Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol😀Mi nasifiaga hadi huwa anakibofu kizuri lkn hanipi! Nishamsifia mpk seli zake za damu lkn ndo kwanza ananiambia "kenzy we kaongo" haitoshi nishamsifia hadi vichunusi vyake kuwa vinaota kwa mpangilio nikajibiwa "toka hapa!"
Mwengine nikamsifia mpk jipu lake kuwa limeota pazuri! Nilipigwa na sufuria lilikuwa na dawa yake ya kujikandia na jipu lilikuwa limeotea kwapani..😬😬
Sure wanaume hutuchukulia wanawake kuwa hatuna akili kumbe tunawachora tuYaan
Mfungulie tu mlango wa huba....kikubwa mapenzi tabia mtavumiliana.Mimi huku JF wengi wananiona na tabia mbaya sifai wewe wataka kunifata?!
Hahaaaa kiurahisi hivo huyu anaweza kuja tukawa marafiki baadae anafungua I'd ya kunitukana humuMfungulie tu mlango wa huba....kikubwa mapenzi tabia mtavumiliana.
Ahahaa...huyo ana record ya kuumizwa,akikupata unampa adi vya uvunguni...sifa nyingi atakumwagia ata jf hatutamuonaHahaaaa kiurahisi hivo huyu anaweza kuja tukawa marafiki baadae anafungua I'd ya kunitukana humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kusifia sifia mwisho wake nikupewa K kama asante,
Imenitokea nilikuwa namsifia jirani yangu mwendo wake, siku akaniambia nifuate ili uangalie ninavyotembea mpaka uridhike, nilimfuata kweli na tukaishia guest ,,na Sifa zikaishia hapo
Ha ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Mkuu wangu wa kitengo kazin ( mwanamke )..
One day nmemshukia masifa,... Alianza kutoa machozi.. Akiniambia G ,niko ndoan miaka 8 lkn Mume wangu hajawah kabisa kunielezea haya japo nijihisi mwanamke mrembo.
Kinachoendelea ni siri yangu.
Kabisa ninashuhuda za ivi zaidi ya 100+ .Ha ha ha ha ha
Wengi wanaokuona hivo wamejikita zaidi katika mtizamo wa nje ila mimi binafsi kama muhusika mkuu kuna vitu vya kipekee sana nimeviona kwako kikubwa zaidi ni kujitambua na hauna hulka za kislay Queen hata punje.Mapenzi ni changamoto kwa wengi kwa dunia ya Sasa maana watu wanaangalia vtu mtu alivo navyo matokeo yake ndio hyo too much fakeness. Sikuhizi ni rahisi kupata wanawake/ wanaume wa kugegedana Ila ni ngumu kupata real love kabisa.
Pole Mungu akufanyie wepesi inabidi utafte mtu very matured.
[emoji23][emoji23]Hyo paragraph ya mwisho umenifuraisha kweli, Mimi huku JF wengi wananiona na tabia mbaya sifai wewe wataka kunifata?!
Hakuna mtu anayestahili sifa ya uongoHapana lengo ni kuwasifia wanawake kwakua wanastahili
Ndio kama unataka kula kimasiharaHakuna mtu anayestahili sifa ya uongo
Na mwenyewe umesema pale juu kuwa hiyo inawasaidia kuwala hao wanawake kimasihara
Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo nakazia!Ndio kama unataka kula kimasihara
Lkn lengo ni Kusifia mwanamke... Matokeo ya usifiaji yatategemea na msifiaji.
Naweza kusifiaa sana, ukajilengesha lkn nisikule.
Kwan mie nikikusifia utajua ni sifa zakweli hizi ni zauongo???
Au unadhan nitakuambia...sasa nakusifia uongo baby...sasa nakusifia ukweli??
MWISHO WASIKU... WANAWAKE MNAPENDA UONGO WA FAIDA..... MTU AKIWA MKWELI KWENU NYINYI HAWAPATI.
Hahaaa watu walioumizwa Sana kupenda huwa ni nadra Sana aiseeAhahaa...huyo ana record ya kuumizwa,akikupata unampa adi vya uvunguni...sifa nyingi atakumwagia ata jf hatutamuona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo nakazia!
Kwani ni lazima mtupate?