Wasifieni Wanawake zenu...

Wasifieni Wanawake zenu...

Sijasoma yote ni ndefu inaumiza. Subiri kwanza, ati kama huna pesa sifia sifia tu mwanamke ataingia mtego? Ati sifia heleni? Ati sijui sifia upotolo gani? Aiseee labda kama mkeo, ila mpango kando jipange tena.
 
Mi nasifiaga hadi huwa anakibofu kizuri lkn hanipi! Nishamsifia mpk seli zake za damu lkn ndo kwanza ananiambia "kenzy we kaongo" haitoshi nishamsifia hadi vichunusi vyake kuwa vinaota kwa mpangilio nikajibiwa "toka hapa!"
Mwengine nikamsifia mpk jipu lake kuwa limeota pazuri! Nilipigwa na sufuria lilikuwa na dawa yake ya kujikandia na jipu lilikuwa limeotea kwapani..😬😬
Lol😀
 
Wanapenda sifa kama yule mwenyekiti wa chama cha Mozambique tawala hahahahah
 
Hahaaaa kiurahisi hivo huyu anaweza kuja tukawa marafiki baadae anafungua I'd ya kunitukana humu
Ahahaa...huyo ana record ya kuumizwa,akikupata unampa adi vya uvunguni...sifa nyingi atakumwagia ata jf hatutamuona
 
Kusifia mwanamke nilishaacha nikiwa mdogo, kwasasa nikuwatafuna tuu
 
Kusifia sifia mwisho wake nikupewa K kama asante,
Imenitokea nilikuwa namsifia jirani yangu mwendo wake, siku akaniambia nifuate ili uangalie ninavyotembea mpaka uridhike, nilimfuata kweli na tukaishia guest ,,na Sifa zikaishia hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna Mkuu wangu wa kitengo kazin ( mwanamke )..

One day nmemshukia masifa,... Alianza kutoa machozi.. Akiniambia G ,niko ndoan miaka 8 lkn Mume wangu hajawah kabisa kunielezea haya japo nijihisi mwanamke mrembo.

Kinachoendelea ni siri yangu.
 
Ha ha ha ha ha
 
Ha ha ha ha ha
Kabisa ninashuhuda za ivi zaidi ya 100+ .

Ndio mana nasema, Wasifieni sana wanawake zenu mlonao, wale mnaowataka.

WASIFIENI...... Ukitaka kujua mwanamke na sifa ,ni pete na kidole.

Ikitokea mnazenguana tu ,Mtukanie sehem ya mwili wake yaan popote chagua hata Miguu yake..au pua au macho, au makalio n.k alafu mtukanie hapo hapo.

ATALIA MWAKA MZIMA, ATAJISHTUKIA MWAKA MZIMA..

Unajua kwann?? Kwasababu 85% yamaisha yao ni Kujiona kwenye Kioo sababu hawajiamin katika uzuri wa sura na maumbo yao.
 
Mapenzi ni changamoto kwa wengi kwa dunia ya Sasa maana watu wanaangalia vtu mtu alivo navyo matokeo yake ndio hyo too much fakeness. Sikuhizi ni rahisi kupata wanawake/ wanaume wa kugegedana Ila ni ngumu kupata real love kabisa.
Pole Mungu akufanyie wepesi inabidi utafte mtu very matured.
[emoji23][emoji23]Hyo paragraph ya mwisho umenifuraisha kweli, Mimi huku JF wengi wananiona na tabia mbaya sifai wewe wataka kunifata?!
Wengi wanaokuona hivo wamejikita zaidi katika mtizamo wa nje ila mimi binafsi kama muhusika mkuu kuna vitu vya kipekee sana nimeviona kwako kikubwa zaidi ni kujitambua na hauna hulka za kislay Queen hata punje.
(Real pure africanism installed all over your body)

Kuhusu kutafuta kwa sasa nimechoka maana inaonekana sina bahati ya jicho la kusajili wachezaji sahihi wenye mapenzi ya dhati na team so niko nasikilizia Mola akiniletea itakua safi sana, ila binafsi nikiri wazi nakukubali sana cariha [emoji30][emoji24][emoji24]
 
Hakuna mtu anayestahili sifa ya uongo
Na mwenyewe umesema pale juu kuwa hiyo inawasaidia kuwala hao wanawake kimasihara
Ndio kama unataka kula kimasihara

Lkn lengo ni Kusifia mwanamke... Matokeo ya usifiaji yatategemea na msifiaji.

Naweza kusifiaa sana, ukajilengesha lkn nisikule.

Kwan mie nikikusifia utajua ni sifa zakweli hizi ni zauongo???

Au unadhan nitakuambia...sasa nakusifia uongo baby...sasa nakusifia ukweli??

MWISHO WASIKU... WANAWAKE MNAPENDA UONGO WA FAIDA..... MTU AKIWA MKWELI KWENU NYINYI HAWAPATI.
 
Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo nakazia!
Kwani ni lazima mtupate?
 
Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo nakazia!
Kwani ni lazima mtupate?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna.mawili nmekutaman ulivo so lazima nihakikishe nakuchapa nao.

Au nahitaj uwe mke hapo lazima nihakikishe nakupata

Ikitokea nmekukosa poa.

Kwan unaweza acha kwenda kusali ,kisa tu unajua Askofu anatuhuma chafu ???.

Ndo ivo sasa, sio lazima kuwapata lkn ntongozi upo palepale
 
Back
Top Bottom