Wasichokijua wengi kuhusu Israel

Asante kwa elimu. Ila ukitaka kusema ukweli sanyansi au elimu imeanzia Misri hao Wagiriki walipovamia enzi za utawala wa kifalme wakachukua utaalamu na baadaye wakawauwa wataalamu wa Kimisri na kutangaza utaalamu kuwa ni wao wakati ni wa Wamisri. Kumbuka Wamisri walikuwa watu weusi siyo waarabu wa sasa.
 
 
misri ya kale haijawahi kuwa na watu weusi kama wazawa asilia wa misri watu weusi waliokuwa misri walitoka nje ya misri ambapo walikuwa ni wanubi na wakushi, hii hoja ya kwamba misri ya kale ilikaliwa na watu weusi aliibua marcel diop msomi kutoka afrika magharibi juzi tu mwaka 1955. Kabla ya alexander the great kuivamia misri wanasayansi na wanafalsafa wengi wa kigiriki walivutiwa na elimu na maarifa ya kale ya misri na bila kificho walienda walienda kujifunza na walikiri wazi walienda kujifunza kuongeza maarifa. Je kuongeza maarifa ni jambo baya? Alexander the great aliivamia misri baadae sana.
 
Babu na bibi zako huko wanajisaidia vichakani na kunywa maji yenye mavi ya ng'ombe wewe upo busy humu mimi ni wa kabila la yuda
Dini imewatia watu vilema vya kudumu ndugu yangu.
 
kabla ya wagiriki kwenda misri ya kale kujifunza bado walikuwa na elimu ya juu na maarifa na misri walienda hasa kujifunza masuala ya architecture(michoro ya ujenzi) na ujenzi. Kwa kipindi hicho misri alikuwa na maarifa makubwa kuhusiana na ujenzi ndio maana mpaka leo hakuna anayejua ni teknolojia ipi ilitumika kuyajenga yale mapiramidi.utajiri wa historia ya misri umehifadhiwa kwenye mapiramidi kwa njia ya michoro(HYROGLEVES). Na katika hiyo michoro inaonesha watawala na viongozi mbalimbali wa misri sambamba na watumwa wao ambapo kimuonekano hawakuwa watu weusi labda hao watumwa wengi ndio walikuwa weusi.
 
Umeunganisha taarifa mbalimbali za kweli, halafu ukaishia na conclusion isiyo sahihi.

Study ya genetics kuhusiana na wapalestina, ilionesha mchanganyiko wa ancesistors. Wapo walioonekana ni cananiites, wapo walioonekana ni waajemi, wapo walioonekana ni waarabu:

Historical records and later genetic studies indicate that the Palestinian people descend mostly from Ancient Levantines extending back to Bronze Age inhabitants of Levant. They share close religious, linguistic, and cultural practices and heritage with other Levantines (e.g Syrians, Lebanese, and Jordanians).

What is the ancestry DNA of Palestinians?


Genetically Palestinians are a pretty diverse and mixed populations that - unsurprisingly - clusters roughly between Syrians and Lebanese and Saudi Arabians, closer to - again unsurprisingly - Jordanians, also in the South Levant.11 Aug 2023
 
Kama unataka ku discuss na mimi naomba leta source za vitu vyako hakuna vitu nisivyopenda kama "Trust me bro evidence"

Nioneshe study yoyote ile toka kwa Wanasayansi wanaojulikana kwamba Saudi na Palestina ni watu wa moja. Vyote ulivyosema naamini vina source zake weka hapa, wewe sio mwanasayansi kwamba tuamini tu maneno yako.
 
Boss Misri sio Waarabu, wamisri ni wamisri wanaitwa waarabu sababu wamekuwa arabized "Culturally" ila biologically sio waarabu. Na ukanda wetu wa Africa mashariki hakukuwa na wabantu hebu Soma historia vizuri wabantu wote wamehamia East Africa miaka ya karibuni, watu wa asili eneo hilo wote Ethiopia, Somalia, Eritrea, Djibout, Chad, Sudan etc walio enda North na kuteka Misri hawakuwa wabantu.

Mfano wa Nubia people ni Rais wa Egpty Anwar Saadat

Na mpaka Leo wa Egpty wa Kusini wapo hivyo.

So kama Definition yako mtu kama Anwar saadat ni Black basi yes upo sahihi kulikua na Black Egpty.
 
Huyu race yake inaweza kuwa Original Egyptian
 
Mwaka 2000 Mmarekani mmoja alitoa siri ya uhalisia wa usomi/elimu wa dunia hii ulivyobadirishwa kwa masilahi ya wazungu hakumaliza miezi miwili aliuawa. Hayo uliyoandika hapo juu ndio hao wakubwa wanataka ibaki hivyo hivyo. Lakini siku moja ukweli utajulikana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…