Wapalestina sio wafilisti ishakuwa debunked mara kibao, unaniambia mimi Naongea propaganda, ila nakupa ushahidi wa Kisayansi wa studies mbalimbali zikionesha kwamba Wapalestina na Walebanon wa Sasa ndio OG canaanite,
Angalia hii Ted talks huyo jamaa ni Ashkenazi jew na amefafanua kwa undani study inayo imesha miaka 3700 iliopita walioishi hapo Dna zao ni sawa na wapalestina wa leo
View: https://x.com/expatvibes/status/1796810792832053428/mediaViewer?currentTweet=1796810792832053428¤tTweetUser=expatvibes
Pia Ame Debunk kwamba wapalestina ni waarabu/wafilist.
Pia ukiangalia hizo Tweets za Netanyahu kila siku anabadili Gia mara Wapalestina ni wazungu (Wafilisiti) mara wapalestina ni waarabu wametoka Gulf, huwezi kuwa Mwarabu halafu hapo hapo ukawa mzungu, na hio ni dalili ya propaganda na kusema uongo.
Ukitoa hio video kuna studies kibao zimefanyika hadi Havard na vyuo vikubwa vikubwa zote zina Agree kitu kimoja Wapalestina wa sasa ndio Israelite wa Zamani.
Hii study nyengine ya Dna
View: https://x.com/MiroCyo/status/1712258026881921287
View attachment 3118857
View attachment 3118858View attachment 3118859
Hizi picha Inaelezea kwa laymen makundi mengi ya Huo Ukanda kama Samaritan, Wapalestina Wakristo, Wapalestina waisilamu etc wana Dna kali zaidi ya Israelite wa zamani, at same Time hao Ashkenazi Dna zao za Kuchovya.
Kama mimi nilivyoelezea kwa Ushahidi na wewe leta ushahidi hapa
1. Wapalestina ni wafilisti na Dna zao ni Za kizungu
2. Ashkenazi ndio wayahudi OG
Kama huna ushahidi na una maneno matupu basi wewe ndio mueneza propaganda.