashara kenya, India, Ufilipino hanyanyaswi huo si ubaguzi wa rangi.
 
Mkuu ukweli itabaki kuwa kweli tuu..Misri ilimpiga Israel..huo Ndio ukweli..
 
Sawa lkn kumbuka Israel imedundwa mara kibao Kwa mfano na wababilon, waamedi na waajemi, wayunani na hata warumi na kupelekwa utumwani miaka kibao pale waisrael walipo mwasi Mungu yaani kuabudu masanamu, kufanya ushoga n.k. Sasa ukitaka kufahamu Israel itadundwa au itashinda kigezo ni matendo mema Kwa Mung, Leo Israel pale tel Aviv ni kitovu Cha mashoga duniani. Kiufupi pamoja na teknolojia Yao Kwa uovu waufanyao Leo Israel kudundwa ni swala la mda tu
 
Ndio maana wazungu wanasema kuwa mtu mweuzi ni laana,

Means wewe ni mkristo,watakuja waislamu nao utasikia Israel ni ibirisi ifutike,watu weusi wamegawanywa kiimani ,kila upande unamtetea bwana ake..nenda china,India or Russia huwezi kuta ushabiki wa kijinga hivi
 
Reactions: Lax
Yaani wewe upo nchi ambayo hata kiwanda cha kutengeneza kijiko hamna ,then unasema warabu hawana akili,seriously???? Bandari, mbuga zenu za wanyama ,viwanja vya ndege baadhi ,hivyo vyote vinaendeshwa na mwarabu then unasema hawana akili?
 
Huna akili ya biblia wala ya historia
 
watu wanapenda kudanganyana sana, vita ni mchezo wa wazi wote tutaona
 
Labda utumie viboko
 
Kwa logic hii ina maana kila vita ambayo Israel inashinda means Mungu yuko nao? Nchi inayoongoza kwa kusupport ushoga je Mungu anaweza kaa hapo? Duh
 
Jamii yenye watu wenye IQ Tanzania ni watu wa ccm ...wameshinda chaguzi nyingi
 
Ashkenazi ambao wanaua watu sasa hivi si kabila lolote la Israel bali hao Wanaouliwa yaani Wapalestina, Lebanon, Syria ni katika wana Wa Israel, pamoja na makundi mengine kama Samaritan, Mizrahi jews na to some extent sepharadic jews.
Unaposema waisrael wa kweli ni Wapalestina,Wasyria na Lebanoni ndo unazidi kutuhakikishia kuwa mungu wa Quran ni muongo.Kwenye Qr 5:82 inasema walio maadui na Waislam ni mayahudi.Na leo hii tunaona Wayahudi wanachukiwa sana na waislamu duniani kuliko taifa lolote duniani.Leo unapotuambia Wapalestina,Lebanoni Syria,he Waislam leo ni maadui na Hayo mataifa?Au Quran imeongopa?
 
1. Tofautisha jews kama dini na Israelite kama watu. Hao waisrael walisemwa zamani sio wote bado ni wayahudi, Asilimia kubwa wameshabadili dini na kuwa Waisilamu/Wakristo.

2. Hakuna popote kwenye Uisilamu panaposema Wayahudi ni maadui wa Waisilamu, kila Aya/Hadithi ya kiisilamu ina context yake, isome uelelewe, kama lengo lako ni kuelewa, kama lengo lako ni dhihaka ukiona comment yangu ipotezee tu.

Hio Aya imeshushwa baada ya waisilamu waliokimbilia Ethiopia kupokelewa na mfalme Najashi na kutodhuriwa, wa kapewa ukimbizi, Japo Washirikina wa Makka wakati huo walienda Ethiopia ili mfalme Najashi asiwape hifadhi hakukubaliana nao, At same time Kulikuwa na wayahudi Madina ambao walikuwa pia wanashirikiana na Hao Washirikina wa Makka, koo kama Banu Qurayzah so imeshushwa Specific kuwa adress hao, na mafunzo tunayapata kutokana kwao,

Aya ina Apply mpaka kwa jews wa leo (sio wote) ila hao wenye tabia kama zilizokuwa described na Context ya hio Aya jews ambao wana Belittle others, wanapenda kuanzisha uasi, kukataa wasomi, kukataa ukweli etc.

Angalia hizo sifa hao watu wanaojiita watawala wa Israel wanazo hadi leo
1. Wanajiona wao ni Chosen one na wengine wote ni wajinga tu wao ni binadamu bora zaidi
2. Wasomi mbalimbali na tafiti mbalimbali zinazoonesha wapalestina na Lebanon kama Israelite wa zamani utaona wanawakandia hao wasomi
3. Wana tabia za kuua wasomi ambao si upande wao ili wasomi wao tu waonekane bora
4. Kila sehemu wanatengeneza uasi na makundi mbalimbali ambayo yana Destabilize nchi mbalimbali kama Vile Isis, Al Qaeda etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…